Tiba ya Bawasiri na U.t.i sugu

Tiba ya Bawasiri na U.t.i sugu Tiba ya Bawasiri bila Upasuaji,
na U.T.I sugu Ndani ya siku 15 tu. Tupo Dar
Mkoani tupo pia

LEO NAKULETEA TIBA KWAKO EEWE MWANAMKE! _Je umewahi kusikia nini maana ya kuzaliwa upya kwa mwanamke_ ?Nakuletea PACKAGE...
05/09/2024

LEO NAKULETEA TIBA KWAKO EEWE MWANAMKE!

_Je umewahi kusikia nini maana ya kuzaliwa upya kwa mwanamke_ ?

Nakuletea PACKAGE KAMILI itakayokusaidia;πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ₯¦Hutibu U.T.I sugu na fungus ukeni.

πŸ₯¦Huondoa harufu mbaya ukeni.

πŸ₯¦Huondoa uchafu ukeni

πŸ₯¦Huondoa na kutibu miwasho ukeni.

πŸ₯¦Huondoa na kukinga utokwaji wa ute mchafu ukeni.

πŸ₯¦Huzuia na kuua bakteria wabaya ukeni.

πŸ₯¦Huboresha uwiano wa homoni ukeni.

πŸ₯¦Hufanya kizazi kuwa imara na kuhimili ujauzito.

πŸ₯¦Husaidia ukuaji wa mtoto tumboni.

πŸ₯¦Hutoa madini yanayosaidia upevushaji wa mayai.

_Nicheki sasa niweze kukusaidiaπŸ”₯
0762854167

FAIDA YA CHAI YA MAJANI YA MPERA MWILINI1. Chai ya majani ya mpera hutibu kifua na kikohozi2. Majani ya mpera yaliyosagw...
05/09/2024

FAIDA YA CHAI YA MAJANI YA MPERA MWILINI
1. Chai ya majani ya mpera hutibu kifua na kikohozi

2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri hutibu muwasho wa allergy

3.majani ya mpera yaliyochemshwa huondoa cholesterol iliyozidi mwilini

4.chai ya mpera husaidia ku balance sukari mwilini

5.chai ya majani ya mpera ni dawa ya nguvu za kiume

6.ukiyachemsha ni dawa ya tumbo la kuhara

7.chai ya majani ya mpera hukukinga na tezi dume na kusaidia kupona kwa wagonjwa

8.husaidia kutibu fizi kutoka kwa damu na kuuma kwa jino ukitafuna

9.pia husaidia afya ya ngozi ukisaga na ku scrub, hutoa chunusi sugu,hufanya ngozi kuwa laini .

kwa ujumla mti wa mpera hutibu maradhi mengi sana pendelea kutafuna majani yake mara kwa mara hata magonjwa madogo hutopata, pia hutibu bawasiri, UTI pia husaida afya ya figo, husaidia kutoa mafuta moyoni yaliozidi hii ni kazi ya mizizi yake

KWA TIBA KAMILI NA YA UHAKIKA
☎️255762854167

*Je, unapata dalili zifuatazo?*1. πŸŽ‹Kukojoa mara kwa mara 2. πŸŽ‹Mkojo kuwa na harufu Kali 3. πŸŽ‹Kusikia kichefuchefu na kutap...
04/09/2024

*Je, unapata dalili zifuatazo?*

1. πŸŽ‹Kukojoa mara kwa mara

2. πŸŽ‹Mkojo kuwa na harufu Kali

3. πŸŽ‹Kusikia kichefuchefu na kutapika

4. πŸŽ‹Maumivu ya misuli na tumbo hasa la chini ya kitovu

5. πŸŽ‹Kusikia maumivu wakati wa kukojoa

6. πŸŽ‹Maumivu ya kiuno

7. πŸŽ‹Kuwashwa sehemu za siri

8. πŸŽ‹Kuhisi maumivu wakati wa kujamiana

9. πŸŽ‹Kupata vidonda vya ukeni

10. πŸŽ‹Kuvimba na kuwa mwekundu kwa mdomo wa inje wa uke

11. πŸŽ‹Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri baada ya tendo la ndoa

12. πŸŽ‹Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mweupe au mzito wa maji maji.

Hizi Ni Dalili za U.T.I

__________________
Wasiliana Nasi Kwa Ushauri na Tiba.

_Call/Sms/WhatsApp_
_πŸ“± +255762854167

π—§π—’π—žπ—’π— π—˜π—­π—” 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ π—žπ—ͺ𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 π—ͺ𝗔 π—ͺπ—œπ—žπ—œ 𝟴 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ π—œπ—‘π—”π—§π—œπ—•π—œπ—žπ—” π—•π—œπ—Ÿπ—” π—¨π—£π—”π—¦π—¨π—”π—π—œ:➑️ UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.(Miwas...
04/09/2024

π—§π—’π—žπ—’π— π—˜π—­π—” 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ π—žπ—ͺ𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 π—ͺ𝗔 π—ͺπ—œπ—žπ—œ 𝟴 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ π—œπ—‘π—”π—§π—œπ—•π—œπ—žπ—” π—•π—œπ—Ÿπ—” π—¨π—£π—”π—¦π—¨π—”π—π—œ:

➑️ UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.

(Miwasho uvimbe na maumivu Katika sehemu ya haja kubwa) π—›π—˜π— π—’π—₯π—₯π—›π—’π—œπ——π—¦.

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya haja kubwa na kupelekea wakati mwingine kutoa damu na maumivu wakati wa haja kubwa
Mara nyingi tatzo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25-70.

Ila kwa sasa ugonjwa huu unawaathili mbaka watoto wa umri wachini kabisa.

𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ 𝗬𝗔 π—‘π——π—”π—‘π—œ

Hiki ni kinyama kinacho ota ndani kabla ya kutoka nje.

βž– Huanza kwa mtu kukosa choo maumivu makali wakati wa kijisaidia.

βž– Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wa Kati wakujisaidia

𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ 𝗬𝗔 π—‘π—π—˜

βž– Hi ni ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu moja kwa moja baada ya ndani kujiimarisha vizuri.
Bawasiri ni tatizo linalo anzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, huu mfumo ukiwa mmbovu upelekea misuli ya haja kubwa kutanuka, hivyo husababisha kuanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani.

Bawasiri huweza kusababishwa pia na
βž– Kufanya mapenz kinyume na maumbile

βž– ujauzito

βž– kuhara kwa muda mrefu

βž– kutopata choo kwa muda mrefu

➑️ π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œ

βž– kujisaidia choo chenye harufu Kali

βž– kupumua na
kushindwa kuzuia kinyesi pale unapo pumua(kujamba).

➑️ 𝗠𝗔𝗗𝗛𝗔π—₯𝗔 𝗬𝗔 𝗕𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—₯π—œ

βž– upungufu was damu mwilini

βž– kupata maumivu makali wakati was kujisaidia

βž– kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote

βž– kuathirika kisaikolojia na kupelekea kutojiamini katika hadhara ya watu hasa pale miwasho inapo zidi.

1) Tiba yake hospital ugonjwa huu ni operation,kukata uvimbe ili usiendelee kukua.

2) Tiba hiyo huwa changamoto ya kujirudia tena baada ya muda Fulani.

3) Pia upelekea maumivu makali kwa mgonjwa ba kutokwa na damu mara kwa Mara

π—žπ—”π—₯π—œπ—•π—¨ π—§π—¨π—žπ—¨π—›π—¨π——π—¨π— π—œπ—˜ π—žπ—ͺ𝗔 π—–π—›π—”π—‘π—šπ—”π— π—’π—§π—’ 𝗭𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗧𝗨𝗑𝗔𝗧𝗒𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨π—₯π—œ 𝗑𝗔 π— π—”π—§π—œπ—•π—”π—•π—¨

Tunatibu ugonjwa wa bawasiri bila operation pasipo jirudia tena. Kwa ushauri na matibabu usisite kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia namba..

+255762854167

π—›π—’π—¦π—£π—œπ—§π—”π—Ÿπ—œ, π—§π—¨π—‘π—”π—£π—”π—§π—œπ—žπ—”π—‘π—” DAR_ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π—  na mikoani tunawahudumia pia

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba ya Bawasiri na U.t.i sugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share