Ingram.Afya

Ingram.Afya NINASAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA AFYA KWA KUTOA SULUHISHO LA UHAKIKA. Nipigie/WhatsApp 0766696673

🌹Umetumia Dawa/Sindano mara ngapi na bado UTI inajirudia na sasa imekuwa SUGU?*🌹Umetumia Dawa na tube mara ngapi na bado...
24/02/2025

🌹Umetumia Dawa/Sindano mara ngapi na bado UTI inajirudia na sasa imekuwa SUGU?*

🌹Umetumia Dawa na tube mara ngapi na bado FANGAS inajirudia kila mara na sasa imekuwa SUGU na uko kwenye hatari ya kupata PID na Madhara mengine?*

🌹Vipi k**a leo nitakuonyesha dawa ya uhakika ya kutumia ndani ya siku 7 tu na upone wala tatizo lisijirudie, Je utakuwa tayari?

USICHUKULIE masihala ugonjwa huu unamadhara makubwa wahi tiba mapema.
24/12/2024

USICHUKULIE masihala ugonjwa huu unamadhara makubwa wahi tiba mapema.


Pelvic Inflammatory Disease. 🔥Pelvic inflammatory disease (PID) is characterised by infection of the female reproductive...
17/12/2024

Pelvic Inflammatory Disease.

🔥Pelvic inflammatory disease (PID) is characterised by infection of the female reproductive organs, such as the uterus, fallopian tubes, and ovaries.

It is mostly acquired through unsafe s*xual practices and is one of the most serious consequences of s*xually transmitted diseases (STD).

PID can cause permanent damage to the female reproductive system, and is one of the leading causes of in fertility.

🔥Causes and risks
PID can occur when you are exposed to an STD, such as chlamydia or gonorrhoea. The cervix loses its ability to protect the internal organs from bacteria and the infection eventually spreads to your uterus, ovaries, and fallopian tubes. 90% of PID occurs as a result of untreated chlamydia and gonorrhoea. Sexual practices that involve multiple partners and unprotected s*x increase your chances of acquiring STDs, which can in turn lead to PID.

🔥Symptoms
PID can show minor symptoms or no symptoms at all (common with chlamydial infection).

They can often vary, but may include:

✅Dull pain in your stomach and lower abdomen and pelvis.

✅Green or yellow vaginal discharge, having a distinct and often unpleasant odour.

✅Pain during urination.

✅Irregular vaginal bleeding.

✅Fever or chills
Nausea, vomiting or diarrhoea.

✅Pain in the lower back.

✅Painful in*******se.

If you notice any of these symptoms, it is important to stop having in*******se and visit your doctor immediately, as prompt treatment is vital for PID.

🔥Complications.
Left untreated PID.

✅ can cause scarring and collection of abscesses (infected fluid) in the fallopian tubes.

✅PID can also lead to infertility or ectopic pregnancy (implantation of embryo outside uterus). Scarring or damage can occur to other reproductive organs, which can cause chronic pelvic pain that can last for many months.

If you have recognised those symptoms in body or rather your suffering from PID for several time and you did not get a treatment.
Please let us know we have a solution to PID.

Call us /whatsap 0766696673

Unapatwa changamoto yeyote kati ya hizi:-1.kutokwa uchafu sehemu za siri.2.uchafu wenye harufu 3.Unapata changamoto ya u...
15/12/2024

Unapatwa changamoto yeyote kati ya hizi:-
1.kutokwa uchafu sehemu za siri.
2.uchafu wenye harufu
3.Unapata changamoto ya uke mkavu?
4.Unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa?
5.Unapata maumivu wakati wa period?

USICHUKULIE POA UGONJWA WA PID( MAAMBUKIZI KWENYE VIA VYA UZAZI) KWASABABU MADHARA YAKE NI MAKUBWA MNO..MADHARA NI K**A ...
21/11/2024

USICHUKULIE POA UGONJWA WA PID( MAAMBUKIZI KWENYE VIA VYA UZAZI) KWASABABU MADHARA YAKE NI MAKUBWA MNO..MADHARA NI K**A KUPATA KANSA, UGUMBA NA UVIMBE N. K!

K**a una tatizo lolote miongoni mwa haya hapa nipigie/WhatsApp 0766696673
18/11/2024

K**a una tatizo lolote miongoni mwa haya hapa nipigie/WhatsApp 0766696673

K**a Unachangamoto mojawapo kati ya hizo nipigie/WhatsApp 0766696673
18/11/2024

K**a Unachangamoto mojawapo kati ya hizo nipigie/WhatsApp 0766696673

USICHUKULIE POA KUTIBU CHANGAMOTO YA PID, UTI AU HORMON IMBALANCE.. KWASABABU UKIACHA KUTIBU AU UKICHUKULIA POA MADHARA ...
18/11/2024

USICHUKULIE POA KUTIBU CHANGAMOTO YA PID, UTI AU HORMON IMBALANCE.. KWASABABU UKIACHA KUTIBU AU UKICHUKULIA POA MADHARA MAKUBWA YANATOKEA K**A UVIMBE,KANSA,UGUMBA n. k!

K**a unapatwa na changamoto yoyote ya PID,, kuwashwa sehemu za siri,fangasi, kutoka na uchafu sehemu za siri n. K.. Nitafute nina suluhisho maalum kwaajir yako ambalo lina enda kutibu chanzo cha tatizo

Nipigie /whatsap 0766696673

PID inatibika na tatizo linaisha kabisa na Uzuri wa tiba yetu tunakupa package ya PID ikiwa imebeba dawa za PID ndani ya...
18/11/2024

PID inatibika na tatizo linaisha kabisa na Uzuri wa tiba yetu tunakupa package ya PID ikiwa imebeba dawa za PID ndani yake UTI Fungus na package ya ukavu na kukosa hamu ya tendo hii dose ya PID imebeba hizi dawa za haya magonjwa mengine yote

Kwa ushauri zaidi piga au whatsap 0766696673

*Madhara ya  Pelvic Inflammatory Disease (PID) ya muda mrefu kwa mwanamke ni pamoja na:-**😭😭Ugumba (Infertility): PID in...
18/11/2024

*Madhara ya Pelvic Inflammatory Disease (PID) ya muda mrefu kwa mwanamke ni pamoja na:-*

*😭😭Ugumba (Infertility): PID inaweza kuharibu mirija ya fallopian, jambo ambalo linaweza kusababisha ugumba.*

*😭😭Maumivu ya mara kwa mara ya tumbo la chini: Maumivu haya yanaweza kuwa sugu na kuathiri ubora wa maisha.*

*😭😭Mimba zenye matatizo: PID huongeza hatari ya kuwa na mimba nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy), ambayo inaweza kuwa hatari kwa maisha*.

*😭😭Makovu kwenye viungo vya uzazi: Hii inaweza kusababisha maumivu na matatizo mengine ya kiafya.*

😭😭Maambukizi ya mara kwa mara kwenye mfumo wa uzazi.

*Eewe mwanamke mwenye dalili za PID nicheki nikupatie tiba ya virutubisho haraka ili kuondoa hatari ya madhara ya PID ya muda mrefu.

Wasiliana nasi
0766696673


💬Pelvic inflammatory disease ( PID)🗣️Pid NI bacteria infection  kushambulia za sehemu za viungo za chini ya tumbo na seh...
18/11/2024

💬Pelvic inflammatory disease ( PID)

🗣️Pid NI bacteria infection kushambulia za sehemu za viungo za chini ya tumbo na sehemu za Siri na kusambaa kuenea kwenye mirija ya uzazi , fuko la uzazi, yai la uzazi pamoja na mlango wa kizazi , kuzunguuka kuta za uzazi
🌹NI bacteria wabaya zinazoingia Kwa njia ya sehemu za Siri na kuenea sehemu ya kiuno

🌹Sababu zinazipolekea
Usafi wa sehemu za Siri
Magonjwa ya zinaa k**a gonorrhoea nk
Presha za maisha
Maradhi ya mda mrefu
Vimbe za fuko la uzazi
Infections za mkojo
Kutia kitanzi cha kuzia mimba nk

🌹dalili ya pid ni:-
Maumivu chini ya tumbo na kiunoni
kutoka uchafu sana sehemu za uke
Maumivu wakati wa s*x
Kutokwa na uchafu ukeni (njano au kijani ukeni)
kupata maumivu saa ya haja ndogo
maumivu ya period
Depression
kupata period nyingi
harufu mbaya ukeni
kuwa mchofu, homa, kizunguzungu na kutapika
Kuingia period mara 2 Kwa mwezi
Maumivu ya tumbo mara

🗣️Huu ugonjwa ukichukua mda mrefu bila kupona inaleta mazara makubwa Sana na kuweza kusababisha kifo ikiwa imeenea mpaka kwenye damu mwilini

✅Angalizo
fanya mazoezi ya kutembea au kukimbia japo nusu saa kwa siku
Fanya massage chini ya tumbo na kiunoni kwamafuta ya lavender oil changanya na mafuta ya olive oil yawe ujazo sawa

🗣️Zingatio
Ugonjwa huu unadumu Kwa mda mrefu Sana Kwa hiyo mgonjwa anatakikana ashik**ane na tiba Kwa mda mrefu Sana
Utaona unapona baada ya muda inajirudia
Pia unapotumia dawa wiki au mwezi ukiona haijafaa usikate Tamaa endelea kutumia uchache wake ni miezi 3 mfululuzo
Na wanaotumia dawa za hospital inatakikana wadumu nazo Kwa mda kidogo na hii itawaletea mazara

Kwa mawasiliano zaidi piga/WhatsApp 0766696673

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ingram.Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram