MLOWE health Clinic

MLOWE health Clinic vidonda vya tumbo

19/06/2024
0621446350 Inatibika
19/06/2024

0621446350

Inatibika

02/06/2024

๐•๐ˆ๐ƒ๐Ž๐๐ƒ๐€ ๐•๐˜๐€ ๐“๐”๐Œ๐๐Ž, (๐๐ž๐ฉ๐ญ๐ข๐œ ๐ฎ๐ฅ๐œ๐ž๐ซ๐ฌ).
Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijitundu au michubuko katika kuta za ndani za viungo vya mfumo wa uyeyushaji chakula.

๐”๐ญ๐š๐ฃ๐ฎ๐š๐ฃ๐ž ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฎ๐ง๐š
๐•๐ˆ๐ƒ๐Ž๐๐ƒ๐€ ๐•๐˜๐€ ๐“๐”๐Œ๐๐Ž, (๐๐ž๐ฉ๐ญ๐ข๐œ ๐ฎ๐ฅ๐œ๐ž๐ซ)

โ€ขKifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. โ€ข Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma k**a sindano na kuacha maumivu makali

โ€ข๐Š๐ข๐œ๐ก๐ž๐Ÿ๐ฎ๐œ๐ก๐ž๐Ÿ๐ฎ
โ€ข๐Š๐ข๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐š
โ€ข๐“๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐š๐š ๐ ๐ž๐ฌ๐ข
โ€ข๐“๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ค๐š ๐ฆ๐จ๐ญ๐จ

โ€ขMaumivu makali sehemu kilipo kidonda.
โ€ขKukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi.
โ€ข Kutapika nyongo.
โ€ขKutapika damu au kuharisha.
โ€ขKukosa hamu ya kula.
โ€ขKusahahu sahau na kupatwa na hasira bila sababu

๐Œ๐€๐ƒ๐‡๐€๐‘๐€ ๐˜๐€ ๐•๐ˆ๐ƒ๐Ž๐๐ƒ๐€ ๐•๐˜๐€ ๐“๐”๐Œ๐๐Ž, (๐๐ž๐ฉ๐ญ๐ข๐œ ๐ฎ๐ฅ๐œ๐ž๐ซ๐ฌ).
โ€ขHali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja.

๐•๐ˆ๐ƒ๐Ž๐๐ƒ๐€ ๐•๐˜๐€ ๐“๐”๐Œ๐๐Ž, (๐๐ž๐ฉ๐ญ๐ข๐œ ๐ฎ๐ฅ๐œ๐ž๐ซ๐ฌ). huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura.

โ€ข ๐•๐ˆ๐ƒ๐Ž๐๐ƒ๐€ ๐•๐˜๐€ ๐“๐”๐Œ๐๐Ž,

โ€ข๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—”,
Vidonda vya tumbo vinatibika na kupona kbsaa tuna product nzuri kwa ugonjwa huu wa vidonda vya tumbo haijalishi umeumwa muda mrefu kiasi ganiโ€ข

๐๐ข๐ ๐š ๐š๐ฎ ๐ฐ๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐€๐ฉ๐ฉ
๐Ÿฌ621446350

Kuna mbinu nyingi za kutibu ugonjwa wa presha, lakini muhimu ni kupunguza shinikizo la damu na kupunguza hatari ya ugonj...
01/06/2024

Kuna mbinu nyingi za kutibu ugonjwa wa presha, lakini muhimu ni kupunguza shinikizo la damu na kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo na mishipa. Unashauriwa kupunguza uzito wa mwili kwa mtu mwenye uzito kupita kiasi, punguza unywaji wa pombe, mazoezi (dakika 30-45 siku za wiki), punguza ulaji wa chumvi, acha kuvuta sigara na punguza ulaji wa mafuta yaliyojaa kwenye lishe kwa afya ya moyo na mishipa kwa ujumla.

Presha inaweza ikawa ni ugonjwa wa maisha yote. Shinikizo la damu lisilotibiwa huongeza hatari ya vifo na mara nyingi presha inauwa kimya kimya. Shinikizo la damu kidogo hadi la wastani, ikiwa halijatibiwa, linahusishwa na hatari ya uharibifu wa viungo nyeti katika mwili.

Whatsapp
#+255621446350

SABABU ZA TUMBO KUUNGURUMA NA KUJAA GESI.Mara nyingi gesi tumboni inaletwa na chakula ambacho hakijamengโ€™enywa vizuri au...
18/05/2024

SABABU ZA TUMBO KUUNGURUMA NA KUJAA GESI.

Mara nyingi gesi tumboni inaletwa na chakula ambacho hakijamengโ€™enywa vizuri au kumeza kiasi kikubwa cha hewa. Mtu anapokula au kunywa anameza kiasi fulani cha hewa, hata hivyo zipo baadhi ya sababu zinazomfanya mtu ameze kiwango kikubwa zaidi cha hewa na kusababisha tumbo kujaa gesi. Sababu hizi ni pamoja na: .
โžข Kula au kunywa kwa haraka. .
โžข Uzito mkubwa au tumbo kubwa.. โžข Hitilafu katika mfumo wa mmengโ€™enyo wa chakula
โžข Kula vyakula vyenye mafuta mengi ambayo huchelewesha tumbo kufunguka kwa ajili ya usagaji wa chakula.
โžข Msongo wa mawazo na hasira.
โžข Kula haraka haraka na kula unaongea.
โžข Magonjwa na maambukizi katika mfumo wa chakula hasa kwenye tumbo na utumbo ambayo huzuia kusagwa na kufyonzwa kwa chakula.
โžข Kunywa vinywaji vyenye Carbonates, cola na kula vyakula vyenye gesi k**a maharage, bigiji, vitunguu, kabichi n.k

Dalili za tatizo la tumbo kujaa gesi.

โžข Kutoa hewa mara kwa mara kupitia mdomoni (kubeua).
โžข Kutoa hewa mara kwa mara kupitia njia ya haja kubwa.
โžข Tumbo kuunguruma mara kwa mara.
โžข Tumbo kuwa k**a limebanwa na mkanda au limejaa sana.
โžข Kuharisha damu
โžข Kukosa hamu ya kula na kutapika
โžข Hali ya homa na uchovu.

Mtu mwenye tatizo hili asipotibu kwa wakati atakua kwenye hatari ya kupata tatizo la kupata choo kwa shida. Na hivyo anapata tatizo la kutokwa na kijinyama katika njia ya haja kubwa yaani bawasili au mgolo.

Na k**a ni mwanaume asipotibu kwa wakati atapatwa pia na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Mtu mwenye tatizo hili anashauriwa kutokula vyakula na vinywaji vyenye vyenye carbon #+255621446350

WEKA KINYWA CHAKO SALAMA  NA KISIPATWE NA MADHARA YOYOTE  K**A HARU MBYA YA KINYWA AMA MENO  #+255621446350
17/05/2024

WEKA KINYWA CHAKO SALAMA NA KISIPATWE NA MADHARA YOYOTE K**A HARU MBYA YA KINYWA AMA MENO #+255621446350

MAMBO MA3 MHIMU YA KUZINGATIA JUU YA KUTIBU PID ILI KUPATA UJAUZITO KWA HARAKA ZAIDI PID(PELVIC INFLAMMARLTORY DESEASES)...
16/05/2024

MAMBO MA3 MHIMU YA KUZINGATIA JUU YA KUTIBU PID ILI KUPATA UJAUZITO KWA HARAKA ZAIDI
PID(PELVIC INFLAMMARLTORY DESEASES) ni maambukiz ya bacteria (wadudu) katika via vya uzazi ambayo ni mirija ya uzazi na mfuko wa mayai na mji wa uzazi.

Maambukiz ya PID
Mbali na usafi duni wakati wa hedhi au vyoo PID huambukizwa kwa njia ya kujamiiana.

MAMBO MA3 MHIMU JUU YA KUTIBU PID ILI KUPATA MIMBA KWA HARAKA
1. Usitumie dawa za kukuzia mayai kabla ya kutibu ugonjwa.

2. Unapoenda kufanya matibabu Fanya na mwenza (mpenzi wako)

3.baada ya kufanya matibabu ya PID usiache kutumia dawa za homoni kwani huweza kusaidia kushika ujauzito kwa haraka zaid.

Kwa mawasiliano zaidi +255621446350

15/05/2024

#+255621446350

VIDONDA VYA TUMBO NI NINI?

Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba. Kuna aina kuu mbili (2) za vidonda vya tumbo.

1. Gastric Ulcers: hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula
2. Duodenal Ulcers: hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
1. Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H.pylori)
2. Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
3. Kuwa na mawazo mengi
4. Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
5. Kunywa pombe na vinywaji vikali
6. Uvutaji wa sigara
7. Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
1. Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2. Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
3. Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4. Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5. Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6. Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7. Kushindwa kupumua vizuri

SULUHISHO
Tumia bidhaa zetu ni suluhisho pekee kwa tatizo hili maana huondoa chanzo cha ugonjwa sio kutuliza maumivu. Bidhaa zetu ni 100% NATURAL & HALAL ambazo hufanya mtu kupona na kuimarika afya yake.

vidonda vya tumbo

PATA SULUHISHO LA KUDUMU LA HOMA YA VIDONDA VYA TUMBO.Usikubali KUENDELEA kuteseka na vidonda vya tumbo katika maisha YA...
15/05/2024

PATA SULUHISHO LA KUDUMU LA HOMA YA VIDONDA VYA TUMBO.

Usikubali KUENDELEA kuteseka na vidonda vya tumbo katika maisha YAKO.

Tokomeza vidonda vya tumbo ndani ya wiki 1

DALILI ZA HOMA YA VIDONDA VYA TUMBO

๐Ÿ“Œ Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara.

๐Ÿ“Œ Kupata kiungulia karibu na chembe ya moyo.

๐Ÿ“Œ Tumbo kujaa gesi.

๐Ÿ“Œ Kichefu chefu na muda mwengine kutapika damu.

๐Ÿ“Œ Kupata haja kubwa yenye rangi ya kahawiya au nyeusi yenye harufu kali na muda mwengine haja huchanganika na damu.

๐Ÿ“Œ Kupoteza hamu ya kula kupungua uzito.

Madhara Yatokanayo na Vidonda Vya Tumbo:

Yafuatayo ni madhara yanayoweza kutokea endapo mgonjwa wa vidonda vya tumbo atashindwa kupata tiba mapema;

(1) Kansa ya tumbo (Gastric cancer).

(2) Kutoboka kwa kuta za tumbo (Gastro-intestinal perforation).

(3) Kuvuja damu kwa kuta za tumbo (Gastro-intestinal bleeding).

(4) Kutapika damu (hematemesis).

(5) Upungufu wa damu (anaemia).

(6) Kutokea kwa Bawasiri

(7) Tumbo kujaa gesi
Tupigie ili uweze kupata huduma hii nzurii sana kwa urahisi zaidi 0621446350

PATA SULUHISHO LA KUDUMU LA HOMA YA VIDONDA VYA TUMBO.Usikubali KUENDELEA kuteseka na vidonda vya tumbo katika maisha YA...
15/05/2024

PATA SULUHISHO LA KUDUMU LA HOMA YA VIDONDA VYA TUMBO.

Usikubali KUENDELEA kuteseka na vidonda vya tumbo katika maisha YAKO.

Tokomeza vidonda vya tumbo ndani ya wiki 1

DALILI ZA HOMA YA VIDONDA VYA TUMBO

๐Ÿ“Œ Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara.

๐Ÿ“Œ Kupata kiungulia karibu na chembe ya moyo.

๐Ÿ“Œ Tumbo kujaa gesi.

๐Ÿ“Œ Kichefu chefu na muda mwengine kutapika damu.

๐Ÿ“Œ Kupata haja kubwa yenye rangi ya kahawiya au nyeusi yenye harufu kali na muda mwengine haja huchanganika na damu.

๐Ÿ“Œ Kupoteza hamu ya kula kupungua uzito.

Madhara Yatokanayo na Vidonda Vya Tumbo:

Yafuatayo ni madhara yanayoweza kutokea endapo mgonjwa wa vidonda vya tumbo atashindwa kupata tiba mapema;

(1) Kansa ya tumbo (Gastric cancer).

(2) Kutoboka kwa kuta za tumbo (Gastro-intestinal perforation).

(3) Kuvuja damu kwa kuta za tumbo (Gastro-intestinal bleeding).

(4) Kutapika damu (hematemesis).

(5) Upungufu wa damu (anaemia).

(6) Kutokea kwa Bawasiri

(7) Tumbo kujaa gesi

Tupigie tukuhudumie

+255621446350

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MLOWE health Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to MLOWE health Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram