
14/07/2025
Misuli na mifupa ya mwili imeundwa na seli na tishu nyingi zinazofanya utendaji wa sehemu hizo muhimu za mwili.
Ili misuli na mifupa ifanye kazi vizuri ni muhimu seli na tishu za mwili zilishwe vizuri na kuwa na afya njema ambapo chakula muhimu cha seli na tishu za mwili ni "madini ya chokaa" na protini muhimu.
✓LISHE YA CALCIUM & PROTEIN POWDER Ina wingi wa protini inayotokana na mimea na kuongezewa MADINI mengi sana ya Chokaa yanayotokana na mazao ya bahari.
Kwa Njia hiyo ndio sababu Calcium na protein powder Inaweza kuimarisha afya ya misuli na mifupa ya mwili.