
14/08/2024
HAWA WAKISEX WAKIWA PERIOD WANASHIKA MIMBA
Wanawake wenye mzunguko mfupi wa siku 21 wanaweza kupata mimba. Endapo watashiriki tendo katika siku zao za hedhi au katika zile siku za kumalizia hedhi
MZUNGUKO MFUPI WA HEDHI, WASTANI WA SIKU 21.
Iko hivi:- Kuanzia siku 1,2,3 Hizi ni siku za hedhi
Kuanzia siku ya 4,5,6,7,8,9,10 Hizi ni siku nzuri za kushika mimba
Alafu Kuanzia siku ya 11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21 Hizi ni siku za kutoshika mimba
Ni muhimu kufahamu mzunguko wako ni siku ngapi? Laasivyo utaanze kutembea na kopo la kutemea mateπ€ͺ
Share Kwa Ndugu na rafiki Yako aweze kupata Ushauri na Health Tips Bure.