21/08/2024
PID PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (P.I.D).
Maambukizo kwenye via vya uzazi (PID) imekuwa maarufu sana katika jamii yetu miongoni mwa wanawake wengi huambukizwa PID.
Vimelea aina ya Neisseria Gonorhoere Chlamydia Trachomatis ndivyo vinavyo ongoza kusababisha PID kwa kinamama.
MWANAMKE ANAAMBUKIZWA VIP PID
Kuna njia kadhaa ambazo hupelekea mwanamke kuambukizwa PID
📌Kutoa mimba (Abortion)
📌Maambukizo katika njia za uzazi Mara baada ya kujifungua
📌Matumizi ya njia za uzazi wa mpango k**a vidonge,kitanzi,sindano n.k
🩸.Kukaa na infection k**a u.t.i na fangas sugu kwa mda mrefu bila kutibiwa
DALILI ZA PID NI ZIPI
Moja ya dalili za PID kwa mwanamke ni
🌷Kutokwa na uchafu mweupe k**a mziwa mtindi sehemu za siri sometimes inaweza kuwa rangi ya kijani,kahawia,brown hata njano.
🌷 Maumivu chini ya kitovu,nyonga na kiuno
🌷 Maumivu wakati wa tendo la in
🌷 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
MADHARA YA KUKAA NA PID PELVIC INFLAMMATORY DISEASE
Maambukizo kwenye via vya uzazi ni makubwa sana
🌱 Husababisha Kizazi kulegea
🌱 Husababisha polycystic ovarian syndrome na ovarian cysts uvimbe kwenye mayai
🌱 Hormone kushindwa imbalance
🌱 Husababisha Kizazi kujaa maji maji sometime unakuta chupi imelowa
🌱 Husababisha saratani ya shingo ya Kizazi
🌱 Husababisha mimba kuporomoka kabla ya mda
I’m(miscarriage)
🌱 Husababisha UGUMBA (infertility)
Ni Fact mwanamke mwenye PID hulalamika kutokunasa ujauzito kwa haraka hi ni Kwasababu PID huathiri kizazi na Utafiti unaonyesha Katika wanawake 8 wenye PID Mmoja anakuwa MGUMBA sikutishi Ila nimekupa Fact
Nitumie Ujumbe whatsapp Tuzungumze nikushauri vizur zaidi ndg ikibidi nikupe suluhuhisho sahihi la Tatizo lako, wasiliana nami kupitia wasup no:0682884540