
29/04/2025
Tunafurahia kuona walezi katika vituo vya Makao ya watoto wakiwa na hamasa ya kujifunza na kuimarisha suala zima la malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto.
Pichani ni timu ya MMMAM mkoa wa Dar es Salaam pamoja na timu ya MMMAM Halmshauri ya Ilala ilipoungana na BJI pamoja na mwandishi kinara wa habari za watoto wadogo kwenye ziara ya kujenga uwezo kwa walezi Makao ya Watoto Mzimbazi Center.
-MMMAM