
04/11/2024
KITUO CHA AFYA - Gcat International Hospital
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima kwa gharama nafuu sana.30,000tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
▶Presha
▶Sukari
▶VVU
👉Kumbuka tiba sahihi ni ile inayozingatia vipimo sahihi,hivyo njoo upime🔬🩺🩻 ujue chanzo cha tatizo ili upate tiba sahihi.
Tupo majumba sita airport Dar es salaam na mikoani pia tupigie simu utapokelewa muda wowote
Wasiliana nasi kwa namba za simu:
0741418072 👇👇
https://wa.me/message/XTP2W2L5DKWFP1