Tuongee Afya

Tuongee Afya NUTRITIONIST
✅UZAZI ME&KE
✅VIDONDA VYA TUMBO
✅ Ovarian cyst & Uvimbe
✅PID, U.T.I&FANGAS
✅UZITO
✅ AFYA YA WATOTO
MATOKEO BORA Whatsapp 0750933014

Unajisikia uchovu Mara Kwa mara? Kinga ya mwili imeshuka? Ngozi, nguvu au hormones hazipo sawa k**a zamani?Mwili wako ha...
02/03/2026

Unajisikia uchovu Mara Kwa mara? Kinga ya mwili imeshuka? Ngozi, nguvu au hormones hazipo sawa k**a zamani?
Mwili wako hauhitaji dawa nyingi… unahitaji virutubisho sahihi kila siku.
✅ Huongeza kinga ya mwili
✅ Nguvu na stamina zinaongezeka
✅ Inasaidia ngozi, moyo na afya ya ndani kwa ndani
✅ Mfumo kamili wa vitamins + antioxidants kwa matumizi ya kila siku
✅ ProVitality — mfumo kamili wa afya ndani ya box moja.

Bei: 165,000/= tu (uwekezaji mdogo kwa afya yako ya muda mrefu).
📲 Nitumie neno PROVITALITY
WhatsApp 0750933014
Afya yako ikikaa sawa… kila kitu kingine kinafuata.

Kinga ya Mwili (Immune System) ina mchango mkubwa sana kwenye uzazi wenye afya kuliko watu wengi wanavyodhani Mwili unap...
26/02/2026

Kinga ya Mwili (Immune System) ina mchango mkubwa sana kwenye uzazi wenye afya kuliko watu wengi wanavyodhani
Mwili unapokuwa na kinga dhaifu:
👉 Hutengeneza uvimbe wa ndani (inflammation) unaoweza kuathiri mayai ya mwanamke na ubora wa mbegu za mwanaume.
👉 Homoni zinachanganyikiwa — ovulation inachelewa au mimba kushindwa kushika.
👉 Maambukizi ya mara kwa mara huathiri mfuko wa uzazi na mazingira ya ujauzito.

Lakini kinga ikiwa imara:
✅ Mwili unasawazisha homoni kwa urahisi.
✅ Mayai na mbegu zinakuwa na ubora mzuri.
✅ Mwili unakuwa tayari kupokea na kulea mimba salama.
✍️Ndiyo maana supplements sahihi za lishe bora, antioxidants na virutubisho vya kuongeza kinga siyo tu za kuzuia magonjwa — zinakuwa sehemu ya maandalizi ya uzazi wenye mafanikio.
📩 K**a unataka kujua ni supplements zipi zinafaa kulingana na changamoto yako, niandikie “AFYA” nikuelekeze vizuri.

Call/Whatsapp 0750933014

25/02/2026

Baada yu ya kumaliza tendo la ndoa uke unawaka k**a moto kutokana na michubuko iliosababishwa na kukosa ute wa kutosha ukeni.Basi leo hii anza kwa kunywa maji kwa wingi bila kusahau kutengeneza juice hii.

Msaada zaidi
WhatsApp 0750933014

24/02/2026

Unajua kuna wakati mwili hauhitaji dawa… unahitaji msaada sahihi wa lishe.

📌Uchovu unaorudia, hamu ya kula kupungua, mwili kukosa nguvu au hata kupona polepole baada ya kuugua — wengi tunaona ni kawaida, kumbe ni ishara mwili wako unaomba support zaidi.

✅Kuna kitu nimekuwa nikikipenda sana kwa sababu kinafanya kazi kimya kimya… kinaongeza nguvu ya mwili, kinaimarisha kinga na kinasaidia mwili kurudi kwenye balance yake bila presha.

👉 Tre-en-en — wale wanaojali afya yao ya ndani wanaielewa vizuri.

Kopo dogo 60,000/= tu
Kopo kubwa 120,000/= tu

Ukihisi ni muda wa kuupa mwili wako nafasi ya kufanya kazi vizuri zaidi, niandikie “AFYA” inbox au WhatsApp 0750933014 nikuelekeze vizuri

23/02/2026

Unasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, choo kigumu, uchovu usioisha au ngozi kupoteza mwanga wake?
Watu wengi hutibu dalili… lakini husahau kusafisha mwili kuanzia ndani.

Aloe Vera Juice ni zaidi ya kinywaji, ni msaidizi wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, husaidia kusafisha utumbo, kuimarisha kinga ya mwili na kurudisha nguvu zako taratibu kila siku.
✨ Inasaidia digestion kuwa vizuri
✨ Huchangia detox ya mwili kwa upole
✨ Husaidia ngozi kung’aa na mwili kuwa mwepesi

Na habari njema ni hii👇
Kwa sasa ni 55,000/= tu!

Usisubiri mwili utoe alarm kubwa zaidi.
📩 Niandikie “ALOE VERA JUICE” inbox au WhatsApp 0750933014 sasa uanze safari ya kujirudisha upya kutoka ndani kwenda nje.

23/02/2026

Kupata Msaada Zaidi juu ya tiba za uzazi, maambukizi ya ukeni na homoni wasiliana nasi sasa WhatsApp 0750933014

PCOS (Polycystic O***y Syndrome) ni hali inayotokea pale homoni za mwanamke zinapokosa uwiano sahihi, na kusababisha may...
23/02/2026

PCOS (Polycystic O***y Syndrome) ni hali inayotokea pale homoni za mwanamke zinapokosa uwiano sahihi, na kusababisha mayai kushindwa kukomaa vizuri au kutoka kwa wakati wake.
PCOS siyo mwisho wa ndoto ya kuwa Mama… ni ujumbe wa mwili wako kuhitaji msaada sahihi.
Wanawake wengi wanapogundulika na PCOS huanza kuogopa — hedhi zisizoeleweka, chunusi, uzito kuongezeka, au kuchelewa kupata ujauzito.
Lakini ukweli ni huu👇
PCOS haimaanishi huwezi kupata mtoto. Ina maana homoni zako zinahitaji kurekebishwa, lishe kuboreshwa na mwili kupewa virutubisho sahihi.
Tatizo kubwa si PCOS yenyewe… ni kuacha mwili bila suluhisho la ndani na kutegemea dalili zipotee zenyewe.
Wanawake wengi leo wameweza kurejesha mzunguko wao wa hedhi, kubalance homoni na kupata ujauzito baada ya kuanza safari sahihi ya afya ya ndani.
👉 K**a unahisi mwili wako unapitia changamoto za PCOS au unatamani kuwa Mama lakini mambo hayaendi sawa… nicheki DM au tuma neno “AFYA YA UZAZI” WhatsApp 0750933014 tuanze kukuonyesha hatua sahihi za kuurudisha mwili wako kwenye hali yake ya asili.

📌Mwili wako haujakusaliti… unahitaji tu kueleweka

Ninamshukuru Mungu Kwa Ajili ya Products ambazo zinagusa Maisha ya watu Wengi Zaidi Kiafya Tunaongea Afya Kwa Uhakika📌  ...
22/02/2026

Ninamshukuru Mungu Kwa Ajili ya Products ambazo zinagusa Maisha ya watu Wengi Zaidi Kiafya

Tunaongea Afya Kwa Uhakika📌

22/02/2026

Unahitaji kuwa na manjano, pilipili manga, chungwa na limao pamoja na mdalasini/tangawizi

Katika kutengeneza mchanganyiko huu unaweza tumia njia ya kutumia maji ya moto au kuchemsha.

Kwa kutumia maji ya moto
Chukua maji ya moto weka kwenye kikombe kisha weka unga wa manjano nusu kijiko na mdalasini nusu kijiko pamoja na kiasi kidogo cha pilipili manga. Baada ya hapo kamulia maji ya limao na chungwa kila kimoja kipande kimoja tu. Kisha koroga na kusubili dakika 3 -5 kisha kunywa

Njia ya kuchemsha
Chukua maji kiasi cha kikombe 1 na nusu kisha weka manjano na mdalasini nusu kijiko cha chakula pamoja na kiasi kidogo cha pilipili manga acha vichemke vizuri kabisa kisha epua na chuja kwenye kikombe. Baada ya hapo kamulia maji ya kipande 1 cha chungwa na limao kisha kunywa.

Tumia asubuhi kabla ya kula chochote kwa wiki walau mara 3 - 4.

Kupata suluhisho la kudumu ikiwa maambukizi ya ukeni hayaishi wasiliana nasi sasa
0750933014

22/02/2026

Hello Mama Boys❤️❤️❤️🙌

Wanawake wengi wanahangaika kutafuta ujauzito… lakini mara nyingi tatizo haliko pale wanapodhani. Wengine wanatumia dawa...
22/02/2026

Wanawake wengi wanahangaika kutafuta ujauzito… lakini mara nyingi tatizo haliko pale wanapodhani. Wengine wanatumia dawa, wanaomba sana, wanajaribu kila njia… bila kujua kuna makosa madogo yanayochelewesha safari yao

Makosa 4 yanayochelewesha kupata ujauzito bila kujua 👇
1. Kutibu dalili badala ya chanzo halisi
PID, UTI au homoni zisipokuwa sawa huweza kuharibu mazingira ya uzazi kimya kimya. Antibiotics peke yake mara nyingi huondoa maumivu lakini si kurejesha afya ya mfumo wa uzazi.

2. Mwili kukosa virutubisho muhimu
Mayai ya mwanamke na mbegu za mwanaume zinahitaji lishe sahihi. Upungufu wa madini na antioxidants hupunguza uwezo wa kushika mimba hata k**a vipimo vinaonekana kawaida.

3. Stress na uchovu wa mwili usiotambuliwa
Msongo wa mawazo hubadilisha homoni za uzazi. Wengine hawajui kabisa kuwa usingizi mdogo na mawazo mengi vinaweza kuchelewesha mimba.

4. Kupuuza usafi wa ndani ya mwili (detoxification)
Sumu mwilini na afya mbaya ya utumbo huathiri homoni na uwezo wa mimba kushika bila dalili kubwa.

✨ Ukweli ni kwamba… mwili ukirekebishwa vizuri, mazingira ya ujauzito huanza kujijenga yenyewe.

K**a unahisi umejaribu Njia nyingi bila majibu — unaweza kuanza kwa kuelewa mwili wako unahitaji nini hasa.

📩 Niandikie neno “AFYA” WhatsApp au inbox nikuelekeze hatua sahihi ya kuanza safari yako kwa karibu.

Call/Whatsapp 0750933014

Isaya 54:13Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi. And all thy children shal...
20/02/2026

Isaya 54:13
Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.

And all thy children shall be taught of the LORD; and great shall be the peace of thy children.

🙏

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255788138816

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuongee Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram