19/03/2026
๐ฆ๐๐๐๐ ๐จ ๐ญ๐๐ก๐๐ญ๐ข ๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐๐ ๐ก๐ ๐๐๐ฃ๐๐ง๐๐ง๐๐ฆ ๐๐ก๐๐ฃ๐ข๐๐จ๐ช๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ.
Inaelezwa kwa makadilio kuwa mgonjwa aliye ishi na hepatitis kwa miezi sita baada ya kugundulika ana asilimia kubwa kuwa na hepatitis, mgonjwa huyu ana asilimia kubwa ya kuharibika sehemu hizi.
1. ๐๐ง๐ข (๐๐ข๐ฏ๐๐ซ).
Kituo Kikuu cha Athari, hii ndiyo sehemu ya kwanza kushambuliwa pindi unapo gundulika.
Ini linapo shambuliwa hatua ya kwanza hupoteza protin ya asili, hatua nyingine ni; Uvimbifu sugu wa ini (Chronic inflammation), Fibrosis (Uundaji wa kovu kwenye ini), Cirrhosis (Uharibifu mkubwa wa ini unaosababisha ini kupoteza kazi zake), Saratani ya ini (Hepatocellular carcinoma), Shinikizo la juu katika mshipa wa ini (portal hypertension)
2. ๐
๐ข๐ ๐จ.
Kuharibika kwa figo huanza na kuvimba eneo la kuchuja damu liitwalo "Glomerulonephritis"; Kuvimba kwa sehemu ya figo inayochuja damu, hasa kwa hepatitis B au C.
3. ๐๐๐ฎ๐ฆ๐จ ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐ฎ.
Hepatitis inaweza kusababisha Anemia kutokana na uharibifu wa seli nyekundu au upungufu wa protini muhimu.
Protin k**a "Thrombocytopenia" inapo kosekana husababisha upungufu wa chembe sahani za damu kutokana na ini kushindwa kuzalisha homoni ya thrombopoietin.
4. ๐๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ง๐ ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ฉ๐ ๐ฆ๐ข๐๐จ๐ ๐จ๐ฆ๐ข๐๐จ๐ ๐จ. (๐๐๐ฌ๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ญ๐ข๐ฌ)
Hii huashiria wingi wa ๐๐ฅ๐ข๐๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ง kuwa nyingi kutokana na kuvimba ini na kushindwa kuzivunja chembe hai nyekundu.
6. ๐๐๐ฎ๐ฆ๐จ ๐ฐ๐ ๐๐๐ก๐๐ฆ๐ฎ (๐๐๐ฎ๐ซ๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ข๐๐๐ฅ ๐ฌ๐ฒ๐ฌ๐ญ๐๐ฆ).
Hepatic encephalopathy: Hali ya kuchanganyikiwa, hasira au kupoteza fahamu kutokana na sumu ambazo ini limeshindwa kuziondoa.
Wengine hupata ganzi, udhaifu au maumivu ya mishipa midogo (peripheral neuropathy).
Hepatitis sugu siyo tu ugonjwa wa ini, bali ni hali inayoathiri mwili mzima. Hali ngumu inayo weza kutokea kwa mgonjwa wa muda mrefu ni pamoja na kuzalisha asidi nyingi kwenye damu, kusababisha udhaifu wa figo, makovu ya Ini na kansa ya ini. Tumaini jipya la mgonjwa wa hepatitis ni matumizi ya dawa zinazo weza kufanya k**a ant-vitus, za kupandisha kinga na kuondoa sumu mwilini ili kurejea hali ya kawaida na kuimarisha hali ya ini.