20/02/2025
*UGONJWA WA KISUKARI*
ambapo kitaalamu tunaita. *DIABETIC MELLITAS*............
Kwa lugha au kingereza chepesi tunaweza sema *High blood sugar*..........
Kwamaana kiwango cha sukari au glukosi kipo juu kwenye damu...........
*Kisukari ni nini❓❓*
*Kisukari* , ni hali ya kiafya inayosababisha kiwango cha juu cha sukari (glucose) katika damu..................
Sukari ni chanzo muhimu cha nishati kwa mwili.............
lakini ili iweze kuingia ndani ya seli na kutumika k**a nishati.............
mwili unahitaji homoni inayoitwa *insulini* ili kuibeba sukari iyo mpaka kwenye seli...........
Seli ushiba ndio nasi au mwili upata nguvu............
Ambapo Sukari iyo au glucose utoka kwenye vyakula tunavyokula kila siku...............
Hasa kutoka kwenye vyakula vya wanga k**a vile Wali , ugali.......
,
Nakadhalika...........
*AINA ZA UGONJWA WA KISUKARI*
*
Kuna aina kadhaa za kisukari.........,
lakini aina kuu zaidi ni.....
A🎴; kisukari cha aina ya 1
*(Diabetic mellitus type 1.... DM type 1 )*
B🎴; na kisukari cha aina ya 2:*(Diabetic Mellitus type 2......Dm type 2)*
Ufafanuzi zaidi kuhusu aina izo za kisukari.........
*
*Kisukari cha Aina ya 1 (DM type 1*)
Pia huitwa kisukari cha kujitegemea.........
na huathiri hasa watu wenywe umri mdogo na watoto..............
Katika kisukari cha aina hii mfumo wa kinga ya mwili hushambulia na kuangamiza seli zinazozalisha insulini katika kongosho..........
Hii inasababisha upungufu mkubwa wa insulini mwilini.............
na wagonjwa wa aina hii ya kisukari wanahitaji sindano ya insulini ili kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu...............
*Low or absence of insulin production from the pancrease cells* ..........
_Yaan insulin inakua haizalishwi au huzalishwa kidogo ............_
*Kisukari cha Aina ya 2 ( DM Type 2:)*
Hii ni aina ya kisukari ambayo hutokea mara nyingi zaidi............
Katika aina hii, mwili huzalisha insulini............
lakini seli haziitikii ipasavyo (hali inayoitwa upinzani wa insulini).........
Hii husababisha kuongezeka kwa viwango vya sukari kwenye damu...........
Aina hii ya kisukari inaweza kudhibitiwa kwa kubadilisha lishe........
mtindo wa maisha, na dawa za kudhibiti sukari...........
*Insulin Resistance........*
_yaani insulin uzalishwa vizuri ila ukutana na viziwizi.......
_
Ambapo viziwizi ivo umfanya insulin hasifanye kazi yake vizuri ya kuibeba sukari kuipeleka kwenye seli..........
```Matokeo yake sukari ubaki kwenye damu na uleta mkusanyiko mkubwa wa sukari katika damu``` .....
*DALILI ZA KISUKARI*
*
A🎴;Kupata kiu sana
B🎴; Kukojoa Mara kwa Mara
C🎴; Kupungua Uzito Bila Sababu
C🎴; Njaa Mara kwa Mara
D🎴; Uchovu na Kuchoka
*Nakadharika* ......
Je ni dawa zipi nzuri nikitumia zitanisaidia ❓..................
*MATIBABU YA UGONJWA WA KISUKARI*
Kwanza ni kwenda kituo cha afya ili kupata kipimo zaidi...............
na kufahamu ni aina gani ya kisukari ulicho nacho....................
Pia kutoa dawa ya kuondoa VYANZO vya sukari mwilini...............
Dawa za kutibu Kisukari.......... .
ni zile Dawa ambazo zinazofanya kazi nzuri kwenye mfumo wa Damu.............
Mfano÷
# *LECETHIN* hii ndio chaguo la kwanza( drug of choice) ...............
Pia kutoa dawa zenye kupunguza uzito, mafuta mwalini...............
Na dawa zenye uwingi wa nafaka bubu...........
Mfano #
# *FISH OIL*
#*ANTLIPEMIC*
*Nakadharika* ............
Utoaji wa dawa
Na muunganiko wa dawa ................
tutatoa kulingana history na presentations za mgonjwa ..................
*NJIA ZA KUZUIA KUPATA KISUKARI*
1🎴; Chagua Lishe Bora:
2🎴; mboga na matunda, nafaka nzima mfano dona ,
3🎴; protini , na mafuta yenye afya mzeituni na parachichi).
4🎴; Epuka vyakula vyenye sukari nyingi, wanga wa juu, na vyakula vyenye mafuta mengi
5🎴; Kudhibiti Uzito
6🎴; Fanya Mazoezi:
7🎴; Punguza mawazo
*KWA MAELEZO ZAIDI*
Piga au njoo WhatsApp *0685050815/0776410367*