06/02/2026
Kutokwa na harufu mbaya ukeni ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa.
Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya:
A) Magonjwa Ya Zinaa (Sexually Transmitted Diseases).
Mfano wa magonjwa ya zinaa ni pamoja na kisonono, kaswende, Trichomoniasis n.k...
B) Matumizi Mabaya Ya Dawa Za “Antibiotics”.
Hutumiaji kiholela wa dawa hizi bila ushauri au maelekezo ya wataaalamu wa afya.
C) Kutozingatia Usafi Na Kutokwa Sana Na Jasho.
Ni wazi kwamba uchafu na kuwepo kwa unyevunyevu sehemu za siri huzalisha harufu mbaya.
D) Maambukizi Katika Via Vya Uzazi (Pelvic Inflammatory Disease).
Pelvic Inflammatory Disease (PID) hili ni tatizo linalotokana na magonjwa sugu ya zinaa k**a vile gonorrhea, chlamydia.
E) Bacterial Vaginosis.
Kwa kawaida mwili wa binadamu una bakteria wa aina mbili, bakteria rafiki (normal flora) na bakteria adui (pathogens) ambapo ukeni kuna bakteria rafiki kwa kiwango kinachohitajika.
F) Mabadiliko Ya Homoni.
Mabadiliko ya homoni kutokana na mzunguko wa hedhi unaweza kuchangia harufu mbaya ukeni. Wanawake wanaokaribia kukoma hedhi (menopause) wapo kwenye hatari zaidi kwani homoni ya estrogen
Suluhisho linapatikana sasa 0750889933