AFYA BORA KWA Mafanikio

AFYA BORA KWA Mafanikio Nawasaidia watu kupata suluhisho la magonjwa yasiyo ambukizika
kama sukari, Presha, vidonda vya tumbo,tezidume,bawasiri ,Nguvu za kiume na za kike.

wasiliana nami +225695362098

SASA  KESI YAKO IMEISHA....Njooo Upate Ushuhuda wako baada ya kutumia Suluhisho la chanzo cha changamoto yako.Wasiliana ...
05/03/2025

SASA KESI YAKO IMEISHA....
Njooo Upate Ushuhuda wako baada ya kutumia Suluhisho la chanzo cha changamoto yako.

Wasiliana nami watsap me: https://wa.me/255695362098

Karibuni Kwa yoyote mwenye shida ushauri au matibabu
05/03/2025

Karibuni Kwa yoyote mwenye shida ushauri au matibabu

26/12/2024
13/12/2024

💥NINI HUSABABISHA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI KWA MWANAMKE?

1️⃣ Maambukizi ya Fangasi Ukeni (Vaginal Yeast Infection)*
Ni moja ya tatizo kwa wanawake linalosababishwa na fangasi waitwao Candida. Dalili kuu ni uwashwa ukeni, kuvimba na kutoa uchafu mweupe k**a maziwa ukeni.

2️⃣Ugonjwa wa kuvimba uke (Vulvovaginitis)*
Ni ugonjwa unaoathiri kwa kuvimbisha sehemu za nje za uke na uke wenyewe. Dalili kuu ni kuwashwa ukeni, mkojo kuuma na kukereketa wakati wa kukojoa na kutokwa na uchafu ukeni.

3️⃣ Kuvimba Uke baada ya hedhi kukoma (Postmenopausal Atrophic Vaginitis)*
Ni ugonjwa wa kuvimba kwa uke baada ya hedhi kukoma. Hali hii huongeza maambukizi ukeni na huweza kusababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa.

4️⃣ Maambukizi ya Trikomonasi (Trichomonas Infection)*
Ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na kimelea aitwaye Trichomonas vaginalis. Dalili kuu ni muwasho katika uke au uume na kutokwa na uchafu ukeni.

5️⃣ Ugonjwa wa Minyoo (Pinworm Infection)*
Ni maambukizi ya minyoo wadogo sana wenye umbo la pini wanaoweza kuambukiza utumbo na kusambaa maeneo mbalimbali. Ugonjwa huu huwatokea sana watoto wa kati ya miaka 5 na 10.

6️⃣Inflamesheni ya Urethra (Urethritis)*
Ni maambukizi kwenye urethra (ujia wa kutolea mkojo nje) yanasababisha kuvimba kwa urethra. Dalili kuu ni mkojo kuchoma, maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kutokwa uchafu.

7️⃣Genital Warts*
Ni vivimbe vidogo vinavyotokea juu ya ngozi sehemu za siri. Ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kujamiana na unasababishwa na virusi viitavyo Human papillomavirus (HPV) Vivimbe vinaweza sababisha muwasho na maumivu.

8️⃣Saratani ya sehemu ya nje ya Uke (Vulvar Cancer)*
Ni saratani ya sehemu ya nje ya uke inayoambatana na kuwashwa sehemu ya nje ya uke.

9️⃣Ugonjwa wa Wasiwasi (Generalized Anxiety Disorder)*
Ni ugonjwa ambao unaotokana na hofu ya matukio fulani. Wakati mwingine husababisha kujikuna sehemu mbalimbali hata sehemu za siri.

🔟 Ugonjwa wa Sjogren (Sjogren's Syndrome),
Ni ugonjwa katika mfumo wa kinga ya mwili unaoathiri tezi zinazosaidia mwili kutengeneza unyevu nyevu kwenye macho na mdomo. Ugonjwa huu huathiri wanawake zaidi kuliko wanaume.

1️⃣1️⃣Kisukari,
Ni ugonjwa sugu wa kimetaboliki unaosababishwa na kasoro katika utengenezaji wa Insulin au utendaji kazi wake. Kisukari kilichokomaa kinaweza sababisha maumivu ya tumbo, kichefuchefu, kizunguzungu na kuwashwa sehemu za siri.

*KWA USHAURI ZAIDI , BOFYA Hii SASA 👇👇🤳
https://wa.me/255695362098

Address

Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA KWA Mafanikio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram