golden crown health care

golden crown health care GOLDEN CROWN HEALTH CARE ni suluhisho pekee ya magonjwa.

tunatoa ushauri ,tunafanya vipimo ,tunatoa tiba sahihi kulingana na tatizo lako.karibu sana uweze kupata huduma sahihi kutoka kwa wataalam wetu.

Kiwango Cha Sukari Katika Damu.Kiwango cha sukari katika damu kinaelezwa kwa kawaida kwa kutumia vipimo viwili muhimu: k...
05/02/2025

Kiwango Cha Sukari Katika Damu.

Kiwango cha sukari katika damu kinaelezwa kwa kawaida kwa kutumia vipimo viwili muhimu: kipimo cha sukari ya kufunga (Fasting Blood Sugar) na kipimo cha sukari ya baada ya kula (Postprandial Blood Sugar).

Vipimo hivi hutumiwa kuchunguza na kudhibiti kiwango cha sukari kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari (diabetes) na pia kwa watu wenye hatari ya kuwa na ugonjwa huo.

1) Kipimo Cha Sukari Ya Kufunga (Fasting Blood Sugar).

Hiki ni kipimo kinachopima kiwango cha sukari katika damu baada ya kufunga kula kwa angalau masaa 8 hadi 12.

Kipimo hiki kinaweza kutumiwa kwa utambuzi wa kisukari.

Kawaida, kiwango cha sukari ya kufunga cha chini ya 100 mg/dL kinachukuliwa kuwa cha kawaida, wakati kiwango cha 100-125 mg/dL kinaweza kuashiria hatari ya kuwa na kisukari cha aina ya 2 (prediabetes), na kiwango cha 126 mg/dL au zaidi kinaashiria ugonjwa wa kisukari.

2) Kipimo Cha Sukari Ya Baada Ya Kula (Postprandial Blood Sugar).

Hiki ni kipimo cha sukari katika damu kinachopimwa saa 2 hadi 3 baada ya kula chakula.

Kawaida, kiwango cha sukari ya baada ya kula kinapaswa kuwa chini ya 140 mg/dL. Viwango vya juu kunaweza kuashiria ugonjwa wa kisukari au prediabetes.

HITIMISHO:

Kumbuka kuwa viwango vya kawaida vinaweza kutofautiana kidogo kulingana na maabara na miongozo ya kitiba ya eneo lako.

Ikiwa una wasiwasi kuhusu viwango vyako vya sukari ya damu au una historia ya kisukari au hatari ya kuwa nayo, ni muhimu kuzungumza na daktari au mtaalamu wa afya. Wanaweza kukusaidia kuelewa matokeo yako na kutoa ushauri wa matibabu au marekebisho ya maisha kulingana na hali yako.

Kudhibiti sukari ya damu ni muhimu kwa afya ya jumla na kuzuia matatizo ya kisukari. Wasiliana na mtaalamu wa afya upate tiba sahihi kabisa wa.me/255743301181

*UJUMBE MUHIMU KWA WAGONJWA WOTE WA KISUKARI ❗*👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼*Kwanini njaa inakusumbua mara mwa mara?**Je, kwanini ushauri  kw...
17/01/2025

*UJUMBE MUHIMU KWA WAGONJWA WOTE WA KISUKARI ❗*
👇🏼👇🏼
👇🏼👇🏼
*Kwanini njaa inakusumbua mara mwa mara?*
*Je, kwanini ushauri kwamba ule hata milo 4 au zaidi kwasiku hautakusaidia badala yake utakuangamiza?*

🔘 Soma mpaka mwisho nitakuambia na cha kufanya;
1. *Sababu kubwa mgonjwa wa Kisukari anapata njaa za mara kwa mara sio kwamba chakula (Glucose) kinaisha haraka mwilini .,*
*...Sukari iko nyingi kabisa, tatizo ni kwamba seli zako nyingi za mwili ndio hazifungui mlango ili kuruhusu chakula hiki (sukari) kiingie.. tatizo hili huitwa (insulin resistance)*

2. *Sasa k**a chakula cha kukupa nguvu tangu uzaliwe ni 'sukari' na tayari uko na sukari nyingi mpaka inaonekana nyingi kwenye Damu..yanini uendelee kula vyakula vilevile vyenye kutia sukari iliyogomewa?*

3. Ahaa! *Kumbe tatizo hapa chakula kipo, ila seli ndio zinakaa na njaa kali na kukufanya usikie njaa kwasababu ya kushindwa kutumia sukari k**a chanzo cha nguvu (fuel)🤔*
Kula milo mingi ni kuzidi kumimina sukari nyingi na kukomaza zaidi ugonjwa❌
Kuendelea kutumia wanga k**a chanzo kikuu cha nishati eti kwakula kidogo hata haushibi, ni kuunyanyasa mwili wako ❌

SULUHUSHO!!
✅ Formula hii ni maarufu duniani kwasasa, ni Tiba ya magonjwa mengi mno ikiwepo Kisukari, uzito mkubwa, Upungufu wa nguvu za kiume, kupunguza makali ya kansa n.k

✅ ili mwili ufikie stage ya kuchoma vyakula vya mafuta, lazima unyimwe kwa kiwango kikubwa vyakula vya sukari ndipo chanzo hiki kitatumika

✅ hii ndio sababu wengi humu mnashindwa kuona matokeo ya tiba hii kwasababu mnafanya nusunusu kwenye lishe, mara Leo umekosa unaamua kula ugali, sijui ndizi n.k

✅ Kwahiyo mwili unashindwa kuchoma mafuta maana bado unajichanganya mara kwa mara kwa kuupatia wanga mwingi

✅ Lazima katika sahani yako vyakula vya mafuta viwe asilimia 70 au zaidi halafu wanga ndio iwe asilimia 5_10 tu ndipo huku asilimia nyingine zikiwa ni protini hapa utaona maajabu makubwa ya tiba hii
Sijui umenielewa vizur? K**a umeelewa na kufadikia.. niandikie kwenye comment ili nijue niko na watu hapa😇Al
Mwenye kutamani sana upone maradhi ya Kisukari na changamoto mbalimbali zinazokusumbua
tupo Kwa ajili yako
0743301181
Doctor George Allen

📢📢Ujumbe muhimu kwa watu wanaoteseka na Kisukari.Wagonjwa wengi wa Kisukari wamekuwa wakisumbuliwa na mzigo wa kutumia D...
15/01/2025

📢📢Ujumbe muhimu kwa watu wanaoteseka na Kisukari.

Wagonjwa wengi wa Kisukari wamekuwa wakisumbuliwa na mzigo wa kutumia Dawa za Hospitalini kila kukicha, na kubaki tegemezi wa dawa hizo milele.

K**a wewe ni mmoja wao, ningependa kuongea na wewe.

Kwa jina naitwa Nelson, Mkurugenzi wa golden crown health care .

Ninawasaidia wagonjwa wa Kisukari kushusha kiwango cha sukari kwenye damu bila ya kutumia Madawa ya Hospitali kwa kupitia njia ya Tiba Lishe.

Wiki hii nataka kuandaa darasa la bure kwa ajili yako la Namna ya Kushusha Kiwango cha Sukari Katika Damu.

Nitumie ujumbe wa WhatsApp kwenda namba 0764 637 179

Kisha nitawasiliana na wewe ili kuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo nipate kukuandalia (wewe pamoja na wenzako) darasa bure kabisa kupitia group la WhatsApp.

Ni mimi mwenye kujali afya yako,
George Allen
Mkurugenzi, Golden crown health care

*USIPOTIBU KISUKARI JIANDAE NA HAYA .* ✍🏻Kuna watu wamechagua kuishi na kisukari wengiwao wakiamini kisukari hakitibi we...
13/01/2025

*USIPOTIBU KISUKARI JIANDAE NA HAYA .*

✍🏻Kuna watu wamechagua kuishi na kisukari wengiwao wakiamini kisukari hakitibi wengine wanamini kwenye kubalance chakula pekee yake lakin mwisho huishia kwenye changamoto hizi hapa chini au kifo

✅kupoteza uwezo wa kuona au Kupata upofu wa macho huitwa pressure ya macho

✅kupata matatizo ya pressure

✅ Kupata matatizo ya uzazi hasa kwa wanaume hupoteza uwezo wa kufanya tendo au mfumo wa uzazi

✅kupungua kwa kinga ya mwili na kufanya mwili kuwa dhaifu

✅Kupata matatizo ya moyo hii ni mbaya kisukari na ugojwa wa moyo husababisha kifo cha gafla

✅kupata ganzi ya mwili na kupelekea mwili kupooza

✅Kupata vidonda sugu hivi hupelekea kukatwa viungo vya mwili mfano vidole

✅Miguu kuvimba hiyo husababishwa na damu yako kukosa oxygen ya kutosha hivyo kushindwa kwenda sehemu zote za mwili
✅Kupata ugojwa wa akili na kupoteza kumbukumbu

✅Inaweza kusababisha madhara ya DNA hii hupelekea kutengeza kizazi cha familia ya kisukari yani watoto wako kua na uwezekano mkubwa kupata tatizo hilo NK.

*MUHIMU*
✍🏻Usikae na tatizo likawa kubwa ndio uanze kutafuta matibabu kisukari ni sawa na bomu linakaa kwa utulivu ila likiguswa linaweza kulipuka mda wowote

Whats app 0743301181
kupata huduma sasa hivi.

Kwenye joto hili kuna ushawishi mwingi wa kunywa soda au energy drinks.Utakunywa kila siku?  Punguza pia kula vyakula vy...
13/01/2025

Kwenye joto hili kuna ushawishi mwingi wa kunywa soda au energy drinks.
Utakunywa kila siku?
Punguza pia kula vyakula vya mafuta sana vinachochea joto na umengenyaji wake unahitaji maji sana
Take water
Kunywa maji
Drink water

Epuka mawe ya figo
Epuka kupungukiwa maji
Epuka kupausha ngozi
Epuka presha na kichwa.
Take care

MADHARA YANAYOWEZA KUKUPATA USIPOTIBU KISUKARI MAPEMA.Unapopata ugonjwa wa kisukari ni wakati ambao unahitajika umakini ...
05/01/2025

MADHARA YANAYOWEZA KUKUPATA USIPOTIBU KISUKARI MAPEMA.

Unapopata ugonjwa wa kisukari ni wakati ambao unahitajika umakini na uangalifu mkubwa kuhusu afya yako kuanzia mazingira unayoishi, chakula, dawa unazitumia, mavazi unayovaa na mazoezi ya mwili.

Usipozingatia na kufuata ushauri wa afya kuna hatari kubwa ya kupata matatizo mengine ya kiafya yanayoambatana na Ugonjwa wa kisukari.
Matatizo/magonjwa ni pamoja na,

⚠Shinikizo la damu (blood pressure)
⚠Matatizo ya moyo na mishipa.
⚠Kuharibika kwa mishipa ya fahamu (nerves)
⚠Magonjwa Magonjwa ya figo/ figo kushindwa kufanya kazi vizuri.
⚠Ubovu wa macho unaoweza kusabisha upofu.
⚠Kuharibika kwa miguu kutoka na vidonda visivyopona na miguu kufa ganzi.
⚠ Vidonda kuchelewa kupona.
⚠Maambukizi ya ngozi.
⚠Msongo wa mawazo.

Ni muhimu kijua kuwa Madhara haya na mengine mengi yanaweza kuchukua muda mrefu kujitokeza na kupona vilevile. Kwa kadri mgonjwa anavyokaa muda mrefu bila kufuata kanuni za afya na matibabu ndivyo hufanya hatari ya tatizo kuwa kubwa.
Tiba ya kwanza kabisa kwa ugonjwa wa kisukari ni aina ya chakula na lishe ya kila siku.
Kwa mgonjwa wa kisukari zingatia yafuatayo kila siku.
✔Kula Matunda na mbogamboga kwa wingi.
✔Punguza matumizi ya nafaka.
✔Kunywa maji ya kutosha kila siku.
✔Usile chakula kingi kwa wakati mmoja, kula kidogo mara kwa mara.
✔Epuka vyakula vyenye sukari ya viwandani.
✔Fanya mazoezi mara kwa mara.
✔Usivae nguo au viatu vinavyobana sana.
✔Jiepushe na mazingira yenye vitu vyenye ncha kali.
✔Pima sukari mara kwa mara k**a inawezekana kila wiki mara moja.
✔Muone daktari mara upatapo vidonda au michubuko. Usidharau kidonda chochote.
✔K**a una uzito mkubwa anza kupunguza uzito.

Fuata kanuni za afya salama kuhusu kisukari na kutumia tiba haraka na mapema iwezekanavyo.

Kwa ushauri na tiba ya kisukari tuandikie ujumbe kwenye page yetu au gusa link 🔗 kutuandikia UJUMBE WHATSAP moja kwa moja👇👇👇👇👇

Wa.me/255743301181

MADHARA YANAYOWEZA KUKUPATA USIPOTIBU KISUKARI MAPEMA.Unapopata ugonjwa wa kisukari ni wakati ambao unahitajika umakini ...
05/01/2025

MADHARA YANAYOWEZA KUKUPATA USIPOTIBU KISUKARI MAPEMA.

Unapopata ugonjwa wa kisukari ni wakati ambao unahitajika umakini na uangalifu mkubwa kuhusu afya yako kuanzia mazingira unayoishi, chakula, dawa unazitumia, mavazi unayovaa na mazoezi ya mwili.

Usipozingatia na kufuata ushauri wa afya kuna hatari kubwa ya kupata matatizo mengine ya kiafya yanayoambatana na Ugonjwa wa kisukari.
Matatizo/magonjwa ni pamoja na,

⚠Shinikizo la damu (blood pressure)
⚠Matatizo ya moyo na mishipa.
⚠Kuharibika kwa mishipa ya fahamu (nerves)
⚠Magonjwa Magonjwa ya figo/ figo kushindwa kufanya kazi vizuri.
⚠Ubovu wa macho unaoweza kusabisha upofu.
⚠Kuharibika kwa miguu kutoka na vidonda visivyopona na miguu kufa ganzi.
⚠ Vidonda kuchelewa kupona.
⚠Maambukizi ya ngozi.
⚠Msongo wa mawazo.

Ni muhimu kijua kuwa Madhara haya na mengine mengi yanaweza kuchukua muda mrefu kujitokeza na kupona vilevile. Kwa kadri mgonjwa anavyokaa muda mrefu bila kufuata kanuni za afya na matibabu ndivyo hufanya hatari ya tatizo kuwa kubwa.
Tiba ya kwanza kabisa kwa ugonjwa wa kisukari ni aina ya chakula na lishe ya kila siku.
Kwa mgonjwa wa kisukari zingatia yafuatayo kila siku.
✔Kula Matunda na mbogamboga kwa wingi.
✔Punguza matumizi ya nafaka.
✔Kunywa maji ya kutosha kila siku.
✔Usile chakula kingi kwa wakati mmoja, kula kidogo mara kwa mara.
✔Epuka vyakula vyenye sukari ya viwandani.
✔Fanya mazoezi mara kwa mara.
✔Usivae nguo au viatu vinavyobana sana.
✔Jiepushe na mazingira yenye vitu vyenye ncha kali.
✔Pima sukari mara kwa mara k**a inawezekana kila wiki mara moja.
✔Muone daktari mara upatapo vidonda au michubuko. Usidharau kidonda chochote.
✔K**a una uzito mkubwa anza kupunguza uzito.

Fuata kanuni za afya salama kuhusu kisukari na kutumia tiba haraka na mapema iwezekanavyo.

Kwa ushauri na tiba ya kisukari tuandikie ujumbe kwenye page yetu au gusa link 🔗 kutuandikia UJUMBE WHATSAP moja kwa moja👇👇👇👇👇

Me.wa/255743301181

04/01/2025

Address

Nasra Tower, Kariakoo
Dar Es Salaam
SWAHILINAMAKAMBA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when golden crown health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram