19/03/2026
KWA WANAWAKE PEKEE.
JE?UNACHANGAMOTO YA UZAZI?
Ipo tiba inatibu changamoto zifuatazo.;
1. Kukosa au kuvurugika kwa ovulation
Ovari kushindwa kutoa yai kila mwezi. Hii inaweza kusababishwa na matatizo ya homoni k**a Polycystic O***y Syndrome (PCOS).
2. Kuziba kwa mirija ya uzazi
Mirija ya uzazi (fallopian tubes) inaweza kuziba kutokana na maambukizi au magonjwa k**a Pelvic Inflammatory Disease (PID), hivyo yai na mbegu za kiume kushindwa kukutana.
3. Uvimbaji au uvimbe kwenye mfuko wa uzazi
Hali k**a Uterine Fibroids (vimbe kwenye mfuko wa uzazi) zinaweza kuzuia ujauzito au kusababisha mimba kuharibika.
4. Ugonjwa wa Endometriosis
Endometriosis hutokea pale tishu zinazofanana na za mfuko wa uzazi zinapoota nje ya mfuko wa uzazi na kuleta maumivu na matatizo ya uzazi.
5. Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida
Hedhi kuchelewa sana, kukosa hedhi, au kupata hedhi isiyo ya kawaida inaweza kuashiria matatizo ya homoni.
6.Kukosa hamu ya tendo na maumivu wakati wa tendo
7.Ukavu kwenye uke.
8.Mimba kutoka kabla haijafika miezi mitatu.
9.Maumivu makali wakati wa hedhi.
Inatumika sachet 1 kwa siku box 1 linatumika siku 10.
Upate box 3, bei ya box 1 ni shilingi alfu 60.
Unaweza kununua box moja moja ama ununue box 3 ( dozi ni mwezi mmoja tu)
Kila kitu kitakaa sawa.
Kuipata piga 0794897240
Ilala,Buguruni Malapa stend/ Uhuru road.