
03/07/2025
💫Kazi Zake🦈 1. 🪔 NI KINGA YA MWILI Inasaidia mwili kupambana na maradhi yanayoshambulia afya ya mtoto, mama mjamzito na mtu mzima. Pia inakinga magonjwa k**a cancer, presha na pumu. 2. 🪔 KUIMARISHA MIFUPA Hii husaidia kuimarisha mifupa kwa mtu wenye matatizo ya miguu na kurudisha ute kwenye magoti k**a umepungua, husaidia pia mtoto anayechelewa kupiga hatua na mwenye viungo dhaifu. 3. 🪔 *KUIMARISHA AFYA YA UBONGO* Mtoto anatakiwa apate vyakula vyenye virutubisho kwa ajili ya kujenga UBONGO wake kuanzia akiwa bado mdogo asipopata mapema ni shida hata akienda shule ni rahisi kuwa na uelewa mdogo *(akili)* hali inayopelekea mtoto kufeli darasani hivyo akitumia *Omega 3 Salmon Oil* yatamjenga ubongo na kumfanya mchangamfu pamoja na kumpa utulivu wa akili. Mama mjamzito pia anapotumia Omega 3 Salmon wakati akiwa mjamzito humuepusha mtoto kuzaliwa na Mtindio wa ubongo, mgongo wazi, mdomo wa sungura, autism na hata kutojifungua kabla ya wakati 4. 🪔 *HUSAIDIA KUONDOA TATIZO LA KUSAHAU* Kutokana na mtindo wa maisha ya sasa watu tumekuwa na mambo mengi sana kichwani hivyo kupelekea mara nyingine kusahau lakini pia ulaji mbovu maana hatupata vyakula vyenye vitamin na madini kwa wingi, hivyo *Omega 3 Salmon Oil* yatasaidia kurejesha kumbukumbu kwa watoto hata watu wazima pia. 5. 🪔 KUNYOOSHA MATEGE KWA WATOTO NA KUONDOA MAUMIVU YA VIUNGO Miguu itaweza kunyoka vizuri lakini pia itamsaidia mtoto kuepuka magonjwa ya kurithi k**a kutoka kwa wazazi hivyo mama mjamzito unapotumia mafuta ya Salmon oil wakati wote wa ujauzito utaweza kujifungua mtoto afya njema na uzito mzuri pia kuzuia kujifungua kabla ya wakati. 6. 🪔 KUBORESHA AFYA YA MACHO Kwa mtoto au mtu mzima mwenye uoni hafifu *Omega 3 Salmon Oil* husaidia sana kuimarisha neva za macho yake na kumfanya aone vizuri na kwa ambaye hajapata tatizo hilo, Omega 3 Salmon humkinga. 7. 🪔 KUBORESHA AFYA YA MOYO Omega 3 Salmon huondoa mafuta machafu kwenye mishipa ya damu hivyo kuruhusu damu kusafiri vizuri bila mgandamizo wowote, kwahiyo hata watu wenye tatizo la Presha na Moyo kutanuka Omega 3 Salmon inafanya vizuri sana kurejea katika hali ya kawaida. Karibu sana!! 0754640960