
31/05/2025
🌱FAIDA ZA UWATU🌱
Mbegu hizi za UWATU hujulikana kwa jina la english k**a FENUGREEK , arabic huitwa HULBA (حلبة) na scientific name ni Trigonella foenum-graecum .
Uwatu una faida nyingi sanaa, leo napenda kuwapa faida zake japo kiuchache.
*MAANDALIZI YAKE:*
*Unachemsha k**a Maharage na Unakunywa maji yake.* Kunywa kutwa mara2.
Ama ikiwa umeupata wa unga tumia kijiko kimoja koroga kwenye maji vuguvugu ama uji kikombe kimoja kisha kunywa fanya hivyo kutwa mara2.
👉Kama unashambuliwa na tumbo lisilokuwa na dawa-tumia *UWATU*
👉Kama una *U.T.I* sugu isiyopona. 👉Kama umejifungua kunywa *UWATU* Utasafika haraka na kukauka haraka.
👉Kama Umeharibu *MIMBA* baada ya kusafishwa hospital kunywa *UWATU.* 👉Kama una Blid zaidi ya siku 7 na kuendelea kunywa *UWATU.*
👉Kusafisha Mirija ya *Uzazi* kunywa *UWATU.*
👉Kama haupati Siku zako Kwa Kawaida, Namaanisha Leo *Damu* kesho tone, kesho unapata, kesho kutwa basi kunywa *UWATU.*
👉Kama unaumwa na *Chango* kunywa *UWATU.*
Pia uwatu husaidia kushusha sukari, kuweka homoni sawa kwa wanawake,
Huongeza uzalishaji wa maziwa kwa mama anayenyonyesha.
Huondoa cholesterol na kutibu obesity
Huweza kutibu tezi dume
Huongeza manii na uwezo katika tendo.
📌 *KWA MAMA MJA MZITO HARUHUSIWI KUTUMIA*
⚡ *UWATU pia ni nzuri kwa kusafisha nywele zenye MBA na zinazokatika.*
Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
0656303019
What's app/call
wa.me/255656303019
~Chief Sang'ida.