Jukwaa la Afya ya Uzazi Tanzania

  • Home
  • Jukwaa la Afya ya Uzazi Tanzania

Jukwaa la Afya ya Uzazi Tanzania Afya ya uzazi kwa kila kijana wa Kitanzania

Tuendelee kujikinga.🏥
21/06/2025

Tuendelee kujikinga.🏥

🔺 kumeza P2 zaidi ya masaa 72 (siku 3). Kumbuka P2 inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa zaidi ikimezwa mapema zaidi.🔺Kumeza ...
27/09/2024

🔺 kumeza P2 zaidi ya masaa 72 (siku 3). Kumbuka P2 inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa zaidi ikimezwa mapema zaidi.
🔺Kumeza P2 wakati ukiwa katika baadhi ya dozi za dawa k**a vidonda vya tumbo (omeprazole) , kifua kikuu (rifampicin) na dawa za kifafa (epilepsy)
🔺Endapo ukatapika dawa ndani ya masaa mawili baada ya kumeza dawa, kuhisi kichefuchefu ni moja ya maudhi madogo madogo ya P2 hivyo baadhi ya watu hutapika.
🔺Kufanya ngono zembe baada ya kumeza P2 au kumeza P2 kabla ya kufanya ngono zembe. Kumbuka kwamba dozi moja ya P2 inakinga ngonk zembe moja na sio idadi kadhaa ya ngono zembe.
🔺Uzito mkubwa uliopitiliza unaweza kupunguza ufanisi wa P2. Ufanisi hupungua zaidi kadiri uzito unavyokuwa mkubwa zaidi. Hiki kigezo hakipaswi kumnyima mwanamke/binti haki ya kupata P2.

Je unatufolo? Karibu utufolo ili uweze jifunza vitu vingu kuhusu afya ya uzazi.
26/09/2024

Je unatufolo? Karibu utufolo ili uweze jifunza vitu vingu kuhusu afya ya uzazi.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jukwaa la Afya ya Uzazi Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jukwaa la Afya ya Uzazi Tanzania:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share