
10/10/2024
πππππ π¨ ππ¨π¨ π¬π π§ππ§πππ’ ππ π‘πππ₯π (πππ₯π‘ππ) π
Tatizo hili la ngiri hutokea pale ogani au viungo vya tumboni K**a vile utumbo vinapoweza kuingia misuli au tishu zilizowazi katika kuta za tumbo au korodani.
π¦πππππ¨ πππ‘πππ’πͺπππ ππ¨π¦ππππππ¦ππ π§ππ§πππ’ ππ π‘πππ₯π (πππ₯π‘ππ) π
Zipo sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea mtu kupata tatizo la ngiri k**a zifuatazo.
π Umri.
π Uzito mkubwa.
π Kunyanyua vitu vizito.
π Kikohozi cha muda mrefu.
π Kukosa choo au kupata choo kigumu (Constipation)
π Kurithi yaani hutoka kizazi hadi kizazi ndani ya ukoo.
ππππππ ππ π§ππ§πππ’ ππ π‘πππ₯π (πππ₯π‘ππ)π
β¦οΈTumbo kujaa gesi.
β¦οΈTumbo kuungurumba mara kwa mara.
β¦οΈKupata choo kigumu, au kutokupata choo
β¦οΈMaumivu ya mgongo na kiuno.
β¦οΈMaumbile ya kiume kuwa madogo
β¦οΈKuvimba kwa korodani moja.
β¦οΈKupotea kwa korodani.
β¦οΈNgiri maji (korodani kujaa maji Kupata Tatizo la Busha
β¦οΈMaumivu ya korodani zote mbili au moja wapo