
13/02/2025
Ukiwa na huu mmea huo kwenye picha ujue una dawa ya kikohozi na UTi kwa wakati mmoja!
โ โ Wengine huita Kibwelabwezi
โ โ wengine Mlavumba
โโ Ukiwa na kikohozi sugu
Chuma hayo majani, tafuna na kipande cha muwa ili kupunguza makali/uchungu wa hiyo dawa
Ukitafuna unahisi hadi masikio yanapika kelele za shangwe
โโ Kwa magonjwa ya mfumo wa mkojo k**a UTI, Chango , kisonono, uvimbe kwenye mfumo wa mkojo
Pika chai ya haya majani
Kunywa mara 3 kutwa
โโ Kuongeza Nguvu za Kiume
Tafuna jani 1 kila siku kwa siku 14
โโ Pia Ni Tiba kwa Presha ya kupanda ..
โโNa ni Tiba ya Malaria, Matumizi yake chemsha kunywa Mara tatu
Note: kwa Mtu mwenye pressure ya kushuka asitumie Mmea huu.