02/01/2025
Wai matibabu ya hepatitis mapema
Wasiliana nasi 0653 390 434
UGONJWA WA HOMA YA INI - HEPATITIS ๐ฉบ
DALILI
Dalili za Ugonjwa wa HOMA YA INI na Jinsi Unavyoambukizwa (Ugonjwa huu ni hatari kuliko UKIMWI) โ ๏ธ
Homa ya Ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu. Virusi hivyo vinaitwa Hepatitis virus (vipo vya aina nne: Hepatitis A, B, C, na D) ๐ฆ . Ila B na C ni hatari zaidi.
Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho ๐ง. Watu takriban 1,000,000 wanapoteza maisha duniani kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis) ๐.
Ugonjwa huu k**a haujatibiwa hutengeneza uvimbe katika ini na kusababisha kansa ya ini na baadaye kifo โฐ๏ธ.
CHANZO
Katika maeneo hatari zaidi duniani, Virusi vya Hepatitis B (HBV) kwa kawaida husambazwa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kuzaliwa au kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine hususan nyakati za utotoni ๐ถ.
K**a ilivyo kwa UKIMWI, virusi vya Homa ya Ini pia huambukizwa kwa njia ya kujamiiana, mate, jasho, na mwingiliano wowote wa damu ๐ฉธ.
NJIA KUU ZA MAAMBUKIZI
Kujamiana bila kinga ๐ท
Kunyonyana ndimi ('denda') ๐
Mama mwenye ugonjwa kumwambukiza mtoto wakati wa kujifungua ๐คฐ
Kuchangia damu isiyo salama ๐ฉธ
Kuchangia vitu vya ncha kali k**a sindano, wembe n.k. โ๏ธ
Kuchangia miswaki ๐ชฅ
Kuchangia taulo na mwenye ugonjwa huo ๐ฟ
Kubadilishana nguo au kukumbatiana wakati mkiwa mnavuja jasho ๐งฅ
DALILI
Hata hivyo, watu wengine husumbuliwa na homa kali na dalili ambazo hudumu kwa wiki kadhaa. Dalili hizo ni:
Uchovu ๐ด
Kichefuchefu ๐คข
Mwili kuwa dhaifu ๐
Homa kali ๐ค
Kupoteza hamu ya kula ๐ฝ๏ธ
Kupungua uzito โ๏ธ
Maumivu makali ya tumbo upande wa ini ๐ค
Macho na ngozi kuwa vya njano ๐๏ธ๐จโ๐ฆณ
Mkojo mweusi ๐ป
Kwa wagonjwa wengine, virusi vya Hepatitis B hukua hadi kusababisha ini kuharibika kabisa (cirrhosis of the liver) au saratani ya ini (liver cancer) ๐ฅ.
KINGA
Chanjo ๐
Kutumia kinga wakati wa kujamiana ๐ก๏ธ
Kuacha kuchangia vitu vya ncha kali k**a sindano, wembe n.k. โ๏ธ
Kutochangia miswaki ๐ชฅ
Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu ๐
Kutochangia damu isiyo salama ๐ฉธ
ipo โ
๐ Wasiliana nami kwa nambari za WhatsApp:
0653 390 434
Follow hepatitis a,b,c,d and hepatitis a,b,c,d and hepatitis a,b,c,d and e solutions