
03/07/2025
NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO :
Hizi ni baadhi ya dalili za kawaida za vidonda vya tumbo:
1. Maumivu ya tumbo (hasa sehemu ya juu ya tumbo, kati ya kifua na kitovu).
2. Kiungulia au kuhisi moto kifuani.
3. Kichefuchefu au kutapika.
4. Kupungua kwa hamu ya kula.
5. Kuhisi kushiba haraka hata baada ya kula kidogo.
6. Kupungua uzito bila sababu ya moja kwa moja.
7. Kutapika damu au kinyesi cheusi (dalili ya damu tumboni).
8. Tumbo kujaa gesi au kuvimba.
Tahadhari: Dalili zinaweza kuwa tofauti kwa kila mtu. Ukihisi moja au zaidi ya dalili hizi, ni vyema kufanya vipimo vya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;
✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).
✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo utakavyofanya.
Sisi ni daraja la afya yako njema , Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na familia
SASA KUPATA SULUHISHO JUU YA CHANGAMOTO .
Wasiliana nasi kupitia Namba hii 0744012942