AFYA YA UZAZI

AFYA YA UZAZI BODI YA WANASAYANSI DUNIANI WAKISHIRIKIANA NA W.H.O
(1)

KARIBU KWA PHARM.WEGESA YUPO KWA AJILI YAKO KATIKA KUISADIA JAMII YAKE NA MASUALA YA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME KUPITIA DAWA ZA MITISHAMBA AMBAZO ZIMETHIBITISHWA NA.

JIPATIE MATIBABU YA P.I.D KWA BEI YA OFFER KUELEKEA NOVEMBER🔥🔥🔥💯💯💯
31/10/2024

JIPATIE MATIBABU YA P.I.D KWA BEI YA OFFER KUELEKEA NOVEMBER🔥🔥🔥💯💯💯

*DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:* Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini ba...
06/10/2024

*DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:*

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini baada ya muda huona *madhara makubwa* yanayogharimu afya zao za uzazi.

Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo *hupaswi kuzipuuza* pale zinapokutokea.👇

1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,

2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,

3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje
ya uke,

4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,

5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,

6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa
kinachouma wakati wa tendo la ndoa,

7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,

8. Kupata maumivu makali sana wakati
wa hedhi,

9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,

10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo
bila kukata zaidi ya siku 7 na
kuendelea,

11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,

12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,

13. Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,

14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,

15. Uke kuwaka Moto.

29/09/2024
29/09/2024

KARIBUNI SANA IPO KWA BEI YA PUNGUZO📌📌

PATA PACKAGE YA UZAZI KUTOKA NEOLIFE INTERNATIONAL
29/09/2024

PATA PACKAGE YA UZAZI KUTOKA NEOLIFE INTERNATIONAL

MY DEAR CHUKUA SOMO HAPO💯💯💯
28/09/2024

MY DEAR CHUKUA SOMO HAPO💯💯💯

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255618639784

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YA UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA YA UZAZI:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram