Dr Maila

Dr Maila +255745159479

Pure and Broken Ganodeema Spores ni tiba sahihi kwa wanawake na wanaume1:huondoa uvimbe tumboni sehemu ya kizazi bila up...
12/11/2024

Pure and Broken Ganodeema Spores ni tiba sahihi kwa wanawake na wanaume
1:huondoa uvimbe tumboni sehemu ya kizazi bila upasuaji
2:huzuia kansa kusambaa na hukinga kansa
3:husaidia na kuboresha afya ya ini na mishipa ya damu ya ateri
husaidia kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa
4:hupambana na uzee au kuchoka kwa seli za mwili

KARIBU TUKUHUDUMIR KWA CHANGAMOTO ZA KIAFYA TUNATOA HUDUMA YA USHAURI,VIPIMO NA MATIBABU ZAIDI.

Ni mimi mwenye kujali Afya yako Dr.Maila.

KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA WATTS APP NO +225745159479.
AU TUPIGIE KUPITIA NO;+225717439479

Natoa huduma bora ya afya kwa kutumia bidhaa nzuri zenye kiwango cha tekinolojia ya juu kutoka  Marekani utapona kwa gha...
11/11/2024

Natoa huduma bora ya afya kwa kutumia bidhaa nzuri zenye kiwango cha tekinolojia ya juu kutoka Marekani utapona kwa gharama ndogo na uhakika wahi sasa.

I provide the best health care using good products and high technology from American company (Bf suma company) for all diseases, come and let me serve you for sure and complete recovery at a very low cost
Of course.

Use a good coffee product and protection against diseases in the body(hulinda bandama,huondoa sumu mwilini na huua seli ...
29/10/2024

Use a good coffee product and protection against diseases in the body(hulinda bandama,huondoa sumu mwilini na huua seli za kansa)

RUDISHA NGOZI YAKO YA ASILI KWA KUTUMIA BIDHAA BORA YENYE UHAKIKA. (Anatic Soap)1:Inaondoa Bakiteria wanaoshambulia ngoz...
15/10/2024

RUDISHA NGOZI YAKO YA ASILI KWA KUTUMIA BIDHAA BORA YENYE UHAKIKA. (Anatic Soap)

1:Inaondoa Bakiteria wanaoshambulia ngozi na kuiharibu.

2:Huondoa miwashwa sehemu zote muhimu kwa wanawake na wanaume, chunusi, harufu mbaya,vibarango, ngozi zilizoathirika na Kemikali za vipodozi.

3:Huondoka makunyanzi yote katika sura na kukufanya ushini vizu UMA | Living

NB:

For those who don't know Swahili you will read below and you will call those phone numbers and Email to Doctor Maila.

Adress. Mailacharles2022@gmail.com

Phone: +255745159479. +255717439479.

Anatic Soap

1:it remove wrinkles, makes you attractive, keeps the skin well for those affected by Chemicals on the face and other parts.

2:it removes bad odors from all important parts for Women and Men Shine always.

11/10/2024

*TOKOMEZA BAWASIRI/HEMORRHOIDS BILA UPASUAJI KWA MUDA WA WIKI 12-16 CHUKUA HATUA SASA.*

*Bawasiri/hemorroids:-* ni kuathirika kwa mishipa ya damu iliyopo katika njia ya haja kubwa yaani *[RE**UM].*
Au bawasiri;- ni uvimbe/vidonda vinavyotokea ndani au nje katika njia ya haja kubwaa.

*AINA ZA BAWASIRI/HEMORRHOIDS:-*

β–  *BAWASIRI YA NDANI:-* hii ni aina ya bawasiri amabayo hutokea ndani ya njia ya haja kubwa na mara nyingi huwa haimbatani na maumivu wala miwasho yoyote na siyo haraka kujitambua kuwa una bawasiri ya ndani.

β–  *BAWASIRI YA NJE:-* hii ni aina ya bawasiri ambayo hutokea kwa nje kwenye njia ya haja kubwa yaani *RE**UM* huambatanisha dalili kadha wa kadha pamoja na maumivu kupita kawaida.

*ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI ZA BAWASIRI.*

1.Maumivu makali wakati wa kujisaidia.

2.Kuwashwa sehemu za siri hasa kwenye tundu la haja kubwa.

3.Tumbo kujaa gesi.

4.Kukosa hamu ya tendo la ndoa kutokana na upungufu wa damu mwilini.

5.Kupata Kinyesi/choo kigumu k**a cha mbuzi.

6.Uvimbe mwisho wa tundu la haja kubwa yaani RE**UM.

7.Kutokeza kwa kinyama kidogo kwenye tundu/njia ya haja kubwa.

8.Kinyesi kuambatana na damu wakati wa kujisaidia.

*YAFUATAYO NI BAADHI YA MADHARA YATOKANAYO NA BAWASIRI.*

1.Saratani/kansa ya Utumbo mpana.

2.Kujisaidia pasipo kujitambua kutokana na ulegevu wa misuli au mishipa ya damu.

3.Upungufu wa nguvu za kiume, kwa wanawake mimba kuharibika.

4.Upungufu wa damu mwilini.

5.Kutumia nguvu kubwa wakati wa kujisaidia na kupelekea kutokwa na damu kwa wingi.

6.Kukosa morali/ kushindwa kufanya kazi.

7.Magonjwa ya Moyo pamoja na figo.

8.Kuota kwa vinyama nyama kwenye njia ya haja kubwa.

9.Kuwashwa sana pamoja na Aibu mbele za watu.

*10.Kufanyiwa operation;* na huwa haiponi kwa sababu umekata kitu kinacho onekana haujatibu chanzo cha tatizo.

Ni muhimu kujali,kuchunguza na kuithamini afya yako,

Chukua hatua pindi uonapo dalili k**a hizo ili kuhepusha hatari kubwa zaidi.

πŠπ€π‘πˆππ” π“π”πŠπ”π‡π”πƒπ”πŒπˆπ„ πŠπ–π€ π‚π‡π€ππ†π€πŒπŽπ“πŽ 𝐙𝐀 π€π…π˜π€ π“π”ππ€π“πŽπ€ π‡π”πƒπ”πŒπ€ π˜π€ π”π’π‡π€π”π‘πˆ, π•πˆππˆπŒπŽ 𝐍𝐀 πŒπ€π“πˆππ€ππ” π™π€πˆπƒπˆ,

𝑾𝑨𝑺𝑰𝑳𝑰𝑨𝑡𝑨 𝑡𝑨𝑺𝑰 𝑲𝑼𝑷𝑰𝑻𝑰𝑨 𝑾𝑯𝑨𝑻𝑺𝑨𝑷𝑷 𝑡𝑢 0745159479 π‘ͺ𝑨𝑳𝑳 𝑼𝑺 𝑢𝑡 0717439479.

Address

Kinyerezi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Maila posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram