Mshauri wa Afya

  • Home
  • Mshauri wa Afya

Mshauri wa Afya Tunatibu kwa seli za mimea,kuanzia chanzo cha tatizo na kuliondoa kabisa.,,
magonjwa yote ,figo,tezi dume,sukari ,presha nk.

🐫 *SARATANI YA SHINGO _____YA KIZAZI (CERVICAL _____CANCER)Mob;0716535237.*🐫 Saratani ya shingo ya kizazi inasumbua sana...
01/07/2025

🐫 *SARATANI YA SHINGO _____YA KIZAZI (CERVICAL _____CANCER)
Mob;0716535237.
*🐫 Saratani ya shingo ya kizazi inasumbua sana Wanawake wa umri wote.*
*🐫Huwapata Wanawake wanaonza s*x mapema. Sana na walio kwenye menoupase*
*🐫Madawa ya kuzuia mimba kutoka husababisha (DES)*
*🐫Huleta madhara ya ki hisia (emotionally) na Kimaumbile (physically)*
*🐫Husababisha uke mkavu k**a ukifanyiwa upasuaji.*
*🐫Kuna aina mbili za cervical cancer*

🐫 *SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (CERVICAL CANCER)*
*🔑Saratani ya shingo ya kizazi au Saratani ya *mlango wa kizazi* aina ya saratani inayoshambulia* *seli/chembechembe* zilizomo ndani ya *ngozi laini*( *soft skin tissue* ) *inayozunguka shingo ya kizazi*.
*🔑Saratani ya shingo ya kizazi huanza na kuendelea kwa muda mrefu bila kuonesha dalili zozote*.
*🔑Dalili ambazo zinaweza kujitokeza wakati ugonjwa upo katika hatua za mwisho*

🐫 *CERVIX NI NINI*
*📌 Cervix ni sehemu ya chini ya *Uterus*(pango *Mtoto hukua wakati wa Ujauzito)*.
*📌Cervix ni kitu kinachofanana na *donut* na kinaunganisha *uterus* kwenye mlango wa uke* ( *va**na* )
📌 *Cervix* imezungukwa na *tissues* zilizojengwa na *cells*
*📌 Hizi ndio *cells* zenye *afya ambazo hukua* ( *grow* ) *na Kubadilika kuwa cells zenye Saratani* ( *precancer cells* )

🐫 *SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI HUANZAJE*
🔑 *Cervical cancer* ni *kukua kwa cells ambao huanzia kwenye* *cervix* .
*🔑Maambukizi mbalimbali ya kirusi *Human papillomavirus* *(HPV)* ni kisababishi kikuu cha Hii* *Saratani* .
*__🔑HPV ni Maambukizi _____yanayoletwa na ___kujamiiana* *(s*xual _______contact)*
*___🔑Ukiambukizwa HPV __Kinga ya mwili (body ___immune system) huzuia Hawa *virus* kuleta madhara*
*🔑Asilimia ndogo ya watu, Hawa virus huishi kwa miaka Mingo*.
*🔑Hii huchangia mchakato unaosababisha Baadhi ya cells za mlango wa kizazi kuwa cells zenye Saratani*.

🐫 *DALILI ZA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI (SYMPTOMS)*
*🐝Inapoanza, cervical cancer inaweza isionyesha dalili.*
*🐝Inavyoendelea kukua huanza kuonyesha alama ( *sign* ) na dalili* *(symptoms)* zifuatazo:
✅Uchafu kutoka Baada ya kujamiiana ( *va**nal bleeding)*
✅Kutoa majimaji *wakati* wa au *Baada* ya kukosa hedhi ( *menopause* )
*✅Hedhi nzito na ya muda mrefu kuliko kawaida*.( *heavier menstrual bleeding* )
*✅Majimaji, yenye damu mazito yenye harufu mbaya* ( *discharge with foul-smelling)*
✅Maumivu ya Nyonga wakati wa kujamiiana ( *pelvic pain during in*******se)*

*🐫 DALILI ZINGINE NI:*
*✅ Kuharisha* ( *diarrhea* )
*✅ Maumivu wakati wa* kukojoa ( *pain during urinating)*
*✅Mkojo wenye damu kwenye sehemu ya haja kubwa *(re**um)* wakati wa kujisaidia*
*✅Uchovu mkubwa* *(fatigue)*
✅ Kupoteza Uzito ( *weight loss* )
✅Kupoteza hamu ya kula ( *no appetite* )
*✅Kuhisi kuumwa mguu, mgongo, kiungo na chini ya tumbo*

🐫 JE *UNAWEZA GUNDUA CERVICAL CANCER KWA KUINGIZA VIDOLE UKENI*
🤚🏽 *HAPANA (NO* )
*🦂Cell za Saratani ni ndogo sana na ni vigumu kuzihisi mpaka utumie darubini* ( *microscope* )
*🦂 K**a unahisi muinuko (bump) au mlundikano wa kwenye uke, inaweza kuwa dalili kivimbe cha cell ( *polyps* ) au kivimbe maji ( *cysts*. ) NAMBA YA Mshauri Wa Afya
1.0716535237
2.0762749476
Dar es salaam.

01/07/2025
ZIFAHAMU DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO1. Maumivu ya tumbo kila wakati2. Kuwaka moto kifuani (kiungulia)3. Kupoteza hamu ya...
30/06/2025

ZIFAHAMU DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

1. Maumivu ya tumbo kila wakati
2. Kuwaka moto kifuani (kiungulia)
3. Kupoteza hamu ya kula (kichefuchefu)
4. Mdomo kuwa mchachu na kutoa harufu mbaya
5. Kutapika baada ya kula
6. Kupungua Uzito
7. Kupungukiwa nguvu (Uchovu)
8. Mapigo ya moyo kwenda mbio na msh*tuko wa moyo kila wakati
9. Kupoteza kumbukumbu na kuhisi kuchanganyikiwa
10. Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi
11. Kupumua kwa taabu baadhi ya nyakati
12. Kukosa usingizi, kush*tuka usingizini, kuota ndoto mbaya na kujawa na wasiwasi
13. Kikohozi kisichoisha na kuvimba tonsillitis/mafindo findo
14. Kuhisi kooni kuna kitu kimekwama ukitaka kukitoa hakitoki
15. Kupata fungus Mdomoni na kuanza kutoa ute mweupe, unaotoa harufu mbaya
16. Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara
17. Kupata maumivu makali ya mgongo

Ukiona dalili moja kati ya hizi usikae kimya, tafuta tiba mapema kabla tatizo halijafika kwenye hatua kubwa (Chronic)

Tumia sasa MOTHERCELL EXTRA STEMCELL Bidhaa Bora yenye Teknolojia kutoka Africa ni suluhisho la matatizo haya bila kujirudia.

MUHIMU
Matokeo ya awali ni ndani siku 7 mpaka 21 na matumizi ya miezi 3 mpaka 9 humaliza kabisa tatizo.

Usiendelee kuteseka,pia ipo tiba ,ya asili ya kitanzania kwa gharama nafuu.Upate dozi ya miezi 2 ,kopo 3 kwa gharama ya tsh ,145,000/ hata k**a iwapo unatapika damu hii inaponesha kabisa.

Maelezo zaidi au ushauri tafadhali wasiliana nasi namba 0762749476 na 0716535237.
Dar es salaam,Ilala.

30/06/2025
🔵FAHAMU KUHUSU TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI.Kwanza kabisa fahamu ya kwamba tatizo la Mapafu Kujaa Maji ni pale ambapo kun...
29/06/2025

🔵FAHAMU KUHUSU TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI.
Kwanza kabisa fahamu ya kwamba tatizo la Mapafu Kujaa Maji ni pale ambapo kunakuwa na mkusanyiko wa maji kati ya kuta mbili zinazozunguka mapafu. Kujaa huku kwa maji husababisha mgonjwa kupata shida ya kupumua vizuri.

🍎Sababu za mapafu kujaa maji zinaweza kuelezewa kutokana na sababu aina mbili za mapafu kujaa maji.
👇
A.Transudate; hapa maji hutoka kutoka kwenye mishipa ya damu na kuingia kwenye mapafu hasa kwa watu ambao wana magonjwa yafuatayo:
👇
1.Moyo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (congestive cardiac failure),
2.Ini kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (liver failure) na,
3.Figo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (renal failure)

B.Exudate; hapa maji hujaa kutokana na kuta zinazozunguka mapafu kuwa na maji kitaalamu tunaita (pleura) na husababisha mapafu kuvimba.Mtu anaweza mapafu yake kujaa maji kutokana na magonjwa ya mapafu k**a vile:
👇
1.Kansa ya mapafu au ya t**i,
2.ugonjwa unaoitwa Lymphoma,
3.Kifua kikuu (TB),
4.vichomi,
5.figo kushindwa kufanya kazi.
Kupata huduma zetu ,piga namba zetu za simu ,chini hapo kwa tiba pamoja na ushauri,pia unaweza kutembelea Za Mimea /Turudi Eden .

Karibu tukuhudumie.
simu namba ,0762749476 / +255716535237 ,na WhatsApp number,+255655938872.
Dar es salaam /Ilala.

DALILI 15 HATARI KWA WANAWAKE, TEGA SIKIO KIDOGOKuna baadhi ya dalili ambazo wanawake wengi huziona za kawaida na kuzipu...
26/06/2025

DALILI 15 HATARI KWA WANAWAKE, TEGA SIKIO KIDOGO

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake wengi huziona za kawaida na kuzipuuza lakini baada ya muda madhara makubwa yanagharimu afya zao za uzazi. Hizi ni dalili ambazo hupaswi kuzipuuza pale zinapokutokea

1. Kupata maumivu makali chini ya kitovu yanayo ambatana na maumivu ya kiuno
2. Kuhisi maumivu na hali ya kuchomachoma wakati wa haja ndogo
3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje ya uke
4. Kutokwa na ute ukeni usio wa kawaida, ute huu unaweza kuwa wa njano, mweupe, kijani, kahawia au uliochanganyika na damu hizi ni dalili za maambukizi katika via vya uzazi
5. Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa kinachouma wakati wa tendo la ndoa
7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,
8. Kupata maumivu makali sana wakati wa hedhi
9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye mabonge au nyeusi sana
10. Kutokwa na damu ya hedhi mfululizo bila kukata zaidi ya siku 7 na kuendelea
11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi mmoja zaidi ya mara mbili au tatu
12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu wakati si mjamzito na bado hajafikia umri wa kukoma hedhi
13. Kupata vipele vinavyouma na kuwasha sehemu za siri
14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati midomo ya nje ya uke
15. Uke kuwaka moto

Ukiona dalili hizi usikae kimya na tatizo, tumia mothercell stemcell mapema kwa Afya Bora. Wasiliana nasi sasa kwa namba 0655938872 / 0762749476
Dar es salaam.

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?📌. Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu...
21/06/2025

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?

📌. Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba

📌BAWASIRI~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe

CHANZO CHA BAWASIRI

👉. Kufanya mapenzi kinyume na maumbile
👉. Kuharisha kwa muda mrefu
👉. Tatizo la kutokupata choo
👉. Kupata coo kigumu
👉. Umri
👉. Kukaa kitako kwa muda mrefu
👉. Matumizi ya vyoo vya kukaa kwa muda mrefu

DALILI ZA BAWASIRI

👉. Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉. Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉. Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉. Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu la haja kubwa
👉. Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI.
Tiba yenye majibu ya siku 3 IPO,
Ni nzuri sana.
Nipigie,0762749476
Ofisi zipo Buguruni Malapa ,Dar/ Uhuru road.
Bei nafuu.

07/06/2025
*Tatizo la MIGUU/MIKONO KUFA GANZI na KUWAKA MOTO*↔️linahusisha hali ambapo miguu inakosa hisia za kawaida, k**a vile ku...
06/06/2025

*Tatizo la MIGUU/MIKONO KUFA GANZI na KUWAKA MOTO*
↔️linahusisha hali ambapo miguu inakosa hisia za kawaida, k**a vile kuganda au kutojisikia vizuri (ganzi), au kuhisi joto kali, maumivu au kuwaka moto. Hii hutokea kutokana na hitilafu kwenye mishipa ya fahamu, ambayo inashindwa kupitisha ujumbe wa hisia kwa usahihi.

*Tatizo la miguu/kufa ganzi na kuwaka moto linaweza kusababishwa na mambo haya:-*

1. *Shida za Mishipa ya Fahamu (Neuropathy)*: Mara nyingi huwapata wagonjwa wa kisukari, ambapo mishipa ya fahamu inapoharibika husababisha hisia za ganzi au moto.
2. *Mzunguko Mbaya wa Damu (Peripheral Artery Disease)*: Kuziba kwa mishipa ya damu kwenye miguu kunasababisha ganzi na maumivu.
3. *Upungufu wa Vitamini*: Ukosefu wa vitamini B12 unaweza kuharibu mishipa ya fahamu, na kusababisha ganzi.
4. *Shinikizo la Mishipa (Nerve Compression)*: Mishipa ya miguu ikikandamizwa, labda kutokana na tatizo la mgongo, inaweza kusababisha ganzi na kuwaka moto.
Tatizo hili linatibika kuanzia chanzo chake na kuisha ksbisa.
Kwa tiba na ushauri,
Nipigie,0655938872
WhatsApp hio.
Ya kawaida 0762749476
Dar es salaam.
Ilala.

💔 MADHARA YA BACTERIA AINA YA H PYLORI📜  VIDONDA.K**a tulivyoeleza hapo awali, H.Pylori inaweza kuharibu kinga ya tumbo ...
06/06/2025

💔 MADHARA YA BACTERIA AINA YA H PYLORI

📜 VIDONDA.
K**a tulivyoeleza hapo awali, H.Pylori inaweza kuharibu kinga ya tumbo na duodenum. Hii itawezesha asidi ya tumbo kutengeneza kidonda cha wazi, au kidonda, kwenye ukuta wa tumbo au utumbo mdogo. Karibu 10% ya watu ambao wana H.Pylori watapata vidonda.

📜 Kutokwa na damu ndani kwa ndani. Inaweza kutokea wakati kidonda cha peptic kinapovunjika kupitia mshipa wa damu na kuhusishwa na anemia ya upungufu wa madini ya chuma.

📜 PERFORATION.
Hutokea pale kidonda cha peptic kinapovunjika kupitia ukuta wa tumbo.

📜 PERITONITIS.
Ni maambukizi ya peritoneum au kitambaa cha tumbo la tumbo.
Kuvimba kwa kitambaa cha tumbo. Bakteria hao wanaweza kuwasha mfuko wa tumbo na kusababisha kuvimba mara kwa mara, hali inayojulikana k**a gastritis.

📜 SARATANI YA TUMBO.
Maambukizi ya H.Pylori yanachukuliwa kuwa moja ya vihatarishi vikubwa vya aina fulani za saratani ya tumbo.
Tiba zipo zipo,
Tuwasiliane,0762749476
0652874280(zote piga)
Dar es salaam.

*FAHAMU ZAIDI KUHUSU SARATANI YA MATITI (Breast Cancer)**➡️ Saratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za ...
23/05/2025

*FAHAMU ZAIDI KUHUSU SARATANI YA MATITI (Breast Cancer)*

*➡️ Saratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za mwili kubadilika na kukua bila mpangilio maalum.*

Saratani ya mat**i hutokea kwenye t**i ambalo kwa kawaida lina sehemu ya kutengeneza maziwa ijulikanayo k**a lobules na aina fulani ya mishipa inayounganisha hizi lobules na chuchu za t**i. Sehemu kubwa iliyobakia ya mat**i inajumuisha mafuta na tishu ambazo kitaalamu tunazoita connective and lymphatic tissue. Saratani ya mat**i inayotokea kwenye lobules huitwa lobular carcinoma na ile inayotokea kwenye ducts huitwa ductal carcinoma.

Baadhi ya saratani ya mat**i zinaongeza ukubwa kutokana na kuwa na vishikizi aina ya receptors zinazojulikana k**a estrogen receptors kwenye seli zao ambazo husababisha ukuaji wa saratani ya mat**i.

*➡️Vihatarishi vya Saratani*

Kuna mambo kadhaa ambayo yameonekana kuwa na uhusiano, ama wa moja kwa moja au kwa kupitia vitu vingine, wa kusababisha saratani ya mat**i, au kumfanya mtu au kundi la watu kuwa katika hatari ya kupata ugonjwa huu kuliko wengine. Mambo hayo ni pamoja na

1️⃣ *Jinsia:*
Ingawa, saratani ya mat**i huweza kutokea kwa wote wanawake na wanaume, imeonekana kuwa wanawake ni waathirika wakubwa zaidi wa saratani hii ikilinganishwa na wanaume.
2️⃣ *Umri:* Uwezekano wa kupata saratani hii huendana na umri wa mtu. Kadiri umri wa mtu unavyoongezeka ndivyo pia uwezekano wa kupata saratani hii unavyozidi kuwa mkubwa.

3️⃣ *Uzazi:* Wanawake ambao hawajazaa au kunyonyesha wapo kwenye hatari kubwa ya kupata saratani ya mat**i. Wanawake wanaopata ujauzito kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30 nao pia wapo kwenye hatari kubwa ya kupata saratani hii.

4️⃣ *Historia ya ugonjwa huu katika familia:* Wanawake walio katika familia zenye historia ya ugonjwa huu wana uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya mat**i ukilinganisha na wale ambao hawana historia ya ugonjwa huu katika familia zao.

5️⃣ *Umri wa kuvunja ungo:*
Wanawake wanaovunja ungo (kupata hedhi) kabla ya umri wa miaka 12 wapo kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa .

Huduma ya tiba ya seli imesaidia wengi,saratani aina zote ,,,,stage zote na kupambana na complication zote za Kansas,hakuna haja yakusafiri nje ya nchi siku hizi tiba zimeingia nchini.
Ili kupata huduma ya seli na kupona tuwasiliane nikushauri kitu chema ,utamshukuru Mungu baadae.
In vema mgonjwa uwahi ukiwa hatua za awali usisubirie upo katika hali mbaya,,,,.
Mawasiliano,+255655938872
+255762749476
Dar es salaam.
Popote tutakufikia.
Sambaza ujumbe huu na kwa ndugu na rafiki zako.
Wapo waliopona na stemcell kutoka uswis inaitwa s factor.Wapo hai mpaka hii Leo.Walishindikana hospital kubwa.

TIBU MAPEMA TATIZO LA P.I.D (Pelvic inflammatory disease)*UFAHAMU UGONJWA WA P.I.D,**(Pelvic Inflammatory Disease)**CHAN...
18/05/2025

TIBU MAPEMA TATIZO LA P.I.D
(Pelvic inflammatory disease)

*UFAHAMU UGONJWA WA P.I.D,**(Pelvic Inflammatory Disease)*

*CHANZO DALILI NA SULUHISHO LA KUDUMU.*

👉P.I.D ni Maambukizi ya Bakteria katika via vya uzazi vya mwanamke(Kizazi,Mirija ya Uzazi na Mayai)

Bakteria wa P.I.D
👉Chilamydia (Pangusa)
👉Neisseria gonorrhea(Gonorrhea)

Bakteria Hawa huambukizwa kwa njia ya kujamiiana.

*JE, NI KWA JINSI GANI MWANAMKE ANAWEZA KUPATA P.I.D?*

1. Ngono isiyo salama (kufanya tendo la ndoa kupitia tundu la haja kubwa)
2. Utoaji mimba(abortion)
3. Dawa za uzazi wa mpango au vizuizi mimba( mfano p2)
4. Maambukizi mara baada ya mama kujifungua
5. Kinga ya mwili kushuka hivyo kuruhusu wadudu wa P.I.D kukushambulia kiurahisi

*DALILI ZA P.I.D*

* Maumivu ya tumbo chini ya kitovu. Wakati mwingine upande wa kulia
* Kutokwa na uchafu ukeni, hasa wenye rangi ya njano unaoelekea kuwa kijani kwa mbali ukiwa na harufu mbaya.
* Kuhisi Maumivu ama hali ya kuungua wakati wa kukojoa
* Homa
* Kuhisi kichefuchefu ama kutapika
* Kuhisi Maumivu wakati wa tendo la ndoa ama kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa.
* Kuvurugika kwa hedhi
* Kupata hedhi katikati ya hedhi, yaani waweza kupata hedhi mara 2 ndani ya mwezi 1.
* Kuziba mirija ya uzazi au kujaa maji
* Mwili kuishiwa na nguvu
* Maumivu ya kiuno
* Miwasho sehemu za siri
* Uke kuwa mlaini sana na kulegea

*MADHARA YA P.I.D*
1. Ugumba
2. Kansa ya shingo ya kizazi kupelekea kutolewa kizazi
3. Mirija ya uzazi kuziba kufanya mayai Kushindwa kufunga Mimba
4. Michubuko eneo la kizazi
5. Saratani ya shingo ya kizazi.
6. Uvimbe kwenye Mayai (Ovarian Cyst)
Mawasiliano; 0762749476.
Dar es salaam.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshauri wa Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share