Miguu Salama

Miguu Salama Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Miguu Salama, Medical and health, Dar es Salaam.

Bidhaa za wenye Matatizo yafuatayo:-
 Vinundu vya Kwenye Mguu
 Miguu Isiyo na Uvungu
 Maumivu ya Nyayo na Visigino
 Maumivu ya Magoti na Ankle
 Vidole Vilivyobanana

08/01/2026

Miguu Salama, tunahakikisha una pata viatu sahihi kwa ajili ya kutatua changamoto za miguu ya mwanao.

Katika kipindi cha kurudi mashuleni, tunatengeneza viatu maalum vya kuendea shuleni na pia vya Kush India nyumbani vyenye uwezo Wa kunyoosha miguu na kuipa uvungu miguu iliyokosa uvungu.

Tupigie :- 0624740012 au 0716172471

31/12/2025

Viatu Vya Shule Kwa Wavulana wenye Miguu Bapa.

Viatu hivi husaidia kutengeneza uvungu na kuweka sawa sehemu iliyolalia upande mmoja kwa Wavulana wakivitumia kawaida shuleni.

Ni Imara na vina muonekano Wa kawaida bila kumfanya ajione Wa tofauti.

Tunapatikana, Jet Lumo, Mwisho wa lami. Temeke Dar es Salaam.

Tupigie :- 0624740012 au 0696787517

23/12/2025

Karibu Miguu Salama.

Tutatue changamoto za miguu ya Watoto wetu pamoja.

Viatu vya kutengeneza Uvungu. Hivi ni viatu maalum vya kutengeneza Uvungu na kunyoosha miguu iliyopinda kwa Watoto. Vina...
21/12/2025

Viatu vya kutengeneza Uvungu.

Hivi ni viatu maalum vya kutengeneza Uvungu na kunyoosha miguu iliyopinda kwa Watoto.

Vina muonekano mzuri huku vikifanya kazi iliyokusudiwa kwa ufanisi mkubwa.

Viatu hivi utavipata kwetu kwa gharama ya Tsh 65,000/- Hadi 75,000/- tu.

Package yake inakuwa na Kiatu pair Moja, Insole pair moja na arch support pair moja.

Tunapatikana Temeke, Jet Lumo mwisho wa lami.

Tupigie :- 0624740012 au 0696787517

Kiatu cha Nyumbani. Kiatu hiki Maalum kimetengezwa kwa ngozi halisi ya Mnyama. Ni kigumu kwa uimara na pia ni chepesi hi...
19/12/2025

Kiatu cha Nyumbani.

Kiatu hiki Maalum kimetengezwa kwa ngozi halisi ya Mnyama. Ni kigumu kwa uimara na pia ni chepesi hivyo kumwezesha Mtoto kutembea nacho bila kuchoka huku kikimnyoosha mguu uliupinda na kutengeneza Uvungu.

Bila kusahau kina Muenekano wa kuvutia usimfanya Mtoto ajihisi ni wa tofauti.

Tunapatikana Temeke, Dar Es Salaam.

Tupigie :- 0624740012 au 0696787517

17/12/2025

Combo Leg Brace.

Hizi ni Leg brace maalum ambazo husaidia kunyoosha miguu iliyopinda kwa matege aina zote na pia husaidia kutengeza uvungu ktk unyayo na kunyoosha miguu pia.

Tunapatikana Temeke Dar Es Salaam.

Tupigie :- 0624740012 au 0696787517.

Msimu huu wa Sikukuu. Karibu Miguu Salama tukupe package stahili ya Mwanao, iwe Brace ya Matege, Kiatu cha kutengeneza U...
17/12/2025

Msimu huu wa Sikukuu. Karibu Miguu Salama tukupe package stahili ya Mwanao, iwe Brace ya Matege, Kiatu cha kutengeneza Uvungu ama kiatu cha Shule kwa bei nafuu zaidi.

Viatu vyetu vina muonekano mzuri na wakuvutia bila kumfanya mtoto ajihisi ni wa tofauti.

Tunapatikana Temeke, Dar Es salaam.

Tupigie:- 0624740012 au 0696787517

Leg Brace Maalum kwa ajili ya watoto wenye changamoto za Matege. Kwetu utazipata hizi, za Kutengeza hapa nchini au za ku...
14/11/2025

Leg Brace Maalum kwa ajili ya watoto wenye changamoto za Matege.

Kwetu utazipata hizi, za Kutengeza hapa nchini au za kuagiza nje.

Tuwapambanie watoto wetu miguu Yao ikae sawa.

04/09/2025

Hii ni leg brace kwa ajili ya watoto wenye Changamoto ya miguu kupinda (matege) na pia miguu iliyopinda kwa kukosa uvungu.

Kifaa hiki ni muunganiko wa kiatu maalum kwa ajili ya kunyoosha mguu wote kuanzia chini Hadi juu.

Hii package inafanya kazi tatu kwa wakati mmoja.

Imetengenezwa kwa ngozi halisi ya wanyama hivyo hudumu muda mrefu na kukupa matokeo chanya zaidi.

Inapatikana ofisini kwetu kwa order baada ya kufanyiwa vipimo.

Karibuni tuwasaidie watoto wetu wakae sawa.

Viatu Vya Shule Kwa Watoto Wenye Miguu Bapa-:-Tunatengeza Viatu maalum vya Shule kwa ajili ya watoto wa jinsia zote, via...
06/08/2025

Viatu Vya Shule Kwa Watoto Wenye Miguu Bapa-:-

Tunatengeza Viatu maalum vya Shule kwa ajili ya watoto wa jinsia zote, viatu hivi vina muonekano mzuri na humsaidia mtoto kuleta uvungu na kunyoosha mguu.
Tunapatikana Temeke, Yombo Vituka jirani na Hospital ya Malawi (Kituo cha Afya Yombo Vituka)

Tupigie kwa simu 0624740012 au 0696 787 517.

Viatu na Vifaa kwa ajili ya Changamoto za Miguu
08/03/2025

Viatu na Vifaa kwa ajili ya Changamoto za Miguu

Karibu ofisini kwetu, tungenezee viatu na vifaa vya kusaidia kunyoosha miguu iliyopinda au miguu iliyokosa uvungu.

Tupo Dar Es Salaam, Temeke, Yombo Vituka, jirani na hospitali ya Malawi. {Kituo cha afya Yombo Vituka}

Wasliana nasi kwa kawaida au Whatsapp 0624 740 012

Karibu ofisini kwetu, tungenezee viatu na vifaa vya kusaidia kunyoosha miguu iliyopinda au miguu iliyokosa uvungu.Tupo D...
02/03/2025

Karibu ofisini kwetu, tungenezee viatu na vifaa vya kusaidia kunyoosha miguu iliyopinda au miguu iliyokosa uvungu.

Tupo Dar Es Salaam, Temeke, Yombo Vituka, jirani na hospitali ya Malawi. {Kituo cha afya Yombo Vituka}

Wasliana nasi kwa kawaida au Whatsapp 0624 740 012

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miguu Salama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Miguu Salama:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram