26/02/2026
๐๐๐๐๐ ๐จ ๐๐จ๐๐จ๐ฆ๐จ ๐๐๐๐ข ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ฌ๐
๐๐๐๐ข, ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ฃ๐๐ ๐ ๐ก๐ ๐๐๐ก๐๐:
Kiungo cha figo ni mojawapo ya viungo muhimu sana ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vina jukumu la kuchuja sumu katika mfumo wa damu,protini ya ziada,kuweka sawa viwango vya maji mwilini na ni muhimu katika mfumo wa mkojo.
๐๐๐๐ข ๐ญ๐๐ก๐๐ช๐๐ญ๐ ๐๐จ๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ช๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐๐ ๐๐ข ๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐จ๐ง๐ข๐๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐ ๐ง๐๐ก๐๐ข ๐ช๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐๐:
Ugonjwa wa figo unahusu matatizo yanayohusiana na utendaji kazi wa figo.
Figo ni viungo muhimu vinavyosafisha damu kwa kuondoa taka,protini ya ziadia katika mfumo wa damu(๐๐๐ข๐ข๐ ๐๐๐ฅ๐๐จ๐๐๐ง๐๐ข๐ก ๐ฆ๐ฌ๐ฆ๐ง๐๐ ),maji ya ziada mwilini kupitia mkojo.
๐จ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ณ๐ถ๐ด๐ผ ๐๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ต๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐บ๐ฏ๐ฎ๐น๐ถ ๐บ๐ฏ๐ฎ๐น๐ถ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ ๐ถ๐ณ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐๐ผ:-
โ๏ธ Mawe kwenye figo (๐ธ๐ถ๐ฑ๐ป๐ฒ๐ ๐๐๐ผ๐ป๐ฒ๐).
โ ๏ธTezi dume na magonjwa ya ini.
โ ๏ธShinikizo la juu la damu la muda mrefu: Huharibu mishipa midogo midogo ya damu inayolisha figo.
โ ๏ธKisukari: kuzidi kwa sukari katika mishipa ya damu huathiri utendaji kazi wa figo.
โ๏ธ Magonjwa yanayo husisha kushuka kwa kinga ya mwili (๐ฎ๐๐๐ผ๐ถ๐บ๐บ๐๐ป๐ฒ ๐ฑ๐ถ๐๐ฒ๐ฎ๐๐ฒ๐): K**a vile Lupus, VVU, Hepatitis, Kichocho na U.T.I
โ ๏ธMatumizi mabaya ya madawa: K**a baadhi ya dawa za kutuliza maumivu zinazotumiwa kwa muda mrefu.
โ ๏ธ Upungufu wa maji mwilini (๐ฑ๐ฒ๐ต๐๐ฑ๐ฟ๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป).
โ๏ธ Upungufu wa damu mwilini.
โ ๏ธ Maambukizi makali au sepsis.
โ ๏ธ Matumizi ya dawa zinazoweza kuharibu figo (k**a NSAIDs au baadhi ya viuavijasumu).
โ๏ธ Mshtuko wa damu (shock) unaosababishwa na kupoteza damu au shinikizo la damu kushuka.
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐๐๐ข:
โ๏ธ Miguu kuwaka moto na kuvimba, Miwasho ya ngozi na vipele visivyo isha.
โ๏ธ Mkojo wenye harufu na Maumivu wakati wa kukojoa.
โ๏ธ Kupungua kwa kiasi cha mkojo au kukojoa mara chache na kwa shida.
โ๏ธ. Kuvimba miguu, mikono, uso, au tumbo kutokana na maji kukusanyika mwilini.
โ๏ธ. Uchovu mwingi na upungufu wa nguvu kupita kiasi.
โ๏ธ Maumivu ya mgongo sehemu ya figo.
โ๏ธ Maumivu ya kichwa na kichefuchefu.
โ๏ธ Ngozi kuwa na miwasho na kuwa na rangi ya manjano (Jaundice).
โ๏ธ Shinikizo la damu lisiloshuka(High blood pressure).
โ๏ธ Vichomi vya mara kwa mara na ganzi.
โ๏ธ Kukojoa mkojo ulio changanika na damu.
๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ก๐ ๐๐๐ก๐๐:
๐ก๐ข๐ง๐;-
๐ซ ๐ ๐ฎ๐๐ถ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐: Hutegemea na chanzo cha tatizo hatua ya ugonjwa ulipo fikia pamoja na afya ya mgonjwa kwa wakati huo.
Matibabu yanaweza kujumuisha dawa salama za kurejesha afya ya figo kwa haraka, mabadiliko ya lishe na mtindo wa maisha kwa ujumla,,upandikizaji wa figo, au uchujaji damu (dialysis).
๐๐ข๐ฆ๐ฃ๐๐ง๐๐ ๐ง๐จ๐ก๐๐ฃ๐๐ง๐๐๐๐ก๐ ๐๐๐ฅ ๐๐ฆ ๐ฆ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐๐ก๐ ๐๐๐ง๐ฌ ๐๐๐ฉ๐๐ฅ ๐๐๐๐๐ง๐ ๐๐๐ฅ๐ ๐๐๐๐ก๐๐.
๐จ๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐๐ผ๐ป๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐ธ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ต๐๐๐ผ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ฏ๐๐ฟ๐ฒ....!!
Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia Whatsapp 0748 0889 89 ,,
Call us on 0617716883.
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ญ๐๐๐๐.