AFYA YANGU

AFYA YANGU ๐—ž๐—”๐—ฅ๐—œ๐—•๐—จ ๐—ง๐—จ๐—ž๐—จ๐—›๐—จ๐——๐—จ๐— ๐—œ๐—˜, ๐—ž๐—ช๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ญ๐—” ๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—ง๐—ข๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ, ๐—ฉ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐— ๐—ข, ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—๐—ข.

+255628361104 - ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐—ป๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ.

+255746484873 - ๐—ฃ๐—ถ๐—ด๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚.

๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ [ ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ] ๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—›๐—จ๐—Ÿ๐—”๐—ญ๐—œ๐— ๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—›๐—จ๐——๐—›๐—จ๐—ฅ๐—œ๐—” ๐——๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—”...
30/09/2024

๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ [ ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ] ๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—›๐—จ๐—Ÿ๐—”๐—ญ๐—œ๐— ๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—›๐—จ๐——๐—›๐—จ๐—ฅ๐—œ๐—” ๐——๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ข ๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜:

Muda wa kumaliza tatizo au changamoto, inategemea hatua ya tatizo lilipo fikia, na tunapo zungumzia hatua ya tatizo tuna tazama au kuzungumzia mambo matatu.

โž– Wingi wa maambukizi yani vimelea Virusi hapa tunamaanisha (Viral load).

โž– Afya ya ini (Liver health)

โž– Afya ya mgonjwa kwa ujumla yani changamoto anazo zipitia kwa wakati huo (Currently General Health for Patient ).

Kwaiyo kuna wagonjwa wanao maliza tatizo hili kwa kuda wa miezi miwili, wengine miezi mitatu, miezi mienne na wengine mwaka mnzima na wapo wachache inawalazimu kuhudhulia dozi maisha yote kutokana na hatua aliyo ifikia.

Wagonjwa ambao inawalazimu kushiliki dozi katika kipindi chote ni wagonjwa ambao wapo kuanzia Stage ya tatu ya uharibifu wa ini unao endelea pole pole kutokana na maambukizi ya muda mlefu (Third Stage of liver Demage).

Hatua hii ya tatu maranyingi sana ini likuwa tayari limeshafikia hatua ya kuwa na kovu baada ya multiple cells yani seli nyingi au tishu nyingi za ini kupasuliwa kwa wingi na zile scar tissues yani tishu au seli za ini zilizo pasuliwa kuwa placed yani kukusanyika au kukaa pamoja na health tissues hizi ni tishu za ini zenye afya, zinapo kuja kuingiliana na tishu au seli za ini zilizo haribika, huwa zinakuja kutengeneza kovu la ini, kovu hili hulifanya ini kuwa katika hatua ya tatu ya uharibifu wa ini ulio endelea pole pole kutokana na uwepo wa maambukizi ya virus vya Hepatitis kwa muda mlefu hatua hii ya tatu tunaita "๐—Ÿ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ ๐—–๐—ถ๐—ฟ๐—ฟ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ถ๐˜€ ๐—ฆ๐˜๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ".

Kovu hili la ini huingilia utendaji kazi wa ini kwakiwango kikubwa sana, na kulifanya ini lianze kuacha au kushindwa kufanya kazi zake au metabolism mbali mbali mwilini k**a vile uchujwaji wa Sumu, Asidi, Protini ya ziada, Mafuta na kuweka sawa viwango sahihi vya maji mwilini ili maisha yaweze kuendelea.

Na ukitazama kovu la ini ndio mwanzo wa ini kuingia katika hatua ya nne ya uharibifu wa ini ambayo ni Liver cancer au saratani ya ini.

Kwaiyo kwa wagonjwa waliopo hatua ya tatu, hatua ya nne na hatua ya tano maranyingi sana inakuwa ni ngumu kupona moja kwa moja kwasababu kovu la ini huwa ๐—ต๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐—ธ๐—ถ anaweza kumaliza maambukizi na kupata utaratibu wa chanjo, lakini bado ini lake likaendelea kuzalishwa seli za kansa.

Kwaiyo kupitia hatua hizi hatarishi, ngonjwa hushauliwa kuendelea kuhudhulia Dozi, Vyakula salama kwa afya ya ini pamoja na vipimo vya mara kwa mara ili kuzuiya kovu la ini lisiendelee kuharibu Tishu za ini zilizo Salia ili kuliwezesha ini kuendelea kufanya kazi kazi zake za kilasiku.

Matibabu ya dozi za kuondoa maambukizi ya virus vya homa ya ini dozi hizi zipo katika mfumo wa vidonge na ni za asili (Ant-hepatitis B Virus Medicine).

Ufanis wa dawa hizi katika kumaliza tatizo, dawa hizi ๐—ต๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ viambata vya DNA ya kirus wa Hepatitis ambayo inamfanya awe sugu katika mwitikio wa dozi na kumtengeneza kirusi katika hali ya kufubazwa.

๐——๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ๐—• ๐—ก๐—” ๐—– ๐—›๐—จ๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐— ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐— ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—” ๐—ฆ๐—จ๐—Ÿ๐—จ๐—›๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข:

โž– Kuimarisha afya ya ini katika utendaji kazi wake.

โž– Kurejesha seli za ini zilizo chakaa kwakuweka sawa chembe hai ya seli yani DNA.

โž– Kuzilinda seli za ini au tishu zilizo hai zisiweze kushambuliwa na maambukizi.

โž– Kuimarisha afya ya ini kwakufanya liver Recovering.

โž– Kuimarisha afya ya figo na utumbo kwakuzuiya na kutibu vidonda vya tumbo, tumbo kujaa gesi, ganzi, bawasiri pamoja na kansa ya utumbo.

โž– Kuzuiya Assicites yani tumbo kujaa maji pamoja na mwili k**a vile miguu.

โž– Kuondoa na kuzuiya Jaunces yani manjano ya ngozi na macho.

โž– Kuondoa na kuzuiya maumivu ya misuri, mifupa na kifua.

โž– Kuongeza hamu ya kula na kuimarisha mfumo wa Digestion System yani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (๐—”๐—Ÿ๐—ง ๐—ป๐—ฎ ๐—”๐—ฆ๐—ง ) Enzymes.

โž– Blood Detoxification na Cleaning (Kusafisha damu kwakuondoa sumu, mabaki ya protini, Urea, asid, na kuondoa maambukizi yaliyo nje ya mfumo wa seli).

โž– Kuongeza au kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake kuimarisha mfumo wao wa homon.

โž– Kulinda na Kuimarisha afya ya figo na kibofu kwakweka sawa rangi ya mkojo.

Malengo yetu katika kutibu changamoto hii ni kutoa suluhisho bora na la kudumu katika kumaliza maambukizi na kuimarisha afya ini kwa ujumla, na mgonjwa aweze kuifikia huduma ya chanjo.

๐—ž๐—ช๐—”๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—”๐—ง๐—œ๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—” ๐—ก๐—œ ๐—›๐—”๐—ง๐—จ๐—” ๐—ญ๐—” ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ - ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฅ๐—˜๐—๐—˜๐—ฆ๐—›๐—” ๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—ž๐—ข๐— ๐—˜๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—›๐—”๐—ง๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ญ๐—œ๐—๐—”๐—ญ๐—ข:

๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฉ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐— ๐—ข, ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ, ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—๐—ข.

Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp. 0628 361 104 +255746484873

Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp. 0628 361 104. +255746484873

๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ [ ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ] ๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—›๐—จ๐—Ÿ๐—”๐—ญ๐—œ๐— ๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—›๐—จ๐——๐—›๐—จ๐—ฅ๐—œ๐—” ๐——๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—”...
30/09/2024

๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ [ ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ] ๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—›๐—จ๐—Ÿ๐—”๐—ญ๐—œ๐— ๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—›๐—จ๐——๐—›๐—จ๐—ฅ๐—œ๐—” ๐——๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ข ๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜:

Muda wa kumaliza tatizo au changamoto, inategemea hatua ya tatizo lilipo fikia, na tunapo zungumzia hatua ya tatizo tuna tazama au kuzungumzia mambo matatu.

- Wingi wa maambukizi yani vimelea Virusi hapa tunamaanisha (Viral load).

- Afya ya ini (Liver health)

- Afya ya mgonjwa kwa ujumla yani changamoto anazo zipitia kwa wakati huo (Currently General Health for Patient ).

Kwaiyo kuna wagonjwa wanao maliza tatizo hili kwa kuda wa miezi miwili, wengine miezi mitatu, miezi mienne na wengine mwaka mnzima na wapo wachache inawalazimu kuhudhulia dozi maisha yote kutokana na hatua aliyo ifikia.

Wagonjwa ambao inawalazimu kushiliki dozi katika kipindi chote ni wagonjwa ambao wapo kuanzia Stage ya tatu ya uharibifu wa ini unao endelea pole pole kutokana na maambukizi ya muda mlefu (Third Stage of liver Demage).

Hatua hii ya tatu maranyingi sana ini likuwa tayari limeshafikia hatua ya kuwa na kovu baada ya multiple cells yani seli nyingi au tishu nyingi za ini kupasuliwa kwa wingi na zile scar tissues yani tishu au seli za ini zilizo pasuliwa kuwa placed yani kukusanyika au kukaa pamoja na health tissues hizi ni tishu za ini zenye afya, zinapo kuja kuingiliana na tishu au seli za ini zilizo haribika, huwa zinakuja kutengeneza kovu la ini, kovu hili hulifanya ini kuwa katika hatua ya tatu ya uharibifu wa ini ulio endelea pole pole kutokana na uwepo wa maambukizi ya virus vya Hepatitis kwa muda mlefu hatua hii ya tatu tunaita "๐—Ÿ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ ๐—–๐—ถ๐—ฟ๐—ฟ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ถ๐˜€ ๐—ฆ๐˜๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ".

Kovu hili la ini huingilia utendaji kazi wa ini kwakiwango kikubwa sana, na kulifanya ini lianze kuacha au kushindwa kufanya kazi zake au metabolism mbali mbali mwilini k**a vile uchujwaji wa Sumu, Asidi, Protini ya ziada, Mafuta na kuweka sawa viwango sahihi vya maji mwilini ili maisha yaweze kuendelea.

Na ukitazama kovu la ini ndio mwanzo wa ini kuingia katika hatua ya nne ya uharibifu wa ini ambayo ni Liver cancer au saratani ya ini.

Kwaiyo kwa wagonjwa waliopo hatua ya tatu, hatua ya nne na hatua ya tano maranyingi sana inakuwa ni ngumu kupona moja kwa moja kwasababu kovu la ini huwa ๐—ต๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐—ธ๐—ถ anaweza kumaliza maambukizi na kupata utaratibu wa chanjo, lakini bado ini lake likaendelea kuzalishwa seli za kansa.

Kwaiyo kupitia hatua hizi hatarishi, ngonjwa hushauliwa kuendelea kuhudhulia Dozi, Vyakula salama kwa afya ya ini pamoja na vipimo vya mara kwa mara ili kuzuiya kovu la ini lisiendelee kuharibu Tishu za ini zilizo Salia ili kuliwezesha ini kuendelea kufanya kazi kazi zake za kilasiku.

Matibabu ya dozi za kuondoa maambukizi ya virus vya homa ya ini dozi hizi zipo katika mfumo wa vidonge na ni za asili (Ant-hepatitis B Virus Medicine).

Ufanis wa dawa hizi katika kumaliza tatizo, dawa hizi ๐—ต๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ viambata vya DNA ya kirus wa Hepatitis ambayo inamfanya awe sugu katika mwitikio wa dozi na kumtengeneza kirusi katika hali ya kufubazwa.

๐——๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ ๐—• ๐—ก๐—” ๐—– ๐—›๐—จ๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐— ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐— ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—” ๐—ฆ๐—จ๐—Ÿ๐—จ๐—›๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข:

โž– Kuimarisha afya ya ini katika utendaji kazi wake.

โž– Kurejesha seli za ini zilizo chakaa kwakuweka sawa chembe hai ya seli yani DNA.

โž– Kuzilinda seli za ini au tishu zilizo hai zisiweze kushambuliwa na maambukizi.

โž– Kuimarisha afya ya ini kwakufanya liver Recovering.

โž– Kuimarisha afya ya figo na utumbo kwakuzuiya na kutibu vidonda vya tumbo, tumbo kujaa gesi, ganzi, bawasiri pamoja na kansa ya utumbo.

โž– Kuzuiya Assicites yani tumbo kujaa maji pamoja na mwili k**a vile miguu.

โž– Kuondoa na kuzuiya Jaunces yani manjano ya ngozi na macho.

โž– Kuondoa na kuzuiya maumivu ya misuri, mifupa na kifua.

โž– Kuongeza hamu ya kula na kuimarisha mfumo wa Digestion System yani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (๐—”๐—Ÿ๐—ง ๐—ป๐—ฎ ๐—”๐—ฆ๐—ง ) Enzymes.

โž– Blood Detoxification na Cleaning (Kusafisha damu kwakuondoa sumu, mabaki ya protini, Urea, asid, na kuondoa maambukizi yaliyo nje ya mfumo wa seli).

โž– Kuongeza au kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake kuimarisha mfumo wao wa homon.

โž– Kulinda na Kuimarisha afya ya figo na kibofu kwakweka sawa rangi ya mkojo.

Malengo yetu katika kutibu changamoto hii ni kutoa suluhisho bora na la kudumu katika kumaliza maambukizi na kuimarisha afya ini kwa ujumla, na mgonjwa aweze kuifikia huduma ya chanjo.

๐—ž๐—ช๐—”๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—”๐—ง๐—œ๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—” ๐—ก๐—œ ๐—›๐—”๐—ง๐—จ๐—” ๐—ญ๐—” ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ - ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฅ๐—˜๐—๐—˜๐—ฆ๐—›๐—” ๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—ž๐—ข๐— ๐—˜๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—›๐—”๐—ง๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ญ๐—œ๐—๐—”๐—ญ๐—ข:

๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฉ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐— ๐—ข, ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ, ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—๐—ข.

0628 361 104

+255746484873

๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ  ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ฅ๐—จ๐—ฆ๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ, ๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ:Homa ya ini hujulikana kwa kitaalamu k**a Hepatitis.Hep...
29/09/2024

๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ฅ๐—จ๐—ฆ๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ, ๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ:

Homa ya ini hujulikana kwa kitaalamu k**a Hepatitis.

Hepatitis ni kirusi kinacho sababisha saratani ya ini baada ya kuishi na maambukizi ya muda mrefu pasipo kutibia.

Katika maeneo yetu, bara la afrika maambukizi ya virusi vya homa ya ini ndio sababu kuu ya shida kwenye ini.

Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A,B,C,D,E) ambapo aina mbili za virusi (B na C ) ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini na husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili.

Homa ya ini ni sawa janga linaloua kimya kimya kulingana na takwimu za vifo vya dunia inakadiriwa kirusi cha homa ya ini aina ya B pekee huua watu 600,000 hivi kila mwaka.

Kwa wastani zaidi ya watu bilioni mbili, yaani, asilimia 33 hivi ya watu wote ulimwenguni, wameambukizwa virusi vya HBV (Hepatitis B Virus), na wengi wao hupona baada ya miezi michache kupitia kinga zao za mwili au kupitia medications ya dozi za Ant-hepatitis B Virus.

Watu milioni 350 hivi huendelea kuwa na virusi hivyo mwilini, wengi huishi bila dalili na kuendelea kuambukiza watu wengine.

๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—๐—œ๐—” ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—”๐— ๐—•๐—”๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ฅ๐—จ๐—ฆ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:

โ–ช๏ธKushiliki ngono isiyo salama na mtu mwenye kuishi na maambukizi ya virus vya Hepatitis.

โ–ช๏ธKuchangia vitu vyenye ncha kali k**a vile sindano, kisu NK.

โ–ช๏ธKuvaliana na nguo na mtu mwenye maambukizi ya virus vya Hepatitis.

โ–ช๏ธKushika maji maji yatokayo mwilini mwa mtu alie na maambukizi ya virus vya homa ya ini Hepatitis.

โ–ช๏ธKuchangia damu au kutumia vifaa vya kusafishia damu k**a ilivyo kwa Dialysis ya figo.

๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:

Kwa kawaida dalili za mwanzo za homa ya ini hutokea ndani ya miezi 6 baada kuambukizwa,na hutokea kwa baadhi ya watu hazitokei kwa kila mtu.

Mgonjwa mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini hupata dalili zifuatazo;

[ 1 ] Tumbo kujaa Gesi, vidonda vya tumbo, uchovu na kuishiwa nguvu.

[ 2 ] Kichefuchefu na kutapika.

[ 3 ] Miwasho ya ngozi na majipu.

[ 4 ] Homa kali na za mara kwa mara.

[ 5 ] Kupoteza hamu ya kula, kuharisha.

[ 6 ] Kupungua uzito kupita kiasi.

[ 7 ] Maumivu makali ya tumbo upande wa ini upande wa kulia.

[ 8 ] Macho na ngozi kuwa vya njano.

[ 9 ] Mkojo mweusi/mkojo kuwa na rangi iliyokolea k**a coca-cola.

๐— ๐—”๐——๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ฅ๐—จ๐—ฆ๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐— ๐—Ÿ๐—˜๐—™๐—จ ๐—ฃ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ž๐—จ๐—ง๐—œ๐—•๐—œ๐—ช๐—”:

Kuna kundi dogo la wagonjwa wa homa ya ini hupata ugonjwa mkali wa ini na kusababisha ini kushindwa kabisa kufanya kazi pia huweza kusababisha kifo. Hii hatua huitwa โ€œ๐—ณ๐˜‚๐—น๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐˜ ๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ ๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜‚๐—ฟ๐—ฒโ€.

Watu wenye maambukizi ya kudumu ya virusi vya homa ya ini mara nyingi huwa hawana dalili kwa miaka mingi, kadri muda unavyoenda virusi vya hepatitis husababisha ini kusinyaa hatua hii ya ini kusinyaa huitwa (๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ ๐—ฐ๐—ถ๐—ฟ๐—ฟ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ถ๐˜€) hupelekea ini kushindwa kabisa kufanya kazi vyema.

Pia maambukizi ya virusi vya homa ya ini huchangia kupata saratani ya ini ambayo hujulikana kwa kitaalamu k**a ๐—ต๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฐ๐—ฒ๐—น๐—น๐˜‚๐—น๐—ฎ๐—ฟ ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฐ๐—ถ๐—ป๐—ผ๐—บ๐—ฎ.

๐—ž๐—จ๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—”: Watu wengi wameangaika katika kutafuta ufumbuzi wa tatizo hili, ili kunusuru maisha kwa ghalama mbali mbali na hatimae kukosa kutimiza lengo la matibabu katika kumaliza tatizo hili na mwisho huishi na fikra potofu au tofauti ya kuamini kwamba ugonjwa huu hauna tiba na hivyo hupoteza matumaini ya kuendelea kuishi.

Ugonjwa huu unatibika kupitia dozi sahihi ya Hepatitis Ant-Viral uku ukizingatia lishe yenye manufaa kwa afya ya INI pamoja na seli zake, mazoezi na utumiaji wa matunda kwa wingi pamoja na mboga za majani.

Matibabu ya tatizo hili yanategemea pia na hatua ya tatizo lilipo fikia katika upande wa afya ya ini [Liver Demage] pamoja na wingi wa maambukizi, tatizo linaweza kuisha mapema na kupata chanjo ya kuzuiya kupata tena maambukizi ya virusi vya homa ya ini endapo utawai matibabu ya mapema kabla ya ini kufikia hatua mbaya ya kovu.

Sikuzote kovu la ini halitibiki na hii ndio sababu ya kwamba homa ya ini haina tiba unaweza ukatokomeza maambukizi na kupata chanjo lakini k**a ini tayari limesha kuwa na kovu inakuwa bado ni changamoto kwasababu kovu la ini ndio chanzo cha saratani ya ini:

๐—ž๐—ช๐—”๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—”๐—ง๐—œ๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—” ๐—ก๐—œ ๐—›๐—”๐—ง๐—จ๐—” ๐—ญ๐—” ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ - ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—ž๐—ข๐— ๐—˜๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—›๐—”๐—ง๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ญ๐—œ๐—๐—”๐—ญ๐—ข:

๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฉ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐— ๐—ข, ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ, ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—๐—ข:

0628 361 104

+255746484873

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YANGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram