![𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗔𝗟𝗜𝗭𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 [ 𝗛𝗘𝗣𝗔𝗧𝗜𝗧𝗜𝗦 ] 𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗡𝗜𝗡𝗜 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜𝗡𝗘 𝗛𝗨𝗟𝗔𝗭𝗜𝗠𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗗𝗛𝗨𝗥𝗜𝗔 𝗗𝗢𝗭𝗜 𝗞𝗔...](https://img3.findhealthclinics.com/456/415/122093792624564150.jpg)
01/10/2024
𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗔𝗟𝗜𝗭𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 [ 𝗛𝗘𝗣𝗔𝗧𝗜𝗧𝗜𝗦 ] 𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗡𝗜𝗡𝗜 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜𝗡𝗘 𝗛𝗨𝗟𝗔𝗭𝗜𝗠𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗗𝗛𝗨𝗥𝗜𝗔 𝗗𝗢𝗭𝗜 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔𝗢 𝗬𝗢𝗧𝗘:
Muda wa kumaliza tatizo au changamoto, inategemea hatua ya tatizo lilipo fikia, na tunapo zungumzia hatua ya tatizo tuna tazama au kuzungumzia mambo matatu.
➖ Wingi wa maambukizi yani vimelea Virusi hapa tunamaanisha (Viral load).
➖ Afya ya ini (Liver health)
➖ Afya ya mgonjwa kwa ujumla yani changamoto anazo zipitia kwa wakati huo (Currently General Health for Patient ).
Kwaiyo kuna wagonjwa wanao maliza tatizo hili kwa kuda wa miezi miwili, wengine miezi mitatu, miezi mienne na wengine mwaka mnzima na wapo wachache inawalazimu kuhudhulia dozi maisha yote kutokana na hatua aliyo ifikia.
Wagonjwa ambao inawalazimu kushiliki dozi katika kipindi chote ni wagonjwa ambao wapo kuanzia Stage ya tatu ya uharibifu wa ini unao endelea pole pole kutokana na maambukizi ya muda mlefu (Third Stage of liver Demage).
Hatua hii ya tatu maranyingi sana ini likuwa tayari limeshafikia hatua ya kuwa na kovu baada ya multiple cells yani seli nyingi au tishu nyingi za ini kupasuliwa kwa wingi na zile scar tissues yani tishu au seli za ini zilizo pasuliwa kuwa placed yani kukusanyika au kukaa pamoja na health tissues hizi ni tishu za ini zenye afya, zinapo kuja kuingiliana na tishu au seli za ini zilizo haribika, huwa zinakuja kutengeneza kovu la ini, kovu hili hulifanya ini kuwa katika hatua ya tatu ya uharibifu wa ini ulio endelea pole pole kutokana na uwepo wa maambukizi ya virus vya Hepatitis kwa muda mlefu hatua hii ya tatu tunaita "𝗟𝗶𝘃𝗲𝗿 𝗖𝗶𝗿𝗿𝗵𝗼𝘀𝗶𝘀 𝗦𝘁𝗮𝗴𝗲 ".
Kovu hili la ini huingilia utendaji kazi wa ini kwakiwango kikubwa sana, na kulifanya ini lianze kuacha au kushindwa kufanya kazi zake au metabolism mbali mbali mwilini k**a vile uchujwaji wa Sumu, Asidi, Protini ya ziada, Mafuta na kuweka sawa viwango sahihi vya maji mwilini ili maisha yaweze kuendelea.
Na ukitazama kovu la ini ndio mwanzo wa ini kuingia katika hatua ya nne ya uharibifu wa ini ambayo ni Liver cancer au saratani ya ini.
Kwaiyo kwa wagonjwa waliopo hatua ya tatu, hatua ya nne na hatua ya tano maranyingi sana inakuwa ni ngumu kupona moja kwa moja kwasababu kovu la ini huwa 𝗵𝗮𝗹𝗶𝘁𝗶𝗯𝗶𝗸𝗶 anaweza kumaliza maambukizi na kupata utaratibu wa chanjo, lakini bado ini lake likaendelea kuzalishwa seli za kansa.
Kwaiyo kupitia hatua hizi hatarishi, ngonjwa hushauliwa kuendelea kuhudhulia Dozi, Vyakula salama kwa afya ya ini pamoja na vipimo vya mara kwa mara ili kuzuiya kovu la ini lisiendelee kuharibu Tishu za ini zilizo Salia ili kuliwezesha ini kuendelea kufanya kazi kazi zake za kilasiku.
Matibabu ya dozi za kuondoa maambukizi ya virus vya homa ya ini dozi hizi zipo katika mfumo wa vidonge na ni za asili (Ant-hepatitis B Virus Medicine).
Ufanis wa dawa hizi katika kumaliza tatizo, dawa hizi 𝗵𝗮𝘇𝗶𝗻𝗮 viambata vya DNA ya kirus wa Hepatitis ambayo inamfanya awe sugu katika mwitikio wa dozi na kumtengeneza kirusi katika hali ya kufubazwa.
𝗗𝗢𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗛𝗘𝗣𝗔𝗧𝗜𝗧𝗜𝗦 𝗕 𝗡𝗔 𝗖 𝗛𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗔 𝗦𝗨𝗟𝗨𝗛𝗜𝗦𝗛𝗢:
➖ Kuimarisha afya ya ini katika utendaji kazi wake.
➖ Kurejesha seli za ini zilizo chakaa kwakuweka sawa chembe hai ya seli yani DNA.
➖ Kuzilinda seli za ini au tishu zilizo hai zisiweze kushambuliwa na maambukizi.
➖ Kuimarisha afya ya ini kwakufanya liver Recovering.
➖ Kuimarisha afya ya figo na utumbo kwakuzuiya na kutibu vidonda vya tumbo, tumbo kujaa gesi, ganzi, bawasiri pamoja na kansa ya utumbo.
➖ Kuzuiya Assicites yani tumbo kujaa maji pamoja na mwili k**a vile miguu.
➖ Kuondoa na kuzuiya Jaunces yani manjano ya ngozi na macho.
➖ Kuondoa na kuzuiya maumivu ya misuri, mifupa na kifua.
➖ Kuongeza hamu ya kula na kuimarisha mfumo wa Digestion System yani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (𝗔𝗟𝗧 𝗻𝗮 𝗔𝗦𝗧 ) Enzymes.
➖ Blood Detoxification na Cleaning (Kusafisha damu kwakuondoa sumu, mabaki ya protini, Urea, asid, na kuondoa maambukizi yaliyo nje ya mfumo wa seli).
➖ Kuongeza au kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake kuimarisha mfumo wao wa homon.
➖ Kulinda na Kuimarisha afya ya figo na kibofu kwakweka sawa rangi ya mkojo.
Malengo yetu katika kutibu changamoto hii ni kutoa suluhisho bora na la kudumu katika kumaliza maambukizi na kuimarisha afya ini kwa ujumla, na mgonjwa aweze kuifikia huduma ya chanjo.
𝗞𝗪𝗔𝗞𝗨𝗭𝗜𝗡𝗚𝗔𝗧𝗜𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗡𝗔 𝗟𝗜𝗦𝗛𝗘 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗡𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗭𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗡𝗚𝗜 - 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗥𝗘𝗝𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗢𝗠𝗘𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗠𝗕𝗨𝗞𝗜𝗭𝗜 𝗜𝗟𝗜 𝗞𝗨𝗘𝗣𝗨𝗦𝗛𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗔𝗥𝗜 𝗭𝗔 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗭𝗜𝗝𝗔𝗭𝗢:
𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝘁𝘂𝗸𝘂𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗺𝗼𝘁𝗼 𝘇𝗮 𝗮𝗳𝘆𝗮 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘁𝗼𝗮 𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗩𝗜𝗣𝗜𝗠𝗢, 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜, 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗝𝗢.
Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp. 0628 361 104 +255746484873