
27/08/2024
Hili limekuwa ni tatizo Kubwa sana kwa Wengi,hivyo kuwafanya wakose raha wakati wa siku zao.hii hutokana na hormones ambazo Zipo responsible kwajili ya Mzunguko Wa Hedhi estrogen na progesterone kitokuwa katika uwiano mzuri..
Hali hii Hupelekea mlengwa kitokuwa na raha kabisa kwani wengi wao huweza Kupata changamoto k**a..kiuno,Mgongo, maziwa kutuma sana ,kutapika,Kupata Maumivu chini ya kitovu na pia hali hii huambata na ukosefu WA Hamu yakula kwa Baadhi ya wanawake.
Hivyo k**a Ukiona unachangamoto Hizi..tafuta ufumbuzu mapema
Kwani huweza Kukuletea madhara k**a vile,Ugumba
Kwa Mawasiliano zaidi 📞 0718666184/0683073261