Nuru Ya Uzazi Na Dr Nasir

Nuru Ya Uzazi Na Dr Nasir Tunasaidia Kutatua Matatizo Ya Uzazi Kwa Wanaume

TEZI DUME NA MATIBABU YAKE?     Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza  m...
12/09/2024

TEZI DUME NA MATIBABU YAKE?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji ambayo husafirisha mbegu za kiume.

KUPANUKA KWA TEZI DUME

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

Ugonjwa wa kutanuka kwa tezi dume ni ugonjwa wa wanaume wazee.

DALILI ZA TEZI DUME

1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara
2.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
3.Kupatwa na uzgumu kutoa mkojo
4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu
5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho
6.Kujichafua wakati wa kukojoa
7.Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.
8.Kushindwa kukojoa kabisa.
9.Kupata mkojo mchache sana
10) Damu kwenye mkojo inaashiria kensa

MADHARA YA KUCHELEWA KUTIBU TEZI DUME

1) Kushindwa kabisa kukojoa
2) Kupatwa na maambukizi ya UTI
3) Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu
4) Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea
5) Figo inaweza kuharibika
6) Upungufu wa nguvu za kiume.

TIBA YA HARAKA INAPATIKANA BILA YA UPASUAJI WOWOTE.
Kwa sasa inapatikana kwa bei ya ofa.
Kwa mahitaji tupigie/whatsapp +255 621672394

Address

Dar Es Salam
Dar Es Salaam
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nuru Ya Uzazi Na Dr Nasir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share