29/12/2024
SUPERGRO NI NINI??.
Supergro ni kirutubisho cha asili cha mimea yote.Kwa kawaida mimea unahitaji mwanga wa jua na hewa. Supergro ina grams 72 pamoja na madini yote yanayohitajika kwenye ardhi na mimea.
Bidhaa hii imekuwa maarufu duniani na Afrika Mashariki kwani imewasaidia wakulima kuongeza mazao na kupunguza gharama za kilimo hasa madawa na mbolea.
SUPERGRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA MFANO:
🕳️ Mvua haba.
🕳️ Mazao hafifu.
🕳️Udongo ulioishiwa rutuba.
🕳️Wadudu na magonjwa
🕳️ Gharama kubwa za pembejeo.
🕳️Masoko ya mazao yao.
CHANGAMOTO ZOTE HIZO ZINAJIBIWA NA SUPERGRO PEKEE.
KAZI NA FAIDA SUPERGRO:
🌹Inarutubisha ardhi. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubisho vingi.
🌹 Inasaidia maua yasipukutike na upepo hivyo kuongeza mazao kwa wingi.
🌹 Inasaidia viuwatilifu kufanya kazi vizuri.Kwani supergro ni k**a gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa kuuwa wadudu kwa urahisi zaidi.
🌹Huleta na kuongeza ukijani katika mimea hivyo kufanya mimea iweze kujitengenezea chakula.
🌹Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyolemaa.
🌹Husaidia mazao kukua kwenye kimo kimoja.
🌹Inazuia fangasi au ukungu kwenye mimea.
🌹Inaongeza mavuno na ukubwa wa matunda kwa asilimia zote
🌹Huongeza uzito wa mazao k**a mapapai,maembe,maparachichi, maharage,kunde,mahindi,mapera,karoti,hoho na mengineyo.
🌹Inaongeza uwezo wa udongo kutunza unyevunyevu.Hivyo hata jua likiwa kali sana bado mimea yako itakuwa imara na haitasinyaa kamwe.
🌹Inalinda ladha halisi ya tunda.Ladha ya tunda inakuwa tofauti sana na tunda ambalo halikulimwa na supergro.
🌹 Kuimarisha mazao na kuyasaidia yasiliwe au kubunguliwa na wadudu.
MATUMIZI YA SUPERGRO::
🍎Pima cc/mls ziendane na ujazo wa lita za maji.
MFANO::
cc/mls 10 kwa Lita 10 za maji.
cc/mls 50 kwa Lita 50 za maji.
👉🏽 Hakikisha cc/mls za supergro zinaendana na ujazo wa maji usipunguze wala kuzidisha.
K**a unatumia bomba la solo lenye Lita 15 au 20 hakikisha cc/mls zinakuwa 15 au 20.
MAJIRA/WAKATI WA KUPULIZA SUPERGRO:
👉🏽Puliza kila baada ya siku 7 k**a ni wakati wa jua (kiangazi/ukame).
👉🏽 Puliza kila baada ya siku 14 k**a ni wakati wa mvua (masika).
👉🏽Puliza kwenye shina na matawi kuuzunguka mmea wako.
👉🏽Puliza taratibu bila presha kubwa ili mmea upate kirutubisho sehemu zote.
NOTE::
Inashauriwa upulize asubuhi au jioni kwa sababu mchana mmea unakuwa kwenye process za kujitengenezea chakula