10/09/2024
Je, Nani mwingine anahitaji hii
OFA YA VIPIMO VYA MGONJWA YOTE ISIPOKUWA UKIMWI TU.
Karibu sana Gcat Eternal Hospital, upate huduma hii ya vipimo vyote Bure kabisa, wewe utalipia fomu tu wakati wa kufungua faili Tshs 20,000 tu, na kisha utapata huduma zetu zote bila kutoa gharama nyingine yoyote zaidi ya kununua dawa tu endapo utaandikiwa.
Tunapima vitu vifuatavyo;
✨ Mfumo wa mishipa ya damu, moyo na ubongo
✨ Mfumo wa maradhi ya mifupa
✨ Mfumo wa mmeng'enyo na uyeyushwaji wa Chakula
✨Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
✨Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
✨ Mfumo wa fahamu, jicho na maradhi ya macho
✨ Mfumo wa upumuaji
✨ Mfumo wa upumuaji
✨Afya ya Kinywa na meno
✨ Kisukari
✨ Saratani/kansa
✨ Shinikizo la damu/Presha
✨ Tezi dume
✨ Bawasiri
✨ Ugonjwa wa kutetemeka
✨Fangas, U.T.I, P.I.D
✨ Matatizo ya bandama
✨Kiharusi na matatizo ya moyo
✨Sikio na maradhi sugu mengineyo
✓Tunafanya vipimo vya Mwili Mzima (full body check up) bure
✓Tunatoa ushauri bure
✓Tunasaidia mgonjwa kukutana na daktari bure
Utafungua faili kwa elfu 20
✓Tunatibu kwa virutubisho/tiba-lishe (nutritional supplements)
Ili uweze kupata huduma hii mapema weka miadi kwa kuwasiliana na daktari kwa namba hii: 0756418688
Au gusa Link hapa chini kuwasiliana nasi kwa Whatsapp 👇👇