NURU YA UZAZI

NURU YA UZAZI Tunasaidia Kutatua Changamoto Za Uzazi kwa Kina Baba

12/09/2024

TEZI DUME NA MATIBABU YAKE?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji ambayo husafirisha mbegu za kiume.

KUPANUKA KWA TEZI DUME

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

Ugonjwa wa kutanuka kwa tezi dume ni ugonjwa wa wanaume wazee.

DALILI ZA TEZI DUME

1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara
2.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
3.Kupatwa na uzgumu kutoa mkojo
4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu
5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho
6.Kujichafua wakati wa kukojoa
7.Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.
8.Kushindwa kukojoa kabisa.
9.Kupata mkojo mchache sana
10) Damu kwenye mkojo inaashiria kensa

MADHARA YA KUCHELEWA KUTIBU TEZI DUME

1) Kushindwa kabisa kukojoa
2) Kupatwa na maambukizi ya UTI
3) Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu
4) Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea
5) Figo inaweza kuharibika
6) Upungufu wa nguvu za kiume.

TIBA YA HARAKA INAPATIKANA BILA YA UPASUAJI WOWOTE.
Kwa sasa inapatikana kwa bei ya ofa.
Kwa mahitaji tupigie/whatsapp 0621672394

Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ...
11/09/2024

Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ya tabaka mbili za korodani (Scrotal pyoceles), mara nyingi huambatana na maambukizi ya mishipa ya kuhifadhia mbegu za uzazi (epididymo-orchitis). Kupoteza uwezo wa kujamiiana na mtu fulani ingawa ana uwezo wa kujamiiana na mtu mwingine (Relative impotency), Ngiri ya mfuko wa korodani (Herniation of hydrocele sac) na mwisho mgonjwa kuteseka kutokana na kuongezeka kwa busha na mara chache hupasuka.

Korodani  zinahusika na utengenezaji wa mbegu za uzazi na homoni ya kiume ya ''Testosterone' na zinafanya kazi katika ma...
11/09/2024

Korodani zinahusika na utengenezaji wa mbegu za uzazi na homoni ya kiume ya ''Testosterone' na zinafanya kazi katika maisha yote ya uzazi ya mwanamume. Korodani zinahitaji nyuzi joto 2-3 ÂșC kwa ajili ya utengenezaji wa mbegu (spermatogenesis).

Uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe kupita kiasi, baadhi ya matibabu ya saratani, uzito wa mwili uliopindukia, kukaa au kufanya kazi sehemu zenye joto kali (k**a kukaa kwenye usawa wa injini za magari au maderefa wa masafa marefu) ni miongoni mwa sababu zinazopelekea ugumba kwa wanaume.

Utengenezaji wa mbegu za kiume (spermatogenesis) unahitaji uwepo wa kutosha wa kichocheo cha kiume (Testosterone) kwenye...
09/09/2024

Utengenezaji wa mbegu za kiume (spermatogenesis) unahitaji uwepo wa kutosha wa kichocheo cha kiume (Testosterone) kwenye korodani. Kukamilika kutengenezwa kwa mbegu za uzazi (Spermatogenesis) huchukua siku 72 hadi 74, na mwanaume hutengeneza mbegu mpya milioni 100 kila siku.

Baada ya mbegu kukomaa, husafirishwa hadi kwenye mirija midogo ya korodani (Rete te**is), ambapo huhamia kwenye kihifadhi mbegu (epididymis) na hatimaye kwenye mishipa ya mbegu (vas deferens). Kusafiri huku kwa mbegu huchukua siku 14. Kabla ya mbegu hazijatolewa nje huchanganywa na ute unaotoka kwenye tezi ya kiume (prostate).

Ukosefu wa nguvu za kiume (Erectile dysfunction) ni kutokuwa na uwezo wa kufikia au kudumisha kilele cha uume kinachofaa...
09/09/2024

Ukosefu wa nguvu za kiume (Erectile dysfunction) ni kutokuwa na uwezo wa kufikia au kudumisha kilele cha uume kinachofaa kuridhisha wakati wa kujamiiana.

Mara nyingi nguvu za kiume zinahusiana na matatizo ya mishipa ya damu, mfumo wa neva, hali ya kisaikolojia, na matatizo ya vichocheo (Hormones), kwasababu asilimia kubwa ya wanaume wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume wana upungufu wa homoni ya kiume ya (Testesterone).

Sababu nyingine ni matumizi ya madawa ya kulevya ikiwemo sigara, pombe, mirungi na bangi.

Address

Dar Es Salam
Dar Es Salaam
0000

Telephone

+255621672394

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NURU YA UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to NURU YA UZAZI:

Share