Dr. AFYA

Dr. AFYA AFYA YAKO NI JUKUMU LANGU.

"๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—”๐—จ ๐—ž๐—”๐—ก๐—ฆ๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ž๐—”."Watu wengi wamekuwa wakitaabika kupata msaada wa kimatibabu kuhusu kansa ,na watu wengi ha...
19/10/2024

"๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—”๐—จ ๐—ž๐—”๐—ก๐—ฆ๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ž๐—”."

Watu wengi wamekuwa wakitaabika kupata msaada wa kimatibabu kuhusu kansa ,na watu wengi hawana uhakika wa kupona toka waanze kutumia dawa, na Leo tumekufikia ili uondokane na ugonjwa huo unao tesa watu wengi duniani, saratani inatibika.

๐ˆ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐๐’๐€ ๐Š๐ˆ๐”๐…๐”๐๐ˆ

๐Ÿ’ฆ ๐—ž๐—”๐—ก๐—ฆ๐—” ๐Ÿ‘‰ Jua Mwili wako k**a una hili Tatizo ๐Ÿฆ€

๐—ž๐—”๐—ก๐—ฆ๐—” ni group kubwa la Magonjwa linaloweza kuanza karibia kila organ na tissue za mwili pale seli zisizo za kawaida zinapokuwa bila utaratibu kusambaa na kuvamia sehemu mbalimbali za mwili.

๐๐€๐€๐ƒ๐‡๐ˆ ๐˜๐€ ๐•๐˜๐€๐Š๐”๐‹๐€ ๐š๐ฎ ๐๐‰๐ˆ๐€ ๐™๐ˆ๐๐€๐™๐Ž ๐๐„๐‹๐„๐Š๐„๐€ ๐Š๐”๐๐€๐“๐€ ๐‚๐€๐๐‚๐„๐‘ ๐Ÿฆ€

๐ŸชUvutaji wa sigara
๐Ÿช Pombe
๐ŸชUlaji Kupita kiasi Nyama nyekundu
๐ŸชNyama za makopo au vyakula vya makopo
๐Ÿช Vinywaji vya sukari nyingi
๐Ÿชsukari nyeupe
๐ŸชSoda
๐Ÿชnyanya za kopo
๐Ÿช Chips au vyakula vyenye mafuta mengi
๐Ÿช Vyakula vyote vyenye kemikali
๐Ÿช Lishe duni
๐Ÿช Ukosefu wa mazoezi
๐Ÿช Unene kupita kiasi
๐Ÿช Matumizi holela ya dawa

๐ƒ๐€๐‹๐ˆ๐‹๐ˆ ๐™๐€ ๐‚๐€๐๐‚๐„๐‘ ๐Ÿฆ€

๐ŸชVidonda visivyopona.

๐ŸชKubadilika kwa tabia ya utumbo na kibofu au kuuma kwa kibofu.

๐ŸชShida ya mmeng'enyo wa chakula hasa katika puru au choo kigumu.

๐ŸชHoma kali isiyo ya kawaida.

๐ŸชKupungua uzito kwa Kasi

๐ŸชKutokwa jasho zaidi usiku.

๐ŸชUvimbe usio wa kawaida

๐Ÿช Mabadiliko ya ngozi ,hasa madoa meusi, majipu au makovu.

๐Ÿช Maumivu ya mara kwa mara yasiyo isha katika mwili.

๐ŸชKuchoka kupita kiasi hasa Kukosa Nguvu.

๐Ÿช Kikohozi cha ndani kinacho uma kwa muda mrefu.

Kuepuka hili gonjwa inawezekana kabisa
Fanya kweli jitunze, jizingatie jisimamie na jiongoze uweze kufanikiwa katika kishibiti magonjwa nyemelezi nayapatie Matibabu stahiki Leo, ili kupunguza au kuacha matumizi ya muda mrefu ya chemicali dawa.

Usipo nielewa Leo amini ipo siku utanielewa.

๐๐: ๐€๐…๐˜๐€ ๐๐ˆ ๐Œ๐€๐ˆ๐’๐‡๐€ ๐…๐€๐๐˜๐€ ๐”๐ˆ๐’๐‡๐ˆ๐Ÿ’ช๐ŸŒ

Kwa changamoto za Afya tunatoa Ushauri na Matibabu.

AFYA YAKO NI JUKUMU LETU KARIBU KWA MATIBABU YA HARAKA NA SAHIHI.

UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA KUPIGA NUMBER AU UJUMBE WHATSAPP 0719943008

๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—”๐—™๐—จ ๐—œ๐—ก๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ž๐—”..!     ๐‘ฑ๐’† ...! ๐‘ผ๐’Ž๐’†๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’–๐’Œ๐’Š๐’•๐’–๐’Ž๐’Š๐’‚ ๐’…๐’‚๐’˜๐’‚ ๐’๐’š๐’Š๐’๐’ˆ๐’Š ๐’Œ๐’˜๐’‚ ๐’Ž๐’–๐’…๐’‚ ๐’Ž๐’“๐’†๐’‡๐’– ๐’ƒ๐’Š๐’๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’‡๐’‚๐’๐’Š๐’Œ๐’Š๐’ ๐’š๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’‘๐’๐’๐’‚...?    ...
29/09/2024

๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—”๐—™๐—จ ๐—œ๐—ก๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ž๐—”..!

๐‘ฑ๐’† ...! ๐‘ผ๐’Ž๐’†๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’–๐’Œ๐’Š๐’•๐’–๐’Ž๐’Š๐’‚ ๐’…๐’‚๐’˜๐’‚ ๐’๐’š๐’Š๐’๐’ˆ๐’Š ๐’Œ๐’˜๐’‚ ๐’Ž๐’–๐’…๐’‚ ๐’Ž๐’“๐’†๐’‡๐’– ๐’ƒ๐’Š๐’๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’‡๐’‚๐’๐’Š๐’Œ๐’Š๐’ ๐’š๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’‘๐’๐’๐’‚...?

๐‘จ๐’–

๐‘ผ๐’๐’‚๐’„๐’‰๐’‚๐’๐’ˆ๐’‚๐’Ž๐’๐’•๐’ ๐’‰๐’Š๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’”๐’‚๐’“๐’‚๐’•๐’‚๐’๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’‘๐’‚๐’‡๐’– ,๐’๐’…๐’–๐’ˆ๐’– ๐’‚๐’– ๐’‹๐’‚๐’Ž๐’‚๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’‰๐’–๐’‹๐’–๐’Š ๐’๐’Š๐’๐’Š ๐‘ช๐’‰๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’‡๐’‚๐’๐’š๐’‚....?

Sasa tumekufikia ,karibu kwa msaada wa kimatibabu zaidi bila upasuaji...

๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—ž๐—จ๐—›๐—จ๐—ฆ๐—จ ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—”๐—™๐—จ, ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—ญ๐—ข, ๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐——๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—˜๐— ๐—”!.

Saratani ya mapafu ni ugonjwa unaohusishwa na ukuaji wa seli katika tishu za mapafu.

Tishu hizi zisipotibiwa mapema, zinaweza kuenea kutoka kiungo kimoja hadi kingine kwa njia inayoitwa metastasisi.

Saratani ya mapafu hujulikana k**a Kasinomasi, hii ni aina ya saratani ya mapafu ambayo husababishwa na uzalianaji na ukuaji wa cell za mapafu pasipo mpangilio (Abnormal Cells) kwenye tishu za mapafu.

๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—”๐—™๐—จ (๐—ž๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—ข๐— ๐—”๐—ฆ๐—œ).

โ–ช๏ธUvutaji sigara kupita kiasi au kuvuta moshi wa sigara kutoka kwa mtu anaevuta sigara.

โ–ช๏ธUnywaji pombe kupita kiasi.

โ–ช๏ธUchafuzi wa hali ya hewa k**a vile moshi wa magari na viwandani.

โ–ช๏ธUlaji wa nyama nyekundu kupita kiasi k**a vile nyama ya ng'ombe, nguruwe, kondoo na mbuzi.

โ–ช๏ธKazi za migodini uchimbaji wa madini.

โ–ช๏ธMaswala ya kijenetic (Kurithishwa katika ukoo wenye historia ya ugonjwa wa saratani ya mapafu).

โ–ช๏ธUlaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na chumvi.

๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—”๐—™๐—จ (๐—ž๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—ข๐— ๐—”๐—ฆ๐—œ).

โ–ช๏ธUpungufu wa pumzi, kupumua kwa shida na kukosa pumzi kabisa.

โ–ช๏ธKukohoa damu na kikohozi kikavu.

โ–ช๏ธMaumivu ya kifua na kujihisi mgonjwa, mwili kuuma na kukosa nguvu.

โ–ช๏ธKupoteza uzito, kupoteza umakini katika kazi, kupoteza hamu ya kula.

โ–ช๏ธNgozi kuwa kavu na kupoteza mwonekano.

๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐——๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—”๐—™๐—จ ๐—ž๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—ข๐— ๐—”๐—ฆ๐—œ ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—˜๐— ๐—”!.

โ–ช๏ธMapafu kujaa maji, mapafu kutengeneza vimbe na vidonda sugu.

โ–ช๏ธMaumivu ya mara kwa mara ya kifua na kukosa pumzi.

โ–ช๏ธUwepo wa sumu nyingi na mabaki ya protini kwenye damu kutengeneza cholesterol.

โ–ช๏ธKuferi kwa ini, figo, kongosho na Moyo.

โ–ช๏ธKupata strock yani kiharusi au kupalalaizi na kupoteza kumbu kumbu.

โ–ช๏ธKudhoofika kwa kinga ya mwili na kupata magonjwa sugu ya kuambukiza na yasiyo ambukiza.

โ–ช๏ธKupata shambulio la moyo, mishipa ya moyo kusinyaa au kutanuka.

โ–ช๏ธMgonjwa kupoteza maisha.

๐—จ๐—›๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—” ๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—”๐—™๐—จ ๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—จ๐—ก๐—œ!.

Kwa jumla ya asilimia 58% ya mwatu wote ulimwenguni na asilimia 16% barani Afrika hugundulika idadi ya watu wanao ishi na saratani ya mapafu kwakipindi kilefu pasipo wao kujitambua hali ambayo inaendelea kutishia maisha.

Saratani ya mapafu yani kasinomasi ni kisababishi kikuu cha vifo ulimwenguni vinavyo husiana uwepo wa saratani ya mapafu kwa jinsia zote wanaume na wanawake, na husababisha takribani vifo milioni 8.32 ya vifo duniani kote.

๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—”๐—™๐—จ.

Matibabu na matokeo ya muda mlefu na ya kudumu, inategemea na aina ya saratani ya mapafu, hatua yani kiwango cha uweneaji wa cell hizi za kansa katika tishu za mapafu na afya ya mgonjwa husika.

๐—ž๐—”๐—ฅ๐—œ๐—•๐—จ ๐—ง๐—จ๐—ž๐—จ๐—›๐—จ๐——๐—จ๐— ๐—œ๐—˜ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ญ๐—” ๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—ง๐—ข๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ!.

Huduma ya kumuona daktari na ushauri hutolewa Bure.

๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—ก๐——๐—œ ๐—–๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐——๐—›๐—จ๐—ฅ๐—œ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ( ๐——๐—ข๐—ญ๐—œ ) ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—›๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ช๐—” ๐—จ๐—ง๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐— ๐—”๐—”๐—Ÿ๐—จ๐— ๐—จ ๐—ช๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—ฆ๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—” ๐—ฆ๐—”๐— ๐—•๐—”๐— ๐—•๐—” ๐—ก๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—›๐—œ๐—Ÿ๐—œ, ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—ข๐—ž๐—˜๐—ข ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐— ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐——๐—จ๐— ๐—จ!.

๐‘ฒ๐‘พ๐‘จ ๐‘ด๐‘จ๐‘พ๐‘จ๐‘บ๐‘ฐ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘จ๐‘ต๐‘ถ ๐’๐‘จ๐‘ฐ๐‘ซ๐‘ฐ ๐‘ป๐‘ผ๐‘ท๐‘ฐ๐‘ฎ๐‘ฐ๐‘ฌ ๐‘จ๐‘ผ ๐‘พ๐‘ฏ๐‘จ๐‘ป๐‘บ๐‘จ๐‘ท๐‘ท ๐‘ต๐‘ผ๐‘ด๐‘ฉ๐‘ฌ๐‘น -
0719 943 008

๐‘ฒ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ๐‘ฉ๐‘ผ ๐‘พ๐‘จ๐‘ฒ๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ ๐‘พ๐‘ถ๐‘ป๐‘ฌ.

"๐—๐—˜..! ๐—จ๐—ก๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐—š๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—”๐—ญ๐—œ.?" ๐ŸŒธ๐Ÿฉบ.๐—ฆ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ? ๐Ÿค”.๐—ฆ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ...
26/09/2024

"๐—๐—˜..! ๐—จ๐—ก๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐—š๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—”๐—ญ๐—œ.?" ๐ŸŒธ๐Ÿฉบ.

๐—ฆ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ? ๐Ÿค”.

๐—ฆ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ni aina ya saratani inayotokea katika seli za shingo ya kizazi, sehemu inayounganisha mfuko wa uzazi na uke. Saratani hii mara nyingi inahusishwa na maambukizi ya virusi vya ๐—›๐˜‚๐—บ๐—ฎ๐—ป ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐—น๐—น๐—ผ๐—บ๐—ฎ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฟ๐˜‚๐˜€ (๐—›๐—ฃ๐—ฉ), ambavyo vinaweza kusababisha mabadiliko ya seli ambazo baadaye zinaweza kuwa saratani.

๐ƒ๐š๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐š ๐’๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐’๐ก๐ข๐ง๐ ๐จ ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐ณ๐š๐ณ๐ข ๐Ÿ“‹โš 

1. ๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ƒ๐š๐ฆ๐ฎ ๐ˆ๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐š ๐Š๐š๐ฐ๐š๐ข๐๐š:
Kutokwa na damu katikati ya vipindi vya hedhi, baada ya kujamiana, au baada ya kukoma kwa hedhi.

2. ๐Œ๐š๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐–๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ฐ๐š ๐Š๐ฎ๐ฃ๐š๐ฆ๐ข๐š๐ง๐š:
Maumivu au usumbufu wakati wa kujamiana.

3. ๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐Œ๐š๐ฃ๐ข๐ฆ๐š๐ฃ๐ข ๐˜๐š๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐š ๐Š๐š๐ฐ๐š๐ข๐๐š:
Majimaji ya rangi tofauti na harufu isiyo ya kawaida kutoka ukeni.

4. ๐Œ๐š๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐“๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐ฅ๐š ๐‚๐ก๐ข๐ง๐ข ๐ง๐š ๐Œ๐ ๐จ๐ง๐ ๐จ:
Maumivu ya mara kwa mara katika eneo la chini ya tumbo, mgongo na nyonga. ๐Ÿฉป

5. ๐Œ๐š๐›๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐Œ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐จ ๐ฐ๐š ๐ก๐ž๐๐ก๐ข:
Mzunguko wa hedhi wenye mabadiliko yasio ya kawaida, k**a vile kuwa na hedhi nzito kuliko kawaida.

๐ƒ๐š๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐š ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฌ๐ก๐จ ( ikiwa saratani imeenea ).

โš  Miguu kuvimba
โš  Uchovu wa kupindukia.
โš  kupungua uzito bilasababu maalum.

๐•๐ข๐ฌ๐š๐›๐š๐›๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ง๐š ๐•๐ข๐ก๐š๐ญ๐š๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐Ÿงซ๐Ÿ”ฌ

1. ๐‘ด๐’‚๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’Š ๐’š๐’‚ ๐‘ฏ๐‘ท๐‘ฝ:
HPV ni sababu kuu ya saratani ya shingo ya kizazi. Kuna aina nyingi za HPV, lakini aina 16 na 18 husababisha asilimia kubwa ya saratani hii.

2. ๐‘ป๐’‚๐’ƒ๐’Š๐’‚ ๐’›๐’‚ ๐‘ต๐’ˆ๐’๐’๐’:
Kuwa na washirika wengi wa ngono au kufanya ngono bila kinga huongeza hatari ya maambukizi ya HPV.

3. ๐‘ฒ๐’–๐’—๐’–๐’•๐’‚ ๐‘บ๐’Š๐’ˆ๐’‚๐’“๐’‚:
Kuvuta sigara kunaongeza hatari ya kupata saratani hii.

4. ๐‘ฒ๐’Š๐’๐’ˆ๐’‚๐’Ž๐’˜๐’Š๐’๐’Š ๐‘ซ๐’–๐’๐’Š:
Watu wenye kingamwili duni, k**a vile wale walio na HIV/AIDS, wako katika hatari kubwa zaidi.

๐™ˆ๐˜ผ๐˜ฟ๐™ƒ๐˜ผ๐™๐˜ผ

1. Maumivu na kuumwa chini ya Tumbo na Mgongo
2. Msongo wa mawazo na Huzuni
3. Kupungua kwa Hamu ya kujamiana

๐‘ด๐‘จ๐‘ซ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘จ ๐‘ฏ๐‘จ๐‘ป๐‘จ๐‘น๐‘ฐ๐‘บ๐‘ฏ๐‘ฐ:

โš  Mabadiliko kwenye shingo ya kizazi k**a vile Saratani au matibabu yake, yanaweza kuathiri uwezo wa mwanamke kupata mimba ( ๐™๐™‚๐™๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ ).

โš  Uvimbe , unaoweza kusababisha miguu kuvimba ( ๐™‡๐™ฎ๐™ข๐™ฅ๐™๐™ค๐™š๐™™๐™š๐™ข๐™–).

โš  Upungufu wa damu ( ๐˜ผ๐™‰๐™€๐™ˆ๐™„๐˜ผ ).

โš  Matatizo ya Mkojo, Saratani inaweza kukusababishia matatizo ya kukojoa , ikiwa ni pamoja na mkojo wa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa.

โš  Mzunguko wa Hedhi usio wa kawaida, mabadiliko haya katika shingo ya kizazi yanaweza kuathiri mzunguko wa hedhi na kusababisha kutokwa na damu nyingi au kidogo kupita kiasi.

โš  Maumivu wakati wa Kujamiiana.

๐—ž๐—จ๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—”:
๐Ÿฉบ Ni muhimu kwa wagonjwa kupata msaada wa Kimatibabu, Kisaikolojia ili kukabiliana na madhara haya kwa haraka zaidi. Pia, chanjo dhidi ya virusi vya HPV inaweza kusaidia kuzuia aina nyingi za saratani ya shingo ya kizazi.

๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐—ต๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ
kwani maradhi yakikomaa ni ngumu sana kuyatibu na kurejea mapema katika afya yako ya awali na utatumia gharama nyingi na dawa nyingi na hivyo kupelekea sumu nyingi mwilini na kusababisha maradhi mengine k**a FIGO kufeli ama kansa ya FIGO au mawe kwenye figo. karibuni kwa msaada wa kimatibabu.

๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—จ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฒ ๐—ž๐˜‚๐˜๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ..! ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ž๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ. ๐Ÿ“ž 071994 3008 au Whatsapp 0719 943 008 .

๐—•๐—”๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—œ๐—ก๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ž๐—” ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ฆ๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—ก๐—” ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐Š๐”๐‰๐ˆ๐‘๐”๐ƒ๐ˆ๐€.Je...! Umekuwa ukiteseka sana na ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ bila kupona ,tumekuletea su...
25/09/2024

๐—•๐—”๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—œ๐—ก๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ž๐—” ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ฆ๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—ก๐—” ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐Š๐”๐‰๐ˆ๐‘๐”๐ƒ๐ˆ๐€.

Je...! Umekuwa ukiteseka sana na ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ bila kupona ,tumekuletea suluhisho la kudumu zaidi bila ugonjwa kujirudia tena.

UKWELI KUHUSU ๐—•๐—”๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ.

๐—•๐—”๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ni hali ya kawaida inayotokea kwa watu wengi sana, lakini kuna ukweli na mitazamo tofauti kuhusu ugonjwa huu ( soma hadi mwisho kuelewa na k**a ni miongoni mwa wagonjwa au ndugu Jitahidi upate Matibabu sahihi kwa wakati sahihi, kuepusha madhara yajayo ). Hapa kuna ukweli muhimu kuhusu bawasiri nilio kuandalia:

๐Ÿ—ฃ๏ธ ๐—•๐—”๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ Ni Hali ya Kawaida...!

Karibu nusu ya watu wazima hupata bawasiri mara moja katika maisha yao, hasa baada ya umri wa miaka 50 kwa zamani ila kwa sasa umri chini ya hapo wengi ndo hupata sana Bawasiri na wengi wao wanatumia dawa hawaponi, baada ya muda ugonjwa unarudi tena, kwanini unakuwa hivo kwasababu dawa unazo tumia haziendi kutibu chanzo Cha tatizo bali kutuliza maumivu, au kufubaza madharia na pia kutokujua kinacho tibiwa kipo katika stage ipi. Lakini Bawasiri Ni hali inayotokea kutokana na shinikizo kwenye mishipa ya damu ya eneo la haja kubwa..

Ugonjwa huu katika jamii hufamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.

Ugonjwa huu umekuwa ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za Africa mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.

๐Š๐”๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐€ ๐Š๐”๐” ๐Œ๐๐ˆ๐‹๐ˆ ๐™๐€ ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ

โœ“BAWASIRI YA NJE. โœ“BAWASIRI YA NDANI.

๐Ÿ. ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐๐ƒ๐€๐๐ˆ

Ndio bawasiri mbaya kabisa kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo na hii inatokana na tabia ya bawasiri ya ndani kutokuwa na maumivu wakati inaanza.
Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mishipa ya artery ya ndani kwa mfereji wa haja kubwa.

๐’๐€๐๐€๐๐” ๐™๐ˆ๐๐€๐™๐Ž๐๐„๐‹๐„๐Š๐„๐€ ๐Œ๐“๐” ๐Š๐”๐๐€๐“๐€ ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ

ยฐTabia ya kuketi sehemu moja kwa mda mrefu mfano , dereva

ยฐTatizo sugu la kuharisha

ยฐUjauzito

ยฐUzito wa mwili kupita kiasi

ยฐKufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiana)

ยฐKupata haja kubwa ngumu kwa mda mrefu

ยฐKua na mgando mkubwa tumboni

ยฐMatumizi ya vyoo kwa muda mrefu

ยฐUlevi /kutumia pombe

ยฐKula sana nyama nyekundu

๐€๐“๐‡๐€๐‘๐ˆ ๐™๐€ ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ

Baadhi ya athari k**a utashindwa kupata tiba mapema ya kutibu moja kwa moja bawasiri;

: Upungufu wa damu mwilini

: kutokwa na kinyesi bila kujitambua

: kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

: kukosa nguvu za kiume( kwa mwanamke)

: kupungukiwa nguvu za kufanya kazi kutokana na maumivu

: kupata tatizo la kisaikolojia

๐Ÿ. ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐๐‰๐„

Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la haja kubwa , pia husababisha mishipa ya damu (vena)kupasuka na damu kuganda na kusababisha aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS.

๐˜ฟ๐˜ผ๐™‡๐™„๐™‡๐™„ ๐™•๐˜ผ ๐˜ฝ๐˜ผ๐™’๐˜ผ๐™Ž๐™„๐™๐™„

= Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

= kujitokeza kinyama eneo la haja kubwa

= kutokewa na kiuvimbe katika tundu la haja kubwa

= kupata kinyesi chenye damu

= kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

๐™ˆ๐˜ผ๐™๐™„๐˜ฝ๐˜ผ๐˜ฝ๐™ ๐™”๐˜ผ ๐˜ฝ๐˜ผ๐™’๐˜ผ๐™Ž๐™„๐™๐™„

Matibabu ya bawasiri hutegemea na aina ya bawasiri ,mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kutokana na wagonjwa wengi tunao wapokea na kuwasaidia tatzo Hili kwa kupona kabisa husema wametumia dawa tofauti na baada ya muda tatizo hujirudia tena kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayo tibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula ,kuondoa mazaria yote ya ugonjwa huu na kuondoa sumu mwilini, kuamsha na kurejesha kinga za mwili zilizo shambuliwa na maradhi haya.

Hayo ni mambo ya msingi zaidi kuyajua kabla ya kupata tiba.

๐—ก๐—ถ ๐˜„๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ป๐—ฑ๐˜‚๐—ด๐˜‚, ๐—ฟ๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ถ, ๐—บ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ฟ๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ na ๐๐ข๐ฅ๐š ๐ฎ๐ฉ๐š๐ฌ๐ฎ๐š๐ฃ๐ข.

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ.
Unaweza kutupigia kwa number au Whatsapp 0719 943 008 .

๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐ˆ๐๐€๐“๐ˆ๐๐ˆ๐Š๐€ ๐๐ˆ๐‹๐€ ๐Š๐”๐‰๐ˆ๐‘๐”๐ƒ๐ˆ๐€ .Je...! Umekuwa ukiteseka sana na ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ bila kupona ,tumekuletea suluhisho la kudum...
22/08/2024

๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐ˆ๐๐€๐“๐ˆ๐๐ˆ๐Š๐€ ๐๐ˆ๐‹๐€ ๐Š๐”๐‰๐ˆ๐‘๐”๐ƒ๐ˆ๐€ .

Je...! Umekuwa ukiteseka sana na ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ bila kupona ,tumekuletea suluhisho la kudumu zaidi bila ugonjwa kujirudia tena.

๐“๐€๐“๐ˆ๐™๐Ž ๐‹๐€ ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ (๐‡๐„๐Œ๐Ž๐‘๐‘๐‡๐Ž๐ˆ๐ƒ๐’/๐๐ˆ๐‹๐„๐’)... Bawasiri katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa Ugonjwa huu wa bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa.

Ugonjwa huu katika jamii hufamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.

Ugonjwa huu umekuwa ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za Africa mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.

๐Š๐”๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐€ ๐Š๐”๐” ๐Œ๐๐ˆ๐‹๐ˆ ๐™๐€ ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ

โœ“BAWASIRI YA NJE. โœ“BAWASIRI YA NDANI.

๐Ÿ. ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐๐ƒ๐€๐๐ˆ

Ndio bawasiri mbaya kabisa kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo na hii inatokana na tabia ya bawasiri ya ndani kutokuwa na maumivu wakati inaanza.
Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mishipa ya artery ya ndani kwa mfereji wa haja kubwa.

๐’๐€๐๐€๐๐” ๐™๐ˆ๐๐€๐™๐Ž๐๐„๐‹๐„๐Š๐„๐€ ๐Œ๐“๐” ๐Š๐”๐๐€๐“๐€ ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ

ยฐTabia ya kuketi sehemu moja kwa mda mrefu mfano , dereva

ยฐTatizo sugu la kuharisha

ยฐUjauzito

ยฐUzito wa mwili kupita kiasi

ยฐKufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiana)

ยฐKupata haja kubwa ngumu kwa mda mrefu

ยฐKua na mgando mkubwa tumboni

ยฐMatumizi ya vyoo kwa muda mrefu

ยฐUlevi /kutumia pombe

ยฐKula sana nyama nyekundu

๐€๐“๐‡๐€๐‘๐ˆ ๐™๐€ ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ

Baadhi ya athari k**a utashindwa kupata tiba mapema ya kutibu moja kwa moja bawasiri;

: Upungufu wa damu mwilini

: kutokwa na kinyesi bila kujitambua

: kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

: kukosa nguvu za kiume( kwa mwanamke)

: kupungukiwa nguvu za kufanya kazi kutokana na maumivu

: kupata tatizo la kisaikolojia

๐Ÿ. ๐๐€๐–๐€๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐๐‰๐„

Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la haja kubwa , pia husababisha mishipa ya damu (vena)kupasuka na damu kuganda na kusababisha aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS.

๐˜ฟ๐˜ผ๐™‡๐™„๐™‡๐™„ ๐™•๐˜ผ ๐˜ฝ๐˜ผ๐™’๐˜ผ๐™Ž๐™„๐™๐™„

= Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

= kujitokeza kinyama eneo la haja kubwa

= kutokewa na kiuvimbe katika tundu la haja kubwa

= kupata kinyesi chenye damu

= kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

๐™ˆ๐˜ผ๐™๐™„๐˜ฝ๐˜ผ๐˜ฝ๐™ ๐™”๐˜ผ ๐˜ฝ๐˜ผ๐™’๐˜ผ๐™Ž๐™„๐™๐™„

Matibabu ya bawasiri hutegemea na aina ya bawasiri ,mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kutokana na wagonjwa wengi tunao wapokea na kuwasaidia tatzo Hili kwa kupona kabisa husema wametumia dawa tofauti na baada ya muda tatizo hujirudia tena kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayo tibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula ,kuondoa mazaria yote ya ugonjwa huu na kuondoa sumu mwilini, kuamsha na kurejesha kinga za mwili zilizo shambuliwa na maradhi haya.

Hayo ni mambo ya msingi zaidi kuyajua kabla ya kupata tiba.

๐—ก๐—ถ ๐˜„๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ป๐—ฑ๐˜‚๐—ด๐˜‚, ๐—ฟ๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ถ, ๐—บ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ฟ๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ na ๐๐ข๐ฅ๐š ๐ฎ๐ฉ๐š๐ฌ๐ฎ๐š๐ฃ๐ข.

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ.
Unaweza kutupigia kwa number au Whatsapp 0719 943 008 .

๐™…๐™š, ๐™๐™ฃ๐™–๐™ฉ๐™–๐™›๐™ช๐™ฉ๐™– ๐™๐™ž๐™—๐™– ๐˜ฝ๐™ค๐™ง๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ƒ๐™–๐™ง๐™–๐™ ๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™Ž๐™–๐™ง๐™–๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™จ๐™๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ค ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ฏ๐™–๐™ฏ๐™ž ?.Katika Kliniki ya Afya Bora, tunaelewa jinsi maum...
19/08/2024

๐™…๐™š, ๐™๐™ฃ๐™–๐™ฉ๐™–๐™›๐™ช๐™ฉ๐™– ๐™๐™ž๐™—๐™– ๐˜ฝ๐™ค๐™ง๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ƒ๐™–๐™ง๐™–๐™ ๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™Ž๐™–๐™ง๐™–๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™จ๐™๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ค ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ฏ๐™–๐™ฏ๐™ž ?.

Katika Kliniki ya Afya Bora, tunaelewa jinsi maumivu yanavyoweza kukufanya uhisi kutofurahia maisha yako. Ndiyo maana tumejipanga kutoa matibabu bora na ya haraka ili urejee kwenye hali yako ya kawaida kwa muda mfupi.

๐™Ž๐™–๐™ง๐™–๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™จ๐™๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ค ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ฏ๐™–๐™ฏ๐™ž, ๐™–๐™ช ๐™จ๐™–๐™ง๐™–๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™ก๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ค ๐™ฌ๐™– ๐™ช๐™ฏ๐™–๐™ฏ๐™ž (๐™˜๐™š๐™ง๐™ซ๐™ž๐™˜๐™–๐™ก ๐™˜๐™–๐™ฃ๐™˜๐™š๐™ง).

Ni aina ya saratani inayotokea kwenye seli za shingo ya kizazi, sehemu ya chini ya mji wa uzazi ambayo inaungana na uke. Saratani hii inakua polepole na mara nyingi inasababishwa na maambukizi ya muda mrefu ya virusi vya Human Papillomavirus (HPV), hasa aina fulani za virusi hivi ambazo zina uwezekano mkubwa wa kusababisha saratani.

๐‘ซ๐’‚๐’๐’Š๐’๐’Š ๐’›๐’‚ ๐‘บ๐’‚๐’“๐’‚๐’•๐’‚๐’๐’Š ๐’š๐’‚ ๐‘บ๐’‰๐’Š๐’๐’ˆ๐’ ๐’š๐’‚ ๐‘ฒ๐’Š๐’›๐’‚๐’›๐’Š

Dalili za saratani ya shingo ya kizazi zinaweza kuwa:

1. Kutokwa na damu isiyo ya kawaida:
Hii inaweza kujumuisha damu baada ya tendo la ndoa, katikati ya mzunguko wa hedhi, au baada ya kufikia kipindi cha ukomo wa hedhi.

2. Maumivu ya nyonga:
Maumivu yasiyoelezeka kwenye eneo la nyonga yanaweza kuwa dalili.

3. Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni:
Mara nyingi uchafu huu unaweza kuwa na rangi ya kahawia au kuwa na harufu isiyo ya kawaida.

4. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

๐‘ด๐’‚๐’…๐’‰๐’‚๐’“๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐‘บ๐’‚๐’“๐’‚๐’•๐’‚๐’๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Œ๐’Š๐’›๐’‚๐’›๐’Š.

Saratani ya shingo ya kizazi inaweza kusababisha madhara mbalimbali, yanayoweza kuathiri mwili na maisha ya mgonjwa. Madhara haya yanaweza kugawanywa katika madhara ya kiafya, kijamii, na kisaikolojia, kulingana na hatua ya ugonjwa, matibabu yaliyotumika, na hali ya mgonjwa.

Baadhi ya Madhara hayo ni
1. Kuenea kwa Saratani:
Iwapo saratani haitagundulika na kutibiwa mapema, inaweza kuenea kwenye maeneo mengine ya mwili, k**a vile viungo vya uzazi, kibofu cha mkojo, rektamu, na hata mapafu au mifupa. Hii inaweza kusababisha matatizo makubwa zaidi kiafya.

2. Kuondolewa kwa Uzazi (Hysterectomy):
Katika hatua za juu za saratani, inaweza kuwa lazima kuondoa kizazi kwa upasuaji, jambo ambalo linaweza kumfanya mgonjwa kutoweza kupata watoto tena.

3. Matatizo ya Mkojo na Matumbo:
Matibabu k**a upasuaji, mionzi, au chemotherapy yanaweza kuathiri mfumo wa mkojo na matumbo, na kusababisha matatizo k**a vile kutozuia mkojo, kuhisi maumivu wakati wa kukojoa, au kuvimbiwa.

4. Mabadiliko ya Homoni:
Iwapo ovari pia zitaondolewa wakati wa upasuaji, mgonjwa anaweza kuingia katika kipindi cha ukomo wa hedhi mapema, hali inayoweza kuleta mabadiliko ya homoni na madhara yanayohusiana, k**a vile joto kali mwilini na mabadiliko ya hisia.

5. Uchovu na Ulegevu:
Matibabu ya saratani, hususan chemotherapy na radiotherapy, mara nyingi husababisha uchovu mwingi, ambao unaweza kuathiri uwezo wa mgonjwa kushiriki katika shughuli za kila siku.

๐—›๐—ถ๐˜๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ
Madhara ya saratani ya shingo ya kizazi ni mengi na yanaweza kuwa makubwa kwa mgonjwa na kwa watu wa karibu naye. Hii inasisitiza umuhimu wa kugundua mapema na kupata matibabu stahiki, pamoja na msaada wa kisaikolojia na kijamii ili kusaidia kukabiliana na athari zake.

Saratani ya shingo ya kizazi inatibika ikiwa itagunduliwa mapema, na kwa hiyo ni muhimu kwa wanawake kufanya uchunguzi wa mara kwa mara na kufuata ushauri wa kitaalamu.

๐‘ผ๐’”๐’Š๐’Œ๐’–๐’ƒ๐’‚๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’–๐’Ž๐’Š๐’—๐’– ๐’š๐’‚๐’Œ๐’–๐’›๐’–๐’Š๐’†. ๐‘ท๐’‚๐’•๐’‚ ๐’•๐’Š๐’ƒ๐’‚ ๐’ƒ๐’๐’“๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐’‰๐’‚๐’“๐’‚๐’Œ๐’‚ ๐’๐’†๐’ ๐’๐’‚ ๐’–๐’‡๐’–๐’“๐’‚๐’‰๐’Š๐’† ๐’Ž๐’‚๐’Š๐’”๐’‰๐’‚ ๐’š๐’‚๐’Œ๐’ ๐’•๐’†๐’๐’‚!.

KARIBU

Unaweza tupigia simu kwa number 0719943008 au Whatsapp number
0719 943 008

"๐—๐—˜..! ๐—จ๐—ก๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐—š๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—”๐—ญ๐—œ.?" ๐ŸŒธ๐Ÿฉบ.๐—ฆ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ? ๐Ÿค”๐—ฆ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ...
10/07/2024

"๐—๐—˜..! ๐—จ๐—ก๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐—š๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—”๐—ญ๐—œ.?" ๐ŸŒธ๐Ÿฉบ.

๐—ฆ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ? ๐Ÿค”

๐—ฆ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ni aina ya saratani inayotokea katika seli za shingo ya kizazi, sehemu inayounganisha mfuko wa uzazi na uke. Saratani hii mara nyingi inahusishwa na maambukizi ya virusi vya ๐—›๐˜‚๐—บ๐—ฎ๐—ป ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐—น๐—น๐—ผ๐—บ๐—ฎ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฟ๐˜‚๐˜€ (๐—›๐—ฃ๐—ฉ), ambavyo vinaweza kusababisha mabadiliko ya seli ambazo baadaye zinaweza kuwa saratani.

๐ƒ๐š๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐š ๐’๐š๐ซ๐š๐ญ๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐’๐ก๐ข๐ง๐ ๐จ ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐ณ๐š๐ณ๐ข ๐Ÿ“‹โš 

1. ๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ƒ๐š๐ฆ๐ฎ ๐ˆ๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐š ๐Š๐š๐ฐ๐š๐ข๐๐š:
Kutokwa na damu katikati ya vipindi vya hedhi, baada ya kujamiana, au baada ya kukoma kwa hedhi.

2. ๐Œ๐š๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐–๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ฐ๐š ๐Š๐ฎ๐ฃ๐š๐ฆ๐ข๐š๐ง๐š:
Maumivu au usumbufu wakati wa kujamiana.

3. ๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐Œ๐š๐ฃ๐ข๐ฆ๐š๐ฃ๐ข ๐˜๐š๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐š ๐Š๐š๐ฐ๐š๐ข๐๐š:
Majimaji ya rangi tofauti na harufu isiyo ya kawaida kutoka ukeni.

4. ๐Œ๐š๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐“๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐ฅ๐š ๐‚๐ก๐ข๐ง๐ข ๐ง๐š ๐Œ๐ ๐จ๐ง๐ ๐จ:
Maumivu ya mara kwa mara katika eneo la chini ya tumbo, mgongo na nyonga. ๐Ÿฉป

5. ๐Œ๐š๐›๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐Œ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐จ ๐ฐ๐š ๐ก๐ž๐๐ก๐ข:
Mzunguko wa hedhi wenye mabadiliko yasio ya kawaida, k**a vile kuwa na hedhi nzito kuliko kawaida.

๐ƒ๐š๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐š ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฌ๐ก๐จ ( ikiwa saratani imeenea ).

โš  Miguu kuvimba
โš  Uchovu wa kupindukia.
โš  kupungua uzito bilasababu maalum.

๐•๐ข๐ฌ๐š๐›๐š๐›๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ง๐š ๐•๐ข๐ก๐š๐ญ๐š๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐Ÿงซ๐Ÿ”ฌ

1. ๐‘ด๐’‚๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’Š ๐’š๐’‚ ๐‘ฏ๐‘ท๐‘ฝ:
HPV ni sababu kuu ya saratani ya shingo ya kizazi. Kuna aina nyingi za HPV, lakini aina 16 na 18 husababisha asilimia kubwa ya saratani hii.

2. ๐‘ป๐’‚๐’ƒ๐’Š๐’‚ ๐’›๐’‚ ๐‘ต๐’ˆ๐’๐’๐’:
Kuwa na washirika wengi wa ngono au kufanya ngono bila kinga huongeza hatari ya maambukizi ya HPV.

3. ๐‘ฒ๐’–๐’—๐’–๐’•๐’‚ ๐‘บ๐’Š๐’ˆ๐’‚๐’“๐’‚:
Kuvuta sigara kunaongeza hatari ya kupata saratani hii.

4. ๐‘ฒ๐’Š๐’๐’ˆ๐’‚๐’Ž๐’˜๐’Š๐’๐’Š ๐‘ซ๐’–๐’๐’Š:
Watu wenye kingamwili duni, k**a vile wale walio na HIV/AIDS, wako katika hatari kubwa zaidi.

๐™ˆ๐˜ผ๐˜ฟ๐™ƒ๐˜ผ๐™๐˜ผ

1. Maumivu na kuumwa chini ya Tumbo na Mgongo
2. Msongo wa mawazo na Huzuni
3. Kupungua kwa Hamu ya kujamiana

๐‘ด๐‘จ๐‘ซ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘จ ๐‘ฏ๐‘จ๐‘ป๐‘จ๐‘น๐‘ฐ๐‘บ๐‘ฏ๐‘ฐ:

โš  Mabadiliko kwenye shingo ya kizazi k**a vile Saratani au matibabu yake, yanaweza kuathiri uwezo wa mwanamke kupata mimba ( ๐™๐™‚๐™๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ ).

โš  Uvimbe , unaoweza kusababisha miguu kuvimba ( ๐™‡๐™ฎ๐™ข๐™ฅ๐™๐™ค๐™š๐™™๐™š๐™ข๐™–).

โš  Upungufu wa damu ( ๐˜ผ๐™‰๐™€๐™ˆ๐™„๐˜ผ ).

โš  Matatizo ya Mkojo, Saratani inaweza kukusababishia matatizo ya kukojoa , ikiwa ni pamoja na mkojo wa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa.

โš  Mzunguko wa Hedhi usio wa kawaida, mabadiliko haya katika shingo ya kizazi yanaweza kuathiri mzunguko wa hedhi na kusababisha kutokwa na damu nyingi au kidogo kupita kiasi.

โš  Maumivu wakati wa Kujamiiana.

๐—ž๐—จ๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—”:
๐Ÿฉบ Ni muhimu kwa wagonjwa kupata msaada wa Kimatibabu, Kisaikolojia ili kukabiliana na madhara haya kwa haraka zaidi. Pia, chanjo dhidi ya virusi vya HPV inaweza kusaidia kuzuia aina nyingi za saratani ya shingo ya kizazi.

๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐—ต๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ
kwani maradhi yakikomaa ni ngumu sana kuyatibu na kurejea mapema katika afya yako ya awali na utatumia gharama nyingi na dawa nyingi na hivyo kupelekea sumu nyingi mwilini na kusababisha maradhi mengine k**a FIGO kufeli ama kansa ya FIGO au mawe kwenye figo. karibuni kwa msaada wa kimatibabu.

๐—ง๐˜‚๐—ท๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜„๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ป๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ. ๐ŸŒธ๐Ÿ’ช

๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—จ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฒ ๐—ž๐˜‚๐˜๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ..! ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ž๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255719943008

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. AFYA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram