Human afya care

Human afya care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Human afya care, Medical and health, Makamba Street, Dar es Salaam.

🌹YAFAHAMU MADHALA YA PID NA DALILI ZAKE KWA UJUMLA                 piga☎️ 0712264917P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya u...
24/09/2024

🌹YAFAHAMU MADHALA YA PID NA DALILI ZAKE KWA UJUMLA piga☎️ 0712264917

P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC

MWANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
👉Kupitia ngono zembe
👉Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
👉Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
👉Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
👉Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
👉Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
👉Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
👉Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
👉 Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

DALILI ZA P.I.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA P.I.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo ya uzazi

JINSI YA KUEPUKANA NA P.I.D
Japo kuwepo na tiba za kujitibu lakini unashauriwa kinga ni bora kuliko tiba hivyo zingatia yafuatayo;-
-Epuka kufanya ngono zembe
-Usifanye mapenzi baada ya kujifungua au mimba kutoka
-Weka tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara
-Kuwa msafi na nguo zako za ndani na kula lishe bora
-Epuka kushare nguo za ndani

UNAPOONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI KUPATA MATIBABU. KWANI UGONJWA HUU NI HATARI NA HUWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI

Ugonjwa wa P.I.D unatibika vizuri kabisa hivy bas k**a upo tayari unaumwa na umezunguka hospitalini bila mafanikio bas wasiliana nasi kwa msaada zaidi
piga☎️0712264917watsup
🌹Afya yako ndiyo mtaji wako🌹

Je wajua usipotibu UTI na PID kuna uwezekano wa kutoshika mimba?Wasiliana nasi kwa no 0712264916
23/09/2024

Je wajua usipotibu UTI na PID kuna uwezekano wa kutoshika mimba?
Wasiliana nasi kwa no 0712264916

Katika wasatani wa wanawake kumi tunaoongea nao wenye matatizo ya uzazi ambao wanapata changamoto za kupata ujauzito, sa...
23/09/2024

Katika wasatani wa wanawake kumi tunaoongea nao wenye matatizo ya uzazi ambao wanapata changamoto za kupata ujauzito, saba kati yao utakuta wana matatizo ya PID yaani wana infections, either ya bacteria mf UTI au ya fungus ambayo yanaweza yasiambatane na dalili au yaka ambatana na dalili k**a kutokwa na uchafu ukeni, miwasho ukeni, naumivu, harufu ukeni nk…… Hii maana yake asilimia zaidi ya 70% ya watu tunaoongea nao wenye changamoto ya kupata ujauzito wana matatizo ya infection……..Kinachosababisha iwe ngumu kushika ujauzito sio infection( PID, UTI na Fungus) ni madhara ambayo hii infection inasababisha, mara nyingi inakua ni HORMONAL IMBALABCE ambayo tunasema ni mvurugiko wa hormone ambayo inakua ni secondary effect ya maambukizi na ndio maana asilimia kubwa ya watu wenye maambukizi ya infection PID UTI na Fungus unakuta wana irregularities ya menstrual cycle k**a kupishana kwa tarehe period, kuingia period zaidi ya mara moja, au wengine kutokuingia period zaid ya mwezi na mimba hakuna, wanakua wakavu ukeni, kupata maumivu makali kipindi cha hedhi….. hizo zote ni dalili za mvurugiko wa HORMONE……… usidharau PID ukiona dalili zake jitibu mapema ili kuepuka na kudhibiti nadhara mengine……. Kwa mawasiliano zaidi Piga namba 0712264917

Ukipuuza maambukizi katika njia ya mkojo unaweza kupata madhala makubwa sana k**a yafuatayo,Figo kushidwa kufanya kazi v...
23/09/2024

Ukipuuza maambukizi katika njia ya mkojo unaweza kupata madhala makubwa sana k**a yafuatayo,

Figo kushidwa kufanya kazi vizuri hii nihatari sana hutokana bacteria kushambulia figo.

Kupatwa magonjwa ya kibofu, k**a kibofu kuziba, kushidwa kukojoa vizuri, hii hupelekea mtu kukojoa kwa mirija

Maumivu ya mgongo, kiuno na nyonga

Kupoteza hamu ya tendo la ndoa

Kushidwa kutungisha na Kubeba mimba..nk

K**a ni muhanga wa maambukizi katika njia ya mkojo kwa muda mrefu pata suluhisho kabla ya hatari kwa mawasiliano zaidi Piga simu 0712264917

U.T.I disease (urinary tract infection)U.T.I is a disease that affects the urinary bladder and even reproductive. Insect...
23/09/2024

U.T.I disease (urinary tract infection)
U.T.I is a disease that affects the urinary bladder and even reproductive. Insects affect the bladder and urethra. The female gender is very dangerous to get the disease. Uhh compared to the male gender, the bladder infection causes major problems and serious infections especially when it reaches the kidneys. It is caused by bacteria called Escherichia coli. Which affects the urinary system.

U.T.I.S. type.
There are two major types of u.t.i
1) Infections will cause pain in the upper urinary system which is kidney pain and urethra and
2) Lower urinary tract infections which are bladder and urethra

The source of U.T.I.
It is caused by a bacteria called Escheria coli.

Things that can get infected by the disease.
•The reduction of the body's immunity.
•Using contraceptive drugs
For women: decrease in oestrogen hormone
• a person with diabetes
• Using a dirty toilet with a large population
• having severe digestive and urinary tract problem
•Staying a long time without walking

Symptoms of a U.T.I.
Symptoms of tuberculosis depend on age, gender and the affected area.
1) Feeling tired and not feeling well.
2) urinating in problems and forcing yourself
3) pain while peeing
4) Strong smell of urine.
5) Urine to have different colors that are not normal for example yellow.
6) Nausea and vomiting
7) pain in the stomach or body parts near the stomach or muscles.
😎 the temperature can rise

How to avoid U.T.I disease.
*Drink a lot of water.
*Avoiding using planned parenthood drugs.
*Considering the cleanliness and use of the toilet
*Stop using chemical foods and focus on eating foods with natural nutrition.
*peeing even a little bit after having s*x
*Focusing on the cleanliness of the private parts to prevent bacteria from reproducing
*Don't spray private parts

Treatment for U.T.I.
Using medicines (antibiotics) by following a doctor's instructions.
The following medicines
-contimazole
-amoxiclin
-Gentimicin
-nitrofurantoin
You can also use foods or fruits that contain vitamin C like lemons, oranges, pineapples and so on.
By Doctor Goodluck
Thank you, if you have any question, ask without hesitation. Kwa mawasiliano zaidi Piga namba 0712264917

MAAMBUKIZI YA MAGONJWA YA P.I.D, FANGASI,NA U.T.I KWA WANAWAKE::Magonjwa haya yanasumbua nakuwapata wanawake wengi nik**...
23/09/2024

MAAMBUKIZI YA MAGONJWA YA P.I.D, FANGASI,NA U.T.I KWA WANAWAKE::
Magonjwa haya yanasumbua nakuwapata wanawake wengi nik**a
1) P.I.D=(pelvic inframmatory Disease)
2) FANGASI na U.T.I=(urinary tract infection)
P.I.D (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

√Haya nimaambukizi ya bacteria wabaya kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke.
√Maambukizi haya hupelekea uhalibifu mkubwa kwenye mfuko wa uzazi,mayai,mirija ya uzazi au sehemu nyingine za uzazi wa mwanamke .na pia hua nichanzo Cha UGUMBA.

U.T.I (URINARY TRACT INFECTION)

√Haya nimaambukizi ya 24side2424a wabaya kwenye njia ya mkojo wa mwanamke
√Maambukizi haya huathiri mfumo wa mkojo ,mfumo wa uzazi , bacteria Hawa huathiri sana kibofu Cha mkojo na urethra.

DALILI ZA MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO KWA MWANAMKE (U.T.I)

1)kushikwa na hamu ya kukojoa Ila mkojo unakuja kutoka kidogo
2)kukojoa mkojo unachoma choma na kupelekea maumivu makali
3)kukojoa Mara kwa Mara mkojo kidogo !
4)kukojoa mkojo mchafu
5)mkojo kua na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu
6) Maumivu ya nyonga na maumivu chini ya kitovu

DALILI ZA MAAMBUKIZI KWENYE MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE (PID)

1) Maumivu makali ya nyonga,tumbo au chini ya kitovu
2)kutoka na maji maji yasiyo ya kawaida yenye harufu mbaya
3)kutoka maji maji yasiyo ya kawaida Baada ya kufanya tendo la ndoa au Baada ya kuingia hedhi
4) maumivu makali wakati wakufanya tendo la ndoa
5)homa Kali
6)Maumivu kipindi Cha kukojoa ,na kukojoa kwa shida
7)KUTOKWA NA uchafu sehemu za Siri wa rangi ya (cream)yaani maziwa mtindi ,KIJANI au mweupe unaoambatana na harufu Kali

MADHALA YA PID

1)KUPATA UGUMBA NA KUPATA UTASA
2)KUKOSA KUJIAMINI
3)MIMBA KUTOKA
4)KUHARIBU MFUMO WA UZAZI
5)KUVULUGIKA KWAHOMONI NA NDO HAPO MTU HUANZA KUPATA HEDHI ISIYO NA MPANGILIO
6)KATI YA WANAWAKE 10 WALIOTHIRIWA NA
PID ,MMOJA ANAKUA TASA SABABU PID
HUPELEKEA MAKOVU KWENYE MILIJA YA UZAZI.
7)KUTOKUPATA HAMU YA TENDO LA NDOA NA KUTOLIFURAHIA .

Suluhisho la hili tatizo na mengine tunayo, Wasiliana nami, #+255712264917

UKAVU UKENISababu zinazopelekea uke kuwa mkavu📌 ukomo wa hedhi📌 msongo wa mawazo📌 matibabu ya vimbe kwenye via vya uzazi...
23/09/2024

UKAVU UKENI

Sababu zinazopelekea uke kuwa mkavu
📌 ukomo wa hedhi
📌 msongo wa mawazo
📌 matibabu ya vimbe kwenye via vya uzazi
📌 ukosefu wa maandalizi ya kutosha kabla ya tendo
📌 uvutaji wa sigara

MADHALA YAKE NI
📌 michubuko ukeni
📌 hatari ya maambukizi ya bakteria au fangasi
📌 U.T.I
📌 kuto kufika kileleni
Kwa Masada Zaidi tupigie 0712264917

Address

Makamba Street
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255712264917

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Human afya care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Human afya care:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram