Gcat hospital

Gcat hospital Tunatoa huduma za vipimo na matibabu

Gcat hospital ,inatoa fursa ya kufanya vipimo vya mfumo wa uzazi na mwili mzima kwa bei nafuu ya Tsh 30,000/=.●Huduma hi...
22/10/2024

Gcat hospital ,inatoa fursa ya kufanya vipimo vya mfumo wa uzazi na mwili mzima kwa bei nafuu ya Tsh 30,000/=.
●Huduma hii inapatikana katika mikoa yote ya Tanzania, na lengo ni kuhakikisha unapata vipimo sahihi na huduma bora za afya.

VIPIMO HIVYO VINA ANGALIA:
1. Mfumo wa uzazi kwa wanaume na wanawake.
2. Afya ya mifupa ya nyonga.
3. Uchunguzi wa mwili mzima kwa ujumla.

Unaweza kuweka miadi yako sasa kwa urahisi ili kujipatia huduma hizi muhimu na kuhakikisha afya yako iko katika hali nzuri.

MAWASILIANO:
📞0767091949https://wa.me/message/KX76NNRBQQSCB1

Afya ya Uzazi kwa mwanamke na mwanaumeKam unasumbuliwa na umetafuta suluhisho kwa muda sasa bila  suluhu juu ya changamo...
16/10/2024

Afya ya Uzazi kwa mwanamke na mwanaume
Kam unasumbuliwa na umetafuta suluhisho kwa muda sasa bila suluhu juu ya changamoto k**a
U.T.I Sugu.
P.l.D Sugu.
Miwasho.
Je! huna kabisa hamu ya tendo la ndoa au unapata maumivu mda wa tendo la ndoa?
Njoo upate suluhisho la kudumu na la uhakika.

UGUMBA AU UTASASiku zote furaha ya ndoa ni kuwa na watoto. Familia inapokuwa haina watoto kutokana na changamoto mbalimb...
16/10/2024

UGUMBA AU UTASA

Siku zote furaha ya ndoa ni kuwa na watoto. Familia inapokuwa haina watoto kutokana na changamoto mbalimbali licha ya kuwa vizuri kiuchumi haiwezi kuwa na furaha kwa 100%.

Yapo matatizo mengine pengine ya kimaumbile, magonjwa k**a Saratani yanayopelekea kuathiri mfumo wa uzazi kwa mwanamke na mwanaume. Hapa hatuwezi kulaumu endapo wapendanao hao limewatokea mara tu baada ya kuanza maisha yao ya ndoa.

Yapo matatizo mengine ambayo husababishwa na mazingira au matumizi ya aina fulani ya dawa ambayo si sahihi hali inayopelekea kuvuruga mfumo mzima wa uzazi.

Watu hujiuliza kwa nini waumini wengi ni wanawake? Ndiyo mwanamke ndo huhangaika ili kunusuru ndoa yake, ili tu amfurahishe mwenza wake na yeye awe na amani.

Mwanamke ndiye anayehangaika kila kona kutatua tatizo.

Leo tu katika nikwambie tuna tiba yetu ambayo tumekuwa tukiitumia kwa muda mrefu na matunda yake yanaonekana.

K**a unalo tatizo hili usisite kututafuta kwani sisi tunatibu chanzo cha tatizo mara tu tuapojiridhisha.

Karibu tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp kwa namba hizo

OFA YA VIPIMO NA MATIBABU KUTOKA HOSPITAL YA WACHINA KATIKA VITUO VYAKE VYA AFYA MIKOA YOTE NCHINI. KWA OFA YA VIPIMO MW...
16/10/2024

OFA YA VIPIMO NA MATIBABU KUTOKA HOSPITAL YA WACHINA KATIKA VITUO VYAKE VYA AFYA MIKOA YOTE NCHINI. KWA OFA YA VIPIMO MWILI MZIMA NI...

FULL BODY CHECKUP 30,000/=
MAGONJWA SUGU YOTE YA WANAUME NA WANAWAKE
MFUMO WA UZAZI

KUMUONA DAKTARI BUREE.
USHAURI NI BURE.
KUFUNGUA FAILI NI BURE.
KARIBU TUKUHUDUMIE. KWA HUDUMA YA HARAKA PIGA
0767091949

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili MzimaJe,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi...
30/09/2024

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima

Je,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi Zaidi
Kumbuka Afya Yako Ndio Msingi Wa Mambo Yote....

utalipia TSH 20,000/= tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 50,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishilini Utalipia 20,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 30,000/= Nzima

Note: OFA ni kwa Watu 20 tu

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu au Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba

+255767091949
https://wa.me/message/KX76NNRBQQSCB1

GCAT HOSPITAL INAWALETEA OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA (full body checkup) PAMOJA NA USHAURI KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA...
30/09/2024

GCAT HOSPITAL INAWALETEA

OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA (full body checkup) PAMOJA NA USHAURI KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA

KWA GHARAMA YA TSH.20,000/= TU

TUNATIBU MARADHI HAYA.

🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri, 🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

MATIBABU NA VIPIMO KWA MAGONJWA YOTE SUGU
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA ;
0767091949

KUFIKA HOSPITAL
TUPO MIKOA YOTE YA TANZANIA

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gcat hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram