Afya Online na DR. Kilatenga

Afya Online na DR. Kilatenga Kwa ushauri na Tiba kuhusu Afya ya uzazi wa mwanaume na Mwanamke..karibu sana tukuhudumie.

*HAPPY NEW YEAR... 🔥🔥*Nawashukuru kwa dhati wadau wangu wote wa Afya ya Uzazi wa Mwanamke kwa kuwa nami bega kwa bega ta...
01/01/2026

*HAPPY NEW YEAR... 🔥🔥*

Nawashukuru kwa dhati wadau wangu wote wa Afya ya Uzazi wa Mwanamke kwa kuwa nami bega kwa bega tangu mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka huu 2025.

Uaminifu wenu, ushirikiano wenu na imani mliyonipa ndiyo nguvu yangu ya kuendelea kuhudumia na kuelimisha.

*Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 🎉✨*

Mwaka uliojaa afya njema, matumaini mapya, mafanikio na furaha tele.
Asanteni kwa kuchagua safari ya afya nami 🤍🌺

*DR. KILATENGA*
*0746846891*

*HELLO LADIES...👋*Napenda kukumbusha kuwa tumebakiwa na siku tatu tu kuingia Mwaka Mpya wa 2026..Nakuombea kwa Mungu uzi...
29/12/2025

*HELLO LADIES...👋*
Napenda kukumbusha kuwa tumebakiwa na siku tatu tu kuingia Mwaka Mpya wa 2026..

Nakuombea kwa Mungu uzidi kuimarika katika afya yako, na upate lililo hitaji la moyo wako 🫵

Vile vile napenda kuwa kumbusha kuwa tumebakiwa na siku tatu pia za Offer ya Tiba zetu....

Kwahiyo Hakikisha unapata Huduma ya changamoto yako kwa Gharama nafuu sana ya Punguzo la bei kabla Hatuja Maliza mwaka huu..

Maana offer kubwa k**a hii haitajirudia tena Mwaka unao fuata utakua na Mambo mapya..🤗

Pia, kutakuwa na Mabadiliko ya kimuonekano ya bidhaa yetu pendwa ya REPRO-CARE...

*ENDELEA KUWA NASI MAANA YAJAYO YANAFURAHISHA SANA...🔥*

Dr.kilatenga
0746846891

03/12/2025

✨ Bibi Safi, Maisha Safi! ✨
Je, umechoka na uchafu, harufu mbaya na kutokwa ukeni kila mara? 😣
Usiangaike tena… suluhisho ni rahisi na lina uhakika! 💯

👉 Fanya maamuzi leo, rudisha hali ya kawaida, ujasiri na furaha yako ya k**e. ❤️
✅ Harufu mbaya itaisha
✅ Uchafu utapungua
✅ Utafurahia usafi na amani ya mwili

📌 Sema kwaheri na aibu, sema ndiyo kwa afya ya uzazi bora!

Wasiliana nasi Sasa 0746846891

18/11/2025

Wasiliana nasi Sasa 0746846891....

14/11/2025

REPROCARE...... 🔥🔥🔥

11/11/2025

*Tunafanya Derivary bidhaa zetu mikoa yote Tanzania kwa uaminifu mkubwa sana.....🔥*

Je, unahitaji nikuandalie Tiba ya changamoto gani?

0746846891

13/10/2025

🔄 *Mzunguko wa Hedhi ni Nini?*

Mzunguko wa hedhi ni kipindi kinachoanzia *siku ya kwanza ya hedhi* hadi *siku ya kwanza ya hedhi inayofuata*. Kwa kawaida, huchukua siku *21 hadi 35*, lakini wastani ni *siku 28*.

🩸 *Hatua Kuu za Mzunguko wa Hedhi:*

1. *Hedhi (Menstruation)* — Siku ya 1 hadi 5
- Hii ni kipindi ambapo yai halikutunga mimba, na hivyo ukuta wa mfuko wa mimba hutoka k**a damu.
- Hii ndiyo siku ya kwanza ya mzunguko mpya.

2. *Kukomaa kwa Yai (Follicular Phase)* — Siku ya 1 hadi 13
- Yai huanza kukomaa kwenye ovari.
- Homoni zinajitayarisha kwa uwezekano wa ujauzito.

3. *Ovulation (Yai kutoka)* — Siku ya 14 (kwa mzunguko wa siku 28)
- Yai hutolewa kutoka kwenye ovari kwenda kwenye mirija ya uzazi.
- Hii ndiyo *siku yenye uwezo mkubwa zaidi wa kupata ujauzito.*

4. *Luteal Phase* — Siku ya 15 hadi 28
- Mwili unasubiri k**a yai litarutubishwa.
- K**a hakuna ujauzito, homoni hushuka, na hedhi huanza tena.

📅 *Siku Muhimu Kuelewa:*

🔴 *Siku za Hedhi:*
- Siku ya 1 hadi 3–7 (inategemea mtu)

🟢 *Siku Salama:*
- Siku ya 1 hadi 7 (mara tu baada ya hedhi, hatari ya ujauzito ni ndogo sana)
- Siku ya 21 hadi 28 (mara baada ya ovulation kupita)

🔶 *Siku Hatari (Siku za Ovulation):*
- Siku ya 11 hadi 17 (katikati ya mzunguko – hapa mimba inaweza kutokea kirahisi sana)

---

📌 Mfano wa Mzunguko wa Siku 28:

| Siku | Tukio |
|------|-------|
| 1–5 | Hedhi |
| 6–10 | Salama |
| 11–17 | Hatari (siku za ovulation) |
| 18–28 | Salama |

📝 *Kumbuka:* Hii ni kwa mzunguko wa kawaida wa siku 28. K**a mzunguko wako ni mrefu au mfupi, siku hizo hubadilika pia.

🧠 Vidokezo Muhimu:
- Tumia *kalenda ya kawaida* au *app ya mzunguko wa hedhi* (k**a *Flo, Period Tracker, Clue*) ili kufuatilia siku zako kwa usahihi.
- K**a hedhi yako haiko sawa (mara hii, mara ile), ni vyema kufanya *uchunguzi wa homoni* au kuonana na daktari.
-

*Dr. Kilatenga*
*0746846891*

💔 “Nilikuwa naona aibu hata kwenda hospitali…”Miaka miwili ya mateso kimya kimya. Kila nikijisafisha, kuna muwasho wa aj...
12/10/2025

💔 “Nilikuwa naona aibu hata kwenda hospitali…”

Miaka miwili ya mateso kimya kimya. Kila nikijisafisha, kuna muwasho wa ajabu. Mara uchafu usio wa kawaida. Maumivu nikikojoa. Nikajua ni kawaida – kumbe ni UTI ya kurudia na maambukizi ya ndani.

Nilienda kila kliniki, dawa kibao – sikupona. Nikakata tamaa.

Mpaka nilipopata tiba ya asili kutoka DR. KILATENGA HEALTH CARE. Sikuamini nilipopona ndani ya siku 7! Hakuna muwasho, hakuna uchafu, na mkojo ni mweupe k**a maji ya chupa. 😭🙌🏽

(HUU NI USHUHUDA WA MOJA KATI YA WATEJA WANGU NILIO WAHI KUWA HUDUMIA).

🛑 K**a unasoma hii, usiendelee kuteseka kimya kimya k**a mimi. Miwasho si kawaida. UTI si kawaida. Uchelewaji ni hasara kwa mwili wako!

🌿 Tiba yetu ni salama kwa wote, bila kemikali. Inatibu ndani kwa ndani.
🚚 Tunatuma popote ulipo, mikoani kwa uaminifu mkubwa!

💰 Bei ya kawaida: Tsh 53,600
⚡ Sasa unapata kwa offer ya Tsh 30000 tu!

📞 Wahi sasa kabla offer haijaisha:
👉Dr. Kilatenga +255746846891

11/10/2025

*KAZI ZA TRE-EN-EN*
📌Husaidia kupata choo laini
📌Husaidia kubalance hormone, kubalance mizunguko ya wadada na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
📌Husaidia mizunguko ya damu mwilini na afya ya moyo
📌Huongeza nguvu mwilini
📌Hukuondolea uchovu na kukufanya kuwa mchangamfu siku nzima
📌Husaidia kutoa sumu mwilini
📌Huboresha mbegu za kiume(sperm)
📌Husaidia mfumo wote wa mwili kufanya kazi vizuri
📌Husaidia kwa wale wenye malaria sugu na za mara kwa mara kupotea kabisa
📌Husaidia kuwa na ngozi laini na nzuri
🔖NB:ENDAPO UTAKUNYWA CAPSULE 3 KILA SIKU KWA SIKU 5 UTAANZA KUONA MABADILIKO MAZURI MWILINI

_*Hii ipo kwenye Offer leo tu utaipata kwa sh. 95,000/= badala ya sh. 120000/=*_

*Dr. Kilatenga*
*0746846891*

08/10/2025

Wasiliana nasi Sasa 0746846891..

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Online na DR. Kilatenga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram