24/11/2024
UNATUMIA SABUNI GANI KUSAFISHIA MWILI WAKO?
🟪 Watu wengi hawajui kuwa NGOZI ya MWILI nayo inahitaji matunzo mara kwa mara . Usipoitunza NGOZI yako hakuna mtu atakaefanya hiyo kazi kwa ajili yako.
💬 🛑👉 MUHIMU SANA :
🟠 Miaka hii ya karibuni tafiti kutoka SHIRIKA LA AFYA DUNIANI ( WHO ) limetoa ripoti muhimu ya wahanga wanaosumbuliwa na haya Maradhi yasiyoambukiza na Maradhi SUGU k**a SARATANI, KISUKARI, PUMU, ANAEMIA, N.K .
👉 TAKWIMI ZINASEMA KUWA 71% HADI 75% YA VIFO VYA WATU DUNIANI KOTE INATOKANA NA HAYA MARADHI SUGU.
🔥🔥🔥🔥 Sasa basi, siku hizi kuna mlipuko wa ugonjwa huu wa SARATANI ya NGOZI . Tatizo hili linasababishwa na vitu mbalimbali k**a;
1️⃣ Mionzi ya jua .
2️⃣ Vipodizi visivyofaa vyenye KEMIKALI NYINGI kutoka viwandani k**a Mafuta ya kujipaka na SABUNI za kuogea.
3️⃣ Vyakula na vinywaji mbalimbali vyenye KEMIKALI vilivyoandaliwa kutoka viwandani k**a soda, juice, n.k
👇👇👇👇👇👇
🟠 Leo nakuachia swali la kujiuliza kuhusu hiyo SABUNI ya kuongea unayoitumia, je ni salama kwa AFYA YAKO YA NGOZI?