Afya imara

Afya imara Tunatoa huduma ya vipimo na matibabu.

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKA, NJOO USAIDIWE...🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata ...
06/02/2025

ACHA KUUITA UGONJWA WAKO, ACHA KUSEMA UMESHINDIKA, NJOO USAIDIWE...

🧄Umetibiwa wapi na nani mpaka ufikie hatua ya kukata tamaa?

🫚Mbona wenye shida k**a zako WAMEPONA na WAMERUDI kutimiza ndoto zao?

🥦GCAT INTERNATIONAL ni hospital za kichina zinazopatikana karibu mikoa yote Tanzania.

🥥Tumebobea Katika TAFITI NA KUTIBU magonjwa YASIYOAMBUKIZA kwa njia ya VIRUTUBISHO MAALUMU Vinavyotokana na mimea ya asili. Ni hospital pekee nchini tanzania iliyojipambanua kupambana na magonjwa yasiambukiza.

🥭Usikubali kuendelea kuhangaika njoo tukusaidie na wala hatujaribu tunaweza amini tumesaidia wengi wenye matatizo k**a yako.

🥑KARIBU uKutane na Wataalamu waliobobea kwenye Masuala ya Matibabu Kutoka China.

🥕Mfano wa magonjwa yasiyoambukiza ni k**a vile:

✓ matatizo ya Uzazi Kwa wanaume na Wanawake
√ Vidonda vya Tumbo na Typhoid sugu.
√ Mifupa, Ganzi. Na Meno
√ Stroke au kupalalaizi.
√ Magonjwa ya Moyo na Figo
√ Bawasiri na Tezidume
√ Ngiri na Uvimbe aina zote.
√ Matatizo ya Ngozi
√ KISUKARI, Presha ( BP), P I D, matatizo ya Macho N.K

Bonyeza Alama ya WhatsApp hapo Chini ili kuwasiliana na Daktar Bingwa moja kwa moja.
Au Tupigie. ......O757490572 https://wa.me/message/2FGTL4ORE2DFP1

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili MzimaJe,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi...
06/02/2025

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima

Je,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi Zaidi
Kumbuka Afya Yako Ndio Msingi Wa Mambo Yote....

utalipia TSH 30,000/= tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 50,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishilini Utalipia 30,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 20,000/= Nzima

Note: OFA ni kwa Watu 20 tu

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu au Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba
0612967374https://wa.me/message/2FGTL4ORE2DFP1

10/12/2024
Huduma Ya Vipimo Vya Mwili MzimaJe,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi...
29/11/2024

0768490542https://wa.me/message/2FGTL4ORE2DFP1

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili MzimaJe,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi...
12/11/2024

utalipia TSH 30 tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 50,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishilini Utalipia 30,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 20,000/= Nzima

Note: OFA ni kwa Watu 30 tu

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu au Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba

0768490542https://wa.me/message/2FGTL4ORE2DFP1

*KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE (HYPOACTIVE SEXUAL DESIRE DISEASE/ HSDD)* ↔️Hii hali inaweza kusababishwa na ...
12/11/2024

*KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE (HYPOACTIVE SEXUAL DESIRE DISEASE/ HSDD)*
↔️Hii hali inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali ya kimwili, kihisia, na kisaikolojia. Baadhi ya sababu zinazochangia hali hii ni pamoja na:-

1. Mabadiliko ya homoni: Hii ni pamoja na mabadiliko yanayotokea wakati wa ujauzito, kunyonyesha, au kipindi cha kukoma hedhi (menopause), ambapo kupungua kwa homoni k**a estrogeni kunaweza kuathiri hamu ya tendo la ndoa.

2. Matatizo ya kiafya: Magonjwa sugu k**a kisukari, shinikizo la damu, au matatizo ya tezi ya thairoidi yanaweza kuathiri hamu ya tendo la ndoa.

3. Matumizi ya dawa: Baadhi ya dawa k**a vile za kutibu shinikizo la damu, unyogovu, au uzazi wa mpango zinaweza kupunguza hamu ya tendo.

4. Magonjwa ya afya ya akili: Msongo wa mawazo, unyogovu, au wasiwasi wa mara kwa mara vinaweza kupunguza hamu ya tendo la ndoa.
Tujifunze wote 👆👆🌹

Mama mjamzito anashauriwa kulala katika nafasi bora ili kuhakikisha faraja na usalama wa mtoto aliye tumboni. Nafasi ina...
12/11/2024

Mama mjamzito anashauriwa kulala katika nafasi bora ili kuhakikisha faraja na usalama wa mtoto aliye tumboni. Nafasi inayopendekezwa ni kulala upande wa kushoto (left side), kwani inasaidia kuboresha mtiriko wa damu kwa placenta na kumsaidia mtoto kupata oksijeni zaidi.

Kumbuka pia:

1. **Epuka kulala tumbo*: Hii inaweza kuwa hatari kadri ujauzito unavyoendelea.
2. **Epuka kulala kwamgongo**: Hii inaweza kusababisha shinikizo kwa mishipa ya damu na kuathiri mtiriko wa damu.

Ni muhimu pia kutafuta nafasi ya kulala ambayo inatoa msaada mzuri kwa mgongo ili kupunguza maumivu. Ikiwa kuna wasiwasi wowote kuhusu usingizi au afya, ni vyema kuwasiliana na daktari.

*Ona madhara ya vidonda vya tumbo.**MADHARA YA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO* ✍️ *DAMU KUVUJA TUMBONI*  Hali hii yaweza k...
12/11/2024

*Ona madhara ya vidonda vya tumbo.*

*MADHARA YA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO*

✍️ *DAMU KUVUJA TUMBONI*

Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja. *Hali hii ni hatari sana na inahitaji tiba ya dharura.*

✍️ *KUTOBOKA KWA UKUTA WA TUMBO*
Vidonda vya tumbo huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura.
Aidha, kuenea huko kunaweza pia kuathiri tezi kongosho na kusababisha madhara katika tezi hiyo, ugonjwa unaojulikana k**a pancreatitis.

✍️ *KUATHIRI VIUNGO VINGINE VYA MWILI*

Vidonda vya tumbo vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani k**a vile ini au kongosho (pancrease)

✍️ *KUVIMBA KWA UKUTA WA TUMBO KWA NDANI* yanayosababishwa na vidonda hivi huweza kusababisha kuziba kwa njia ya kupitishia chakula kutoka kwenye tumbo (stomach) kwenda sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenum) hali ambayo kitaalamu huitwa gastric outlet obstruction.

✍️ *TATIZO LA KANSA*

Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata kansa ya tumbo (stomach cancer).

✍️ *TATIZO LA NGUVU ZA KIUME*
Hali itakayomuathiri mwanaume kupata hamu ya tendo la ndoa, kushindwa kabisa kufanya tendo, kuwahi
kufika kileleni pamoja na kushindwa kutungisha Mimba.

✍️ *MWANAMKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA*
Hali inayopelekewa kwa homoni kuvurugika na mwisho MWANAMKE anakoswa hamu ya tendo la ndoa kushindwa kupata hedhi vizuri na kwa asilimia chache hupelekea MWANAMKE kutopata ujauzito

Usiteseke tatizo HILI linapona kabisa cha msingi fuata maelkezo ya kupata dawa hii MJARABU iitwayo stomach ulcers dozi yako ipo

*Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha goiter, ikiwa ni pamoja na*1. Upungufu wa Iodini: Iodini ni madini muhimu amb...
12/11/2024

*Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha goiter, ikiwa ni pamoja na*

1. Upungufu wa Iodini: Iodini ni madini muhimu ambayo tezi ya kongosho hutumia kutengeneza homoni za kongosho. Upungufu wa iodini mwilini unaweza kusababisha tezi ya kongosho kufanya kazi kupita kiasi ili kujaribu kuzalisha homoni za kongosho, na hivyo kusababisha uvimbe wa tezi ya kongosho.

2. Ugonjwa wa Hashimoto: Ugonjwa wa Hashimoto ni hali ya kinga ya mwili inayoshambulia tezi ya kongosho. Mchakato huu husababisha uvimbe wa tezi ya kongosho na kupungua kwa uzalishaji wa homoni za kongosho.

3. Uzalishaji wa Homoni za Kongosho Kupita Kiasi (Hyperthyroidism): Hali ambapo tezi ya kongosho inazalisha homoni za kongosho kupita kiasi inaweza kusababisha goiter. Uzalishaji wa homoni nyingi za kongosho unaweza kuchochea ukuaji wa tezi ya kongosho na hivyo kusababisha uvimbe.

4. Matumizi ya Dawa: Baadhi ya dawa, k**a vile dawa za kukandamiza uzalishaji wa homoni za kongosho au dawa zinazotumika kutibu magonjwa mengine, zinaweza kusababisha uvimbe wa tezi ya kongosho.

5. Magonjwa Mengine: Magonjwa mengine k**a vile tumors, maambukizi au magonjwa ya autoimmune yanaweza pia kusababisha goiter.
K**a una tatizo hili Usisite kuwasiliana nami moja kwa Moja Kupata tiba sahihi ya kumaliza kabisa tatizo lako

*UGONJWA WA MASUNDOSUNDO/GE***AL WARTS .**GE***AL WARTS - ( MASUNDO SUNDO ) NI NINI?*Ni vinyama Laini vidogovidogo vinav...
12/11/2024

*UGONJWA WA MASUNDOSUNDO/GE***AL WARTS .*

*GE***AL WARTS - ( MASUNDO SUNDO ) NI NINI?*

Ni vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando Laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri, vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), maeneo yanayozunguka haja kubwa na sehemu mbalimbali za mwili.

Ugonjwa huu unaenezwa kwa njia ya kujamiiana SEXUAL TRANSMITTED INFECTION (STI)

*CHANZO CHA TATIZO HILI*

Ugonjwa wa Masundosundo husababishwa na virus waitwao HUMAN PAPILLOMA VIRUS ( HPV) hata hivyo Kuna Aina tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani Kuna ambao wanaosababisha Masundosundo katika sehemu tofauti k**a vile mkono, mgongoni, mguuni nk.

Pia HPV huweza kasababisha saratani ya shingo ya kizazi (CARCINOMA OF THE CERVIX) kwa wanawake, na pia huweza kusababisha saratani ya sehemu ya haja kubwa (A**L CANCER) kwa jinsia zote mbili.

Watu walio na umri kuanzia miaka 14 hadi 35 wapo katika hatari ya kupata ungojwa huo hususan wanawake waliovunja ungo na wale walikatika umri wa kuzaa.
lakini pia makundi mengine yenye hatari ya kupatwa na ugonjwa huu ni pamoja na

1.Wanawake wajawazito
2.Waathirika wa VVU
3.Wenye magonjwa k**a kisukari ,saratani nk

*DALILI ZAKE*
Moja kati ya dalili za ugonjwa huo ni kuwa na vinyama au vinyuzi nyuzi mithili ya taulo laini katika sehemu za siri ambapo mara nyingi huwasha wakati wa joto au unaponyoa nywele sehemu za siri
Vinaweza kuota pia kwenye ulimi, mashavu ya uke, mapajani, katika lips za mdomo na usoni.Vinyama hivyo pia vinaweza kutokea usoni, hasa sehemu karibu na kope ama maeneo mengine k**a vile vidole vya miguu na mikono.
~mgonjwa kupata ganzi maeneo yaliyozungukwa na Masundosundo
~kutokwa na uchafu mzito sehem za siri na kuwashwa kupita maelezo
~kutokwa damu ukeni mara baada ya kufanya tendo la ndoa.

*MADHARA YAKE*
Warts inaweza kubainika kwa vipimo vya maabara. Warts zikitokea katika shingo ya kizazi, inaelezwa kuwa inasababisha saratani ya kizazi kwa wanawake na kwa upande wa wanaume inasababisha kansa kwenye sehemu ya njia ya mkojo

NOTED :mwanaume huwa anachelewa kupata dalili na huwa na uwezekano mkubwa wa kuambikiza wenza wao

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya imara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya imara:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram