01/09/2025
Ni**le Discharge, ni Hali ambayo maji, Ute, au maji maji aina yoyote hutokea kwenye chuchu ya mwanamke au mwanaume, na hii Hali haihusishwi katika Kipindi Cha kunyonyesha au ujauzito.
Ni**le Discharge ni kawaida kutokea kwa mwanamke ila si kawaida endapo ikitokea kwa mwanaume.
Lakini Hali hii ya chuchu kutoa maji au uchafu hutokea sana kwa Wanawake,
AINA ZA MAJI YANAYOWEZA KUTOKA KWENYE CHUCHU
โ
K**a maziwa โ mara nyingi hutokea kwa sababu ya homoni au mimba.
โ
K**a damu โ hii mara nyingi siyo ya kawaida na inahitaji uchunguzi.
โ
K**a usaha โ huashiria maambukizi ya t**i.
โ
Maji safi au ya njano kidogo โ yanaweza kuwa ya kawaida au kutokana na uvimbe mdogo kwenye t**i.
SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA CHUCHU KUTOA MAJI.
โ
Kubonyeza chuchu mara kwa mara
โ
Mimba au baada ya kuacha kunyonyesha
โ
Birth control pills ( Vidonge vya Uzazi wa mpango)
โ
Maambukizi ya t**i
โ
Uvimbe mdogo ndani ya t**i
โ
Saratani ya t**i (hasa k**a damu inatoka chuchu moja tu)
By the way, k**a na wewe ni mmoja Kati wanawake wanaopitia changamoto hii basi , tunalosuluhisho kwa ajili yako, kwani wengi wenye changamoto k**a hii niliyowasaidia wamepona , Sasa kwanini isiwe kwako?
Wasiliana nami kwa Whatsapp number 0788 282 112 kwa kunitumia ujumbe NAHITAJI, ili uanze safari yako ya matibabu kupitia Virutubisho vyetu asili.