
24/08/2024
*HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)*
:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.
*VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE*
➡Utoaji wa mimba
➡Uwepo wa sumu mwilini.
➡kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.
➡Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone
➡mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
➡uzito mkubwa
➡Msongo wa mawazo.
➡Kutofanya mazoezi.
➡Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango.
➡Kukoma kwa hedhi.
*Dalili za kuvurugika kwa homoni*
✅Maumivu wakati wa tendo LA ndoa.
✅Kutoshika mimba.
✅Mzunguko wa hedhi kubadilika.
✅Kuongezeka uzito.
✅Kupungua hamu ya tendo LA ndoa.
✅Kupoteza kumbukumbu.
✅Hasira za Mara kwa Mara.
✅Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge
✅Uke kuwa mkavu.
✅kutoka jasho jingi usiku.
✅maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
✅mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.
*Madhara ya kuvurugika kwa homoni*
✔1)kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.
✔2)Mimba kuharibika Mara kwa Mara.
✔3)Kuwa mgumba.
✔4)U.t.I Mara kwa Mara.
✔5)Uvimbe kwenye via vya uzazi vya mwanamke.(fibroids)
✔6)kuziba kwa mirija ya uzazi.
7)saratani. ya mlango wa kizazi. Kwa elim zaidi juu ya afya yako nichek
Kwa namba 0750819298