Homa Ya Ini - Hepatitis

  • Home
  • Homa Ya Ini - Hepatitis

Homa Ya Ini - Hepatitis Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Homa Ya Ini - Hepatitis, Medical and health, .

ENDELEA KUWA NA AFYA NJEMA!WEKA INI LAKO FURAHA!VITU MUHIMU KWAKERatiba ziara za mara kwa mara na mtoa huduma wako wa af...
05/06/2024

ENDELEA KUWA NA
AFYA NJEMA!
WEKA INI LAKO FURAHA!

VITU MUHIMU KWAKE
Ratiba ziara za mara kwa mara na mtoa huduma wako wa afya ili
kujiweka mwenyewe na ini lako kuwa na afya. Pata chanjo ya Hepatitis A WEWE UNAEMUHUDUMIA MGONJWA

kinachoshambulia ini.
Epuka kunywa pombe na kuvuta sigara tangu
Wote wawili wataumiza ini lako
Mwambiemtoa huduma wako kuhusu tiba za mitishamba au
vitaminiunazotumia kwa sababu zingine zinaweza kuathiri dawa
zako za hep Aau hata kuharibu ini lako.
HAEPUKE MADAWA YA MAUMIVU. Mara nyingi huchakatwa kupitia ini.
Kumbuka kuchukua dawa zako kwa wakati!
Kula matunda zaidi, nafaka nzima, samaki, nyama konda, na mboga
nyingi hasa kabichi, broccoli, na kachumbari.
Epuka moshi kutoka kwa rangi, rangi nyembamba, gundi,
bidhaa za kusafisha, kuondoa polish ya kucha, na kemikali
zingine zenye sumu

--Apunguze vyakula na vinywaji vyenye sukari iliyoongezwa
(k**a soda, juisi &vitafunio vilivyofungashwa) au mafuta
yaliyojaa (k**a kukatwa kwa mafuta ya nyama,& chakula
cha kukaangwa)

--Angalia ukungu kwenye karanga na nafaka, hasa ikiwa
imehifadhiwa unyevunyevu na isiyofungwa kwani ukungu
fulani (k**a aflatoxins) ni hatari kwa saratani ya ini

---Punguza viwango vyako vya msongo wa mawazo kwa kula
vyakula vyenye afya, kufanya mazoezi mara kwa mara, na
kupata mapumziko mengi

Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0743732099

๐—ง๐—ข๐—ž๐—ข๐— ๐—˜๐—ญ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ [ ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ] ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐—ช๐—” ๐—ช๐—œ๐—ž๐—œ ๐Ÿญ๐Ÿฎ - ๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—จ๐—Ÿ๐—จ๐—›๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—” ๐—ก๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—จ๐——๐—จ๐— ๐—จ ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—Ÿ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ž๐—”:๐‘๐„๐‰๐„๐’๐‡๐€ ๐€๐…๐˜๐€ ๐...
04/06/2024

๐—ง๐—ข๐—ž๐—ข๐— ๐—˜๐—ญ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ [ ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ] ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐—ช๐—” ๐—ช๐—œ๐—ž๐—œ ๐Ÿญ๐Ÿฎ - ๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—จ๐—Ÿ๐—จ๐—›๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—” ๐—ก๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—จ๐——๐—จ๐— ๐—จ ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—Ÿ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ž๐—”:

๐‘๐„๐‰๐„๐’๐‡๐€ ๐€๐…๐˜๐€ ๐๐€ ๐“๐”๐Œ๐€๐ˆ๐๐ˆ ๐‰๐„๐Œ๐€ ๐‹๐€ ๐Œ๐€๐ˆ๐’๐‡๐€ ๐˜๐€๐Š๐Ž:

HOMA YA INI [ HEPATITIS B ] INATIBIKA KWA MATUMIZI SAHIHI YA DOZI NA MAZINGATIO YA LISHE BORA:

๐—ฆ๐—ข๐— ๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—” ๐—›๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ก๐—” ๐— ๐—˜๐—ก๐—š๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—” ๐—›๐—”๐—ง๐—จ๐—” ๐—ฆ๐—ง๐—”๐—›๐—œ๐—ž๐—œ:

๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ๐—• :- Ni homa ya INI inayosababishwa na kirus wa Hepatitis B.

Virusi ivyo vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza watu mara 100 zaidi ya virusi vya ukimwi.

Zifuatazo ni baadhi ya njia za usambaaji wa virusi vya homa ya ini ambazo ni pamoja na:-

โž– Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

โž– Kufanya mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini.

โž– Kuchangia vifaa vyenye ncha kali k**a sindano hasa kwa watumiaji wa madawa ya kulevya au wachora tattoo, miswaki.

โž– Kuongezewa damu ambayo ina maambukizi ya virus vya homa ya INI aina ya Hepatitis.

โž– Kunyonyana Ndimi Dendaโ€™ na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini.

โž– Kuchangia taulo na mtu mwenye ugonjwa huu.

โž– Kubadilishana nguo na mtu mwenye ugonjwa huu au kukumbatiana wakati mkiwa mnavuja jasho.

Tafiti za kitaalamu zinaonesha kuwa virusi hivyo ni hatari kuliko virus vya ukimwi kwa sababu vinaweza kuishi nje ya mwili wa binadamu (yaani nje ya mfumo wa damu) kwa siku saba 7 hadi nane 8.

Virusi vya ukimwi (VVU) havina uwezo wa kuishi nje ya mfumo wa damu hata kwa dakika moja.

Mtu mwenye homa ya ini ana wastani mdogo wa kuishi kuliko mwenye ukimwi.

Kwa maana hiyo, mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini hufariki dunia haraka sana k**a hatopatiwa matibabu mapema basi huishi muda mfupi sana kuliko mwenye VVU.

๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—œ๐—ง๐—ข๐—ž๐—”๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:

โž– Uchovu wa mara kwa mara.

โž– Kichefuchefu muda mwengine kutapika.

โž– Mwili kuwa dhaifu na Kukosa nguvu (Uchovu wa mara kwa mara ).

โž– Homa kali usiku kutokwa na jasho jingi.

โž– Kupoteza hamu ya kula.

โž– Kupungua uzito na mwili kuwasha.

โž– Maumivu makali ya tumbo upande wa Ini yani upande wa kulia.

โž– Macho na ngozi kuwa vya njano.

โž– Mkojo wenye rangi ya kahawiya, mkojo kuwa na rangi iliyokolea k**a coca-cola.

Kuna baadhi ya wagonjwa wa homa ya ini hukaa muda mlefu yani miaka mingi pasipo kuona dalili yoyote,

lakini kwakadiri siku zinavyo zidi kwenda na cell hizi za Ini huendelea kuchakaa kutokana na kushuka kwa ๐——๐—ก๐—” na hatimae hupelekea Kiungo hiki kuanza kuharibika taratibu na kushuka kwa utendaji wake wa kazi na kupelekea Mgonjwa wa Homa Ya Ini kuja kupata ugonjwa mkali na kusababisha ini kushindwa kabisa kufanya kazi, hali hii huweza kusababisha kifo kwa mgonjwa. hatua hii huitwa โ€œ๐—™๐˜‚๐—น๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐˜ ๐—Ÿ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ ๐—™๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜‚๐—ฟ๐—ฒโ€.

Watu wenye maambukizi ya kudumu ya virusi vya homa ya ini mara nyingi huwa hawana dalili, lakini kwakadri muda unavyo zidi kwenda k**a mgonjwa haja pata Tiba sahihi na salama ya kutibu changamoto hii, basi virusi hawa husababisha ini kusinyaa (๐—Ÿ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ ๐—–๐—ถ๐—ฟ๐—ฟ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ถ๐˜€) na kushindwa kabisa kufanya kazi vyema.

Pia maambukizi ya virusi vya homa ya ini huchangia kwa kiasi kikubwa sana katika kupata Kansa au saratani ya ini ambayo hujulikana kwa kitaalamu k**a ๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฐ๐—ฒ๐—น๐—น๐˜‚๐—น๐—ฎ๐—ฟ ๐—–๐—ฎ๐—ฟ๐—ฐ๐—ถ๐—ป๐—ผ๐—บ๐—ฎ. hivyo jitahidi kupata suluhisho la kudumu la changamoto hii na Epuka matumizi ya Dawa aina ya Ant-Biotic au Pain killer kwani ni hatari kwa afya ya INI na FIGO.

Dalili huja kuonekana waziwazi miaka mingi baada ya mtu kuambukizwa.

Kwa wenye maambukizi ya virusi aina C matibabu ya Dawa kwa wiki 8 humaliza tatizo na Kupona kabisa.

Na kwa wenye Virus aina ya B matibabu ya Dawa ni kwa wiki 12 adi 16 humaliza tatizo hili na Kupona kabisa

๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐——๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ง๐—ข๐—ž๐—”๐—ก๐—”๐—ฌ๐—ข ๐—ก๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ฃ๐—˜๐— ๐—”:

โž– INI kushindwa kabisa kufanya kazi (liver failure).

โž– Kuvuja damu au kupungukiwa damu kwakiasi kikubwa

โž– Tumbo kujaa Gesi, vidonda vya tumbo na wengine kupata Bawasiri.

โž– Saratani ya ini (hepatoma).

โž– Figo kupata maambukizi na kuanza kuferi taratibu.

โž– Maumivu ya tumbo yasiyo isha

โž– Tumbo, Sura na miguu kuvimba.

โž– Njaa ya mara kwa mara na kali.

โž– Manjano ya macho na ngozi yasiyo isha

โž– Mgonjwa Kupoteza maisha

๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—จ๐—ข๐—ก๐—” ๐——๐—”๐—ž๐—ง๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—›๐—จ๐—ง๐—ข๐—Ÿ๐—˜๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ฅ๐—˜...

Bonyeza namba hii kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp au kupiga simu

๐Ÿ“ž 0743 732 099

๐—ž๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—”๐—ง๐—œ๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—” ๐—ก๐—œ ๐—›๐—”๐—ง๐—จ๐—” ๐—ญ๐—” ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ - ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—ž๐—ข๐— ๐—˜๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—›๐—”๐—ง๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ญ๐—œ๐—๐—”๐—ญ๐—ข:

๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ฃ๐—ข ๐—˜๐—ก๐——๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐——๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—จ๐—ง๐—”๐—ฃ๐—˜๐—ช๐—” ๐—จ๐—ง๐—”๐—ฅ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—”๐—ง๐—œ๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—” ๐—ฆ๐—”๐— ๐—•๐—”๐— ๐—•๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ, ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—ข๐—ž๐—˜๐—ข ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—”๐—ฅ๐—”๐—ž๐—” ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—ž๐—ข๐— ๐—˜๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ.

๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—”:

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Homa Ya Ini - Hepatitis posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram