Tiba Bora mbadala Stemcell

Tiba Bora mbadala Stemcell TIBA NA USHAURI +255715380488

08/03/2025
21/02/2025

POWERSEFU jina lake la kitaalamu ni CEFTRIAXONE.

Ni moja ya antibiotic maarufu sana inayotumika katika kutibu magonjwa mbalimbali k**a:-
-Gono,Nimonia,Homa ya uti wa mgongo,Mchafuko wa damu nk.

Mambo 6 ya kuzingati anapochomwa dawa hii ni kwamba:-
1.Hua inasababisha kichefuchefu na kutapika hivyo jitahidi ufanye k**a una achama na unapumulia mdomo,ili usije kutapikia watu.

2.Ni vizuri ukichoma dawa hii kabla ya kula kitu chochote,Hii inasaidia kupunguza ile hali ya kutaka kutapika.

Mambo mengine manne ya kuzingatia unavyochoma dawa hii yako Apuni.

Njoo uyasome BUREEE....
Bofya link katika BIO kupakua AFYACHAP.

11/02/2025

HABARI ZA LEO JAMANI YEYOTE ANAYE HUSIKA SISI WANANCHI WA WA KIBAHA PANGANI KATA YA VIKAWE UBAFU BONDENI TUNA KERO YA KUTOPEWA MKOPO WA ASILIMIA 10 YA MAMA SAMIA HATUJAWAHI KUPEWA NA HATUPEWI NA HELA YA MSAADA WA TASAF NAYO HATUPEWI TUKIULIZA UONGOZI WA SERIKALI YA MTAA WANASEMA HIZO HELA HATUWEZI KUPEWA , KWASABABU APO ZAMANI KUNA AMBAO WALIPEWA HAWAKURUDISHA IVYO TUNAOMBA MAMA YETU SAMIA UTASAIDIE SISI WA MAMA NA WATU WENYE ULEMAVU TUPEWE MKOPO NA MSAADA WA HELA YA TASAF

KARIBUNI WAPENDWA WOTE KWETU UGREAT INTERNATIONAL TUNA KWA NJIA TIBA  MBADALA STEMCELL MAGONJWA YOTE SUGU
07/08/2024

KARIBUNI WAPENDWA WOTE KWETU UGREAT INTERNATIONAL TUNA KWA NJIA TIBA MBADALA STEMCELL MAGONJWA YOTE SUGU

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255715380488

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Bora mbadala Stemcell posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba Bora mbadala Stemcell:

Share