Afya Ni Utajiri Gcat

Afya Ni Utajiri Gcat Tunatoa Huduma Ya Vipimo Na Matibabu Kulingana Na Changamoto Yako Tunapatikana Kupitia
0742458582

Ofa! Ofa!KUTANA NA SPECIALIST  WA MAGONJWA SUGUHospital ya Wachina GCAT ETERNAL INTERNATIONAL  iliyopo majumbasita Dar e...
03/10/2024

Ofa! Ofa!
KUTANA NA SPECIALIST WA MAGONJWA SUGU

Hospital ya Wachina GCAT ETERNAL INTERNATIONAL iliyopo majumbasita Dar essalaam inapenda kuwatangazia kuwa Ijumaa tarehe 2/8/2024 kutakuwa na Specialist wa magonjwa sugu wa kinababa na kinamama.

Hii si ya kukosa kwa Shilingi 30000/= tu utapima magonjwa yote uzazi,sukari , mfumo wa chakula figo na kadharika.

Lakini pia kutakuwa na matibabu kwa njia ya virutubisho tiba kwa gharama nafuu kabisa kumuona Daktar ni bure.

K**a unahitaji kuwa mmoja wapo wa kupata huduma ya kukutana na specialist weka nafasi mapema kwa kupiga
cm NO 0742458582
Au kwa njia ya WhatsApp gusa link👇
https://wa.me/message/RUM5ZDTVOALRL1

VIPIMO,,,VYA MFUMO WA UZAZI, USHAURI NA MATIBABU KWA GHARAMA YA PUNGUZO Shirika la Afya  kutoka CHINA/ GCATF HOSPITAL, I...
03/10/2024

VIPIMO,,,VYA MFUMO WA UZAZI, USHAURI NA MATIBABU KWA GHARAMA YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCATF HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
đźš‘ âś…, âś… Matatizo ya Moyo na INI
âś…Kansa, âś…Vidonda vya Tumbo,
âś…Kisukari âś…Pumu
âś…Stroku. âś…Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
âś…Matatizo ya mifupa, âś…Matatizo ya miguu
âś…Ngozi, âś…Figo, âś…Fangasi sugu
âś…Kupunguza unene, uzito, na matumbo
âś…Kuongeza kinga mwilini(CD4)
âś…U.T.I sugu,Gesi
âś…Bawasiri, âś…Tenzi dume
âś…Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Moshi, zanzibar, Mbeya. Nk.
na Mikoani pia tunapatikana

Piga sasa ili kuongea na Daktar wetu bingwa uli upime na kutibiwa kwa Ofa. 0742458582

Kwa Whatsapp gusa Link Yetu
https://wa.me/message/RUM5ZDTVOALRL1

CHANGAMOTO Ya Tezi Dume   Kupitia Taasisi Yetu Ya GCAT International Health Centre Kutoka Nchini China Wakishirikiana Na...
03/10/2024

CHANGAMOTO Ya Tezi Dume
Kupitia Taasisi Yetu Ya GCAT International Health Centre Kutoka Nchini China Wakishirikiana Na Madaktari Bingwa Tunatoa Huduma Ya Vipimo Na Matibabu Kwa Kulingana Na Changamoto Ya Mgonjwa
MAWASILIANO;
Unaweza Kutucheki Kupitia Whtsap 0742458582/Kwa Kugusa Link Yetu Karibu Sana..!
Check Up Yetu Inahusisha Upimaji Wa Mwili Mzima Kwa TSH.30,000 Tu Kulingana Na Changamoto Yako Karibuni Sana

Tezi Dume
Wanaume wote wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya tezi dume na hasa wanapofikia umri wa miaka 50. Hapa chini tutapitia baadhi ya matatizo yanayowasumbua zaidi wanaume:

Benign Prostatic Hyperplasia (BPH) au Prostate Enlargement

Hii ni hali ambapo tezi dume huongezeka ukubwa. Zaidi ya theluthi ya wanaume wote walio juu ya miaka 50 wana dalili za kuvimba kwa tezi dume. Haijajulikana kwa uhakika ni kwa nini tezi dume huwa kubwa zaidi kadri umri unavyoongezeka, lakini kukua huku si dalili ya kansa na wala hakuongezi uwezekano wa kupata kansa. Hili si tatizo kubwa sana la kiafya.

Tezi dume iliyoongezeka ukubwa huleta msukumo juu ya mrija wa mkojo na kibofu cha mkojo hali ambayo inaweza kuathiri namna mkojo utakavyotoka.

DALILI YA TEZI DUME ILIYOVIMBA.
1.Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo
2.Mtiririko dahifu wa mkojo
3.Kukojoa kwa shida
4.Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo
5.Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza
6.Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla
7.Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo

Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba. Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao. Wanaume hupatwa hofu kuwa kuvimba kwa tezi dume kunasabihiana na upataji wa kansa ya tezi dume. Hii siyo kweli kwani uwezekano wa kupata kansa wa mtu mwenye tez i iliyovimba hauzidi ule wa mtu asiye na tatizo hili la tezi.

Sababu ya kuongezeka ukubwa wa tezi dume haijajulikana, lakini wataalamu wengi wanaamini kuwa inahusiana na mabadiliko katika homoni yanayotokea umri wa mtu unapokuwa mkubwa.

Tiba ya Tezi Iliyokua
Tiba ya tezi hutolewa kulingana na hali iliyofikiwa. Utashauriwa kubadili mtindo wako wa maisha, k**a kupunguza utumiaji wa kahawa na pombe, na kufanya mazoezi ya mwili. Pamoja na kubadili mtindo wa maisha,

Madhara yanayoweza kutokea kutokana na benign prostate enlargement ni; maambukizi kwenye njia ya mkojo – UTI, kutokana na kuwa wadudu k**a bakteria waliomo kwenye njia ya mkojo hawataweza kusukumwa nje wakati wa kukojoa, .

Unaweza Kutucheki Kupitia Mawasiliano Yetu
0742458582 /Whatsap Kwa Kugusa Link Yetu👇

https://wa.me/message/RUM5ZDTVOALRL1

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255742458582

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ni Utajiri Gcat posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Ni Utajiri Gcat:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram