28/09/2025
FORMULA YA ASUBUHI YA KUONGEZA TESTOSTERONE NA NGUVU ZA MISHIPA YA UUME (Kitaalamu)....
Viambato Muhimu...(Ingredients) vinapatikana sokoni....
β³ Kitunguu saumu vipande 4β5
β³ Tangawizi kipande kidogo (inch 1)
β³ Kitunguu chekundu nusu
β³ Asali kijiko 1
β³ Malimao mawili...
Namna ya Kutengeneza, Na Matumizi ya Mchanganyiko wako....π
1. Menya na katakata tangawizi, kitunguu na vitunguu saumu vipande vidogo....
2. Weka kwenye chupa ndogo safi ya glasi...
3. Kamulia maji ya limao juu yake.
4. Ongeza kijiko kimoja cha asali mbichi.
5. Funga vizuri na acha mchanganyiko ukae dakika 30.
6. Kunywa asubuhi kabla ya kifungua kinywa (kijiko 1β2 tu).
Faida za Kitaalamu, Ukizingatia Combo hii....
β³ Testosterone Boost, Vitunguu na tangawizi huchochea uzalishaji wa testosterone asilia...
β³ Afya ya mishipa, Husaidia kuimarisha mzunguko wa damu kwenye uume, kuondoa uchovu na kuimarisha nguvu.
β³ Detox ya asubuhi, Husaidia kusafisha mfumo wa mmeng'enyo na kuamsha mwili.
NB: Tumia mchanganyiko huu kwa siku 7β14 mfululizo, kisha pumzika kwa siku 3 kabla ya kuendelea....
Epuka matumizi ya madawa BOOSTER za nguvu za kiume Ni Hatari kwa Afya Yako....Imarisha saikolojia yako, Imarisha Testosterone Hormone, Fanya Mazoezi, Nguvu za kiume sio ugonjwa kwamba unahitaji DAWA...Upone.. π«΅