02/11/2024
π§ππ§πππ’ ππ π¨π©ππ ππ ππͺππ‘π¬π ππππππ (ππππ₯π’πππ¦)
Hii ni hali ya uvimbe katika mfuko wa uzazi na hali hii ni ngumu sana kujitokeza lakini ni rahisi mno k**a utashindwa kujifatiliza mwana mama,
Uvimbe una sababi nyingi sana hadi kuweza kukua na ifahamike uvimbe huwa kila mwanamke anazaliwa nao ila uvimbe huo unakua mdogo sana na dhamira yake ni kushikilia yai lisicheze sana kipindi litakapo hifadhiwa katika mfuko wa uzazi,
π¦πππππ¨ ππ π¨π©ππ ππ (ππππ₯π’πππ¦) π
βοΈ Kuvurugika kwa homoni
βοΈ Kufanya kazi ngumu kupita kiasi
βοΈ Matumizi ya uzazi wa mpango
βοΈ Uzito kupita kiasi
βοΈ Matumizi ya dawa pasi na ushauri au kwa muda mrefu
βοΈ Msongo wa mawazo
ππππππ ππ π¨π©ππ ππ (ππππ₯π’πππ¦)
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
Kuhisi kitu kinacheza tumboni
Tumbo kua kubwa
Kukosa hedhi
Kupata hedhi na maumivu makali Kupata hedhi mabonge bonge
Tumbo kua zito