
13/05/2024
WANAWAKE WENGI WANASUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA UGONJWA WA PID
KUMBUKA🤷
MAAMBUKIZI HAYA YANAFANYIKA NDANI YA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE NA HUPELEKEA 👇
KUTUNGA NJE YA KIZAZI
HAMU TENDO
YA UZAZI KUZIBA
UJAUZITO nk....
So ukikaa na changamot hii kwa muda mrefu itakusababishia maradha makubwa
NB. Hakikixha unaitibia changamoto yako mapema🙌