Afya Ya Uzazi

Afya Ya Uzazi Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la changamoto zote za uzazi.

10/09/2025

BADO UNASUMBULIWA NA UZAZI? SIKILIZA NIKUPE TAARIFA ITAKAYOKUSAIDIA SANA.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu (kwa mfumo mzima wa uzazi) kwa kipindi hiki cha ofa! (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

Dr. Mshamu Mshamu
0744660345

TAMBUA SABABU KWANINI UNATUMIA DAWA NYINGI NA HUPATI MATOKEO✍️       🍏kumekua na watuwengi wakitafuta suluhisho la MAGOJ...
12/08/2025

TAMBUA SABABU KWANINI UNATUMIA DAWA NYINGI NA HUPATI MATOKEO✍️
🍏kumekua na watuwengi wakitafuta suluhisho la MAGOJWA lakini wanatumia dawa nyingi bila matokeo
Sababu kubwa wengi wanatumia dawa bila kufanya vipimo hii sababu imewaghalimu watuwengisana,
✍️halihii imepelekea watu kupata MATATIZO makubwa hasa ya uzazi

K**a unasumbuliwa na MAGOJWA K**a haya usitumie TIBA yeyote bila kufanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi
➡️P I D
➡️Hormone imbalance
➡️Uvimbe kwenye kizazi
➡️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
➡️Mirija kuziba
➡️Harufu ukeni
➡️Kushidwa kubeba mimba
➡️ Fibroids
N.k
🍏N.b
Epuka kutumia kila dawa bila kufanya vipimo hii itahatarisha zaidi afya yako
Wasiliana nasi
📞 0744660345

03/10/2024

NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI HASA ZINAZOSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Gcat Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

Dr. Mshamu Mshamu
0744660345

Hii nimeweka spesho kwa wanawake wanaochanganya U.T.I na Fangasi/P.I.D/kutokwa uchafu unaonuka)....Kwa kawaida mwanamke ...
25/09/2024

Hii nimeweka spesho kwa wanawake wanaochanganya U.T.I na Fangasi/P.I.D/kutokwa uchafu unaonuka)....
Kwa kawaida mwanamke ana vishimo viwili, kishomo cha juu ni njia ya mkojo na shimo la chini ndo k yenyewe hapa uume hupita, mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakini pia mwanamke akiwa period, damu hupita hapo..
U.T.I (yutiai inahusiana na njia ya JUU tu, yaani njia ya mkojo, na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo, kutoa mkojo wenye harufu kali sana

kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani, maumivu wakati wa s*x, chanzo ni NJIA hiyo ya chini, Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus, P.I.D, au hata vaginosis, ila SIO U.T.I📌..

Kuna chochote umejifunza?

Una swali lolote kuhusiana na mambo ya uzazi na ungependa kujua namna ya kujitibia kwa kutumia vyakula, mazoezi na tiba?

Wasiliana nasi kwenye comment, inbox au whatsapp 0744660345

24/09/2024

BADO UNASUMBULIWA NA UZAZI? SIKILIZA NIKUPE TAARIFA ITAKAYOKUSAIDIA SANA

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Gcat Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 20 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 20,000 (kwa baadhi ya changamoto za uzazi) na 30,000 tu (kwa mfumo mzima wa uzazi) kwa kipindi hiki cha ofa! (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

Dr. Mshamu Mshamu
0744660345

TAMBUA KWAMBA BAADHI YA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAATHIRI SANA MWILI WA MWANADAMU, EPUKA KUTUMIA DAWA ZA UZAZI WA MPANG...
24/09/2024

TAMBUA KWAMBA BAADHI YA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAATHIRI SANA MWILI WA MWANADAMU, EPUKA KUTUMIA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO KIHOLELA

BAADHI YA WANAWAKE WAMESHINDWA KUBEBA MIMBA KISA YA KUTUMIA MADAWA YA UZAZI WA MPANGO KIHOLELA NA KUSABABISHA KUTOBEBA MIMBA

HII INATOKEA KWASABABU, KILE KINACHOBAKI MWILINI HAKIWEZI KUTOKA,KINAKUWA SUMU NA HIVYO KUZUIA BAADHI YA TENDAJI ZA MWILI KUSIMAMA KUTOKANA NA KINGA ZA SELI KUWA CHINI SANA

USIENDELEE KUTESEKA, NINASULUHISHO KWAAJILI YAKO
PIGA SIMU 0744660345 (Dr Mshamu)

Ugonjwa wa UTI (Urinary Tract Infection) unaweza kuwa na athari kwa mama mjamzito na kwa afya ya mtoto. Hapa kuna baadhi...
24/09/2024

Ugonjwa wa UTI (Urinary Tract Infection) unaweza kuwa na athari kwa mama mjamzito na kwa afya ya mtoto. Hapa kuna baadhi ya athari kuu za UTI kwa mama mjamzito:

1. Hatari ya Maambukizi Kubwa: UTI isipotibiwa, inaweza kuenea na kusababisha maambukizi kwenye figo (pyelonephritis), hali ambayo inaweza kuwa mbaya zaidi kwa mama na mtoto.

2. Hatari ya Kujifungua Mapema: UTI inaweza kuongeza hatari ya kujifungua kabla ya muda (premature birth), ambayo inaweza kuleta matatizo ya kiafya kwa mtoto k**a uzito mdogo kuzaliwa au matatizo ya kupumua.

3. Kuongezeka kwa Shinikizo la Damu: Kuna uwezekano wa kuongezeka kwa shinikizo la damu kwa mama mjamzito, hali inayojulikana k**a preeclampsia, ambayo ni hatari kwa afya ya mama na mtoto.

4. Maumivu na Usumbufu: UTI huleta maumivu makali wakati wa kukojoa, mkojo kuwa na harufu mbaya au kuonekana na rangi tofauti, na mara nyingi mama mjamzito anaweza kujihisi kuchoka au kuwa na homa.

Lakini pia Kuna hatari ya kupoteza ujauzito

K**a una changamoto ya Afya ya uzazi, infection zote
☎️0744 660 345

✍🏿Kupata mtoto wa k**e au wa kiume huwa ipo hivi✍🏿Kibaiologia mwanaume anapotoa mbegu shahawa ambazo zinatoa mtoto wa ki...
22/09/2024

✍🏿Kupata mtoto wa k**e au wa kiume huwa ipo hivi

✍🏿Kibaiologia mwanaume anapotoa mbegu shahawa ambazo zinatoa mtoto wa kiume huwa na speed sana kwenda kwenye Mfuko wa Uzazi

✍🏿lakini hufa haraka sana pale tu zinakosa kukutana na Yai la mwanamke

✍🏿ila mbegu ambazo zinatoa mtoto wa k**e zenyewe husafiri taratibu

✍🏿na huchelewa kulifikia Yai la mwanamke na huchelewa kufa

Zenyewe Huchukua hata masaa 72 kufa pale zinaposhindwa kukutana na yai

Yaan hufa taratibu sana

✍🏿Wakati mbegu za mtoto wa kiume hufa ndani ya masaa 48 tu tangu mwanaume alipopizi

✍🏿kuhusu kulenga mtoto wa k**e au wa kiume inahitajika uwe na mzunguko unaoeleweka kabisa Ili ujue Yai likipevuka

✍🏿mfano sasa

K**a mzunguko wako ni wa siku 28 siku ya Yai kupevuka itakuwa ni siku ya 14 baada ya kutoka Period

✍🏿k**a utalenga mtoto wa kiume utashiriki tendo siku ya 13 mpaka 16 Ili mbegu ziwahi kukutana na Yai

✍🏿k**a mtoto wa k**e basi utashiriki siku ya 11 au 12

✍🏿kwa maana hii mbegu za kiume hata k**a zitawahi zitakufa ndani ya masaa 48

✍🏿huku za k**e hata k**a zitawahi zitakufa ndani ya masaa 72

Ps; mbegu za kiume zikifa

Basi mbegu za k**e zinawaku bado zinaishia

✍🏿hivyo mfano k**a utashiriki siku 11 Yai likapevuka siku ya 14 basi uhakika mtoto wa k**e

✍🏿 K**a utashiriki siku ya 13 afu Yai likapevuka siku ya 14 basi uhakika mwanaume

✍🏿kwa hio swala la msingi ni lazima uwe na mzunguko stable

✍🏿uweze kupiga hesabu kali sana

Yawezekana umeomba sana hujajibiwa na hamu yako ya kupata mtoto imekua kubwa mno, lakini usikate tamaa mshukuru Mungu na...
12/09/2024

Yawezekana umeomba sana hujajibiwa na hamu yako ya kupata mtoto imekua kubwa mno, lakini usikate tamaa mshukuru Mungu na amini utanyonyesha tu 🤱👩‍🍼

K**a bado una changamoto yoyote ya uzazi wasiliana na mimi sasahivi nina suluhisho kwa ajili yako.

Dr Mshamu Mshamu
0744660345
Whatsapp 0744 660 345

Mungu akupe haja ya moyo wako wewe unayetafuta uzao. Hakutakua na tasa wala mwenye kuharibu mimba.! 🙏
12/09/2024

Mungu akupe haja ya moyo wako wewe unayetafuta uzao. Hakutakua na tasa wala mwenye kuharibu mimba.! 🙏

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram