PENDA AFYA YAKO

PENDA AFYA YAKO Afya Ni utajiri hakikisha unapokea huduma Bora Kwa gharama nafuu karibu uboreshe Afya yako

08/10/2024
KITUO CHA AFYA - Gcat health care internationalNi taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vif...
24/09/2024

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.20,000tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo banana Dar es salaam,Na Mikoani, tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba za simu:
0742962657

Au bonyeza link hii ‎https://wa.me/message/RSAFIESA6A3HE1

Je , Unahitaji huduma Bora za Afya Kwa haraka , ufanisi na Kwa gharama nafuu ?  Tumekuletea suluhisho  tunatoa huduma zi...
12/09/2024

Je , Unahitaji huduma Bora za Afya Kwa haraka , ufanisi na Kwa gharama nafuu ? Tumekuletea suluhisho tunatoa huduma zifuatazo

- Vipimo vya Afya K**a vile shinikizo la damu, kiwango cha sukari mwilini,na Afya ya Moyo
-Vipimo vya maabara
_ Uchunguzi wa magonjwa K**a vile malaria , kisukari
Huduma za ushauri wa Afya , pata ushauri kutoka kwa wataalamu wa Afya ili kujua Hali ya Afya yako na mbinu bora za kuimarisha Afya yako

Kwa nini utuchague? Matokeo ya vipimo ndani ya muda mfupiHuduma za kisasa Kwa kutumia vifaa Bora vya teknolojiaTimu ya wataalamu wenye uzoefu na huduma RafikiBei nafuu Kwa kila mtu

AFYA BORA KWA MAISHA BORA ,Linda Afya yako Leo Kwa kutufikia. Huduma zetu Ni Kwa Ajili ya Afya yako na Familia yako

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255742962657

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PENDA AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to PENDA AFYA YAKO:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram